Ziko wapi trilioni 360 za Watanzania? Je, ni kesi ya madai halali au madai hewa? Je, mawaziri wa fedha wanatosha au hawatoshi?

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
950
2,866
ZIKO WAPI TRILIONI 360 ZA WATANZANIA? JE NI KESI YA MADAI HALALI AU MADAI HEWA? JE MAWAZIRI WA FEDHA WANATOSHA AU HAWATOSHI?

Leo 12:15hrs 23/09/2022

Ndugu zangu Mh Luhaga Mpina ni Mbunge pekee kwa sasa katika Bunge la Jamhuri ya Muungano anaetukumbusha na kutuonesha watanzania dhati ya kulinda utajiri wa nchi yetu,jana kauliza swali kwa nini kesi 1,097 za kodi zenye thamani ya shilingi trilioni 360 na dola za Marekani milioni 181.4 hazijaamuliwa hadi sasa,majibu ya Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Hamadi Hassan Chande kwenda kinyume na swali la msingi la Mh Mbunge Luaga Mpina,hata waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba alipojaribu kutoa ufafanuzi, maelezo yake hayakufanana na swali la msingi la Mbunge huyo wa Kisesa,baada ya Spika kuwahoji viongozi hao wa Wizara ya Fedha na Mipango na kukosa majibu yanayoridhisha,ndipo akaamuru swali hilo likajibiwe tena kama ambavyo limeulizwa na Mbunge Luhaga Mpina.

Baada ya Mawaziri kushindwa kujibu swali,Mimi mbugila mbugila nimeamini kweli kuna kesi ya madai ya fedha za Watanzania takribani Trilioni 360 hazijalipwa,lakini mwenye PhD amepata kigugumizi kwenye kusema madai ya kodi ya trilioni 360 za Watanzania ni hewa,Je kigugumizi kilikujaje? kwenye mfumo wa tra waliweka condition kwamba ukichelewa kulipa kodi unapigwa faini kila mwezi kwa wanaochelewa na ikawekwa kwenye mfumo,ukienda kwenye vitabu vya uhasibu vya tra utaona kuna trilions hazijakusanywa ndio zinasemwa ziko kwenye madai,Sasa Naibu Waziri alishindwa kusema kwa mfano mtu hajapata kazi au hajafanya biashara kwa miaka mitano alikuwa anadaiwa milioni moja alipokuwa anaacha kufanya kazi leo unasema unamdai milioni ishirini na moja kwa kuwa kila mwezi umempiga fine ya asilimia 10% compounded,na Waziri mwenye dhamana nae akapata kigugumizi kwenye kujibu,Je tuelewe nini?

Waziri anasema Trilioni 360 hazipo kwenye (TRAB wala TRAT) TRAB ni Tax Revenue Appeals Board na TRAT ni Tax Revenue Appeals Tribunal. Kwa Mawaziri kukwepa kujibu swali la msingi au kujibu kwa ubabaishaji ni wazi kwamba hao watu kwenye wizara hiyo hawatoshi, wateuliwe wengine,kuchelewa kwa kesi huenda watuhumiwa wana mkono wao kwenye hukumu,unahitajika msukumo kutoka juu ili kesi hizo zifikie mwisho lakini pia Waziri wa fedha uwambie watanzania ukweli kwa nini Serikali ilikubali kupokea bilioni 700 za makinikia badala ya Trilioni 360 hapo ndio watanzania tunahitaji kufahamu,kunena kwa lugha ya ya.ya.ya. nini kuna jambo? Lakini hoja kubwa ya muhimu kwa taifa ni kwa nini mmepokea bilioni 700 badala ya madai halali ya Trilioni 360.

Haiwezekani, haikubaliki tuzalishe ugumu wa maisha huku tunaacha watu wanashindwa kukusanya kodi yetu, Haiwezekani,tutoze tozo wakati tunadai trilioni 360, ni dhahiri hili ni jambo lisilokubalika Wananchi wangependa kujua madai hayo yapo,ni ya kweli,ni ya uwongo au fedha zimepokelewa au zipo wapi?Unawezaje kuacha kudai trilioni 360 wakati bibi na babu kijijini wanasubiri shilingi elfu mbili na miatano (2500) za TASAF anazopaswa kuzitumia mwezi mzima, Waziri unashindwaje kusimamia mikataba ya matrilioni ya fedha kwa ajili ya nchi yako lakini unaweza tu kusign mikataba ya kukopa kuongezea mzigo wa madeni taifa lako!?

Nimalizie kwa kusema kuwa ni kawaida duniani hapa, watu aina ya Luhaga Mpina kudidimizwa sana !.Watanzania na binadamu waliowengi wana kasumba ya kuwadown watu wanaonekana bora,ndio sababu heshima akupayo Mtanzania haitokani na kile kilichobora ulichonacho, bali wewe ni nani!!.Mungu wa Israel aendelee kumlinda Mh Luhaga Mpina, ampe afya njema ili aendelee kusoma ,kudadavua na kuja na mambo yaliyo chanya,kushindwa kujibu swali na kupata kigugumizi kujibu swali kunaonyesha kuna walakini,je ni kweli mfanyabiashara wa Kariakoo aliyewahi kukadiriwa vibaya kodi anajua na anaweza kueleza vizuri kuliko Daktari wa Uchumi? au Je Wakili msomi anaweza kushindwa kueleza tofauti ya Mahakama ya Mwanzo na Mahakama ya Wilaya?

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publications;-
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
 
Ajabu tunajadili kichekesho cha Mwigulu tunaacha swali la msingi. Tutapigwa huku tupo tupo tu!
 
Nikionacho, kama bwana Luhanga Mpina bado hajatishwa, basi watu watakuwa wapo njiani kumtisha pakubwa sana..!!
 
Hawa maprofesa wa Makinikia wanatakiwa kuchunguzwa kama waliipotosha serikali na ripoti yao, kwani ripoti ya makinikia ilileta madhara makubwa ikiwemo maelfu ya watu kupoteza kazo, uwekezaji kusuasua kwenye sekta ya madini, serikali kupoteza mapato n.k
@ Mruma na Usoro hatuwezi kuwa na watu wanapotosha serikali na kufanya maamuzi kupitia taarifa ambazo sio sahihi...
 
Mtamkumbuka tundu lisu ndomana dana Dana nyiiiingiii kumeudisha. Alishakataa toka mwanzo
 
Hawa maprofesa wa Makinikia wanatakiwa kuchunguzwa kama waliipotosha serikali na ripoti yao, kwani ripoti ya makinikia ilileta madhara makubwa ikiwemo maelfu ya watu kupoteza kazo, uwekezaji kusuasua kwenye sekta ya madini, serikali kupoteza mapato n.k
@ Mruma na Usoro hatuwezi kuwa na watu wanapotosha serikali na kufanya maamuzi kupitia taarifa ambazo sio sahihi...
Walishindwa kuprove madai hayo kodi ya Trilion 360, kulikiuwa na na maafisa wa TMAA Waliokuwa wanahujumu Taifa , Ndiyo maana comrade Hayati Magufuli alivunja TMAA na kurudisha majukumu Yake kwa MEM,baada ya hapo akapatika mtoto TWIGA mwenye 16% stake kwa maridiano na mwekezaji ...Waziri yuko sahihi....
 
ZIKO WAPI TRILIONI 360 ZA WATANZANIA? JE NI KESI YA MADAI HALALI AU MADAI HEWA? JE MAWAZIRI WA FEDHA WANATOSHA AU HAWATOSHI?

Leo 12:15hrs 23/09/2022

Ndugu zangu Mh Luhaga Mpina ni Mbunge pekee kwa sasa katika Bunge la Jamhuri ya Muungano anaetukumbusha na kutuonesha watanzania dhati ya kulinda utajiri wa nchi yetu,jana kauliza swali kwa nini kesi 1,097 za kodi zenye thamani ya shilingi trilioni 360 na dola za Marekani milioni 181.4 hazijaamuliwa hadi sasa,majibu ya Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Hamadi Hassan Chande kwenda kinyume na swali la msingi la Mh Mbunge Luaga Mpina,hata waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba alipojaribu kutoa ufafanuzi, maelezo yake hayakufanana na swali la msingi la Mbunge huyo wa Kisesa,baada ya Spika kuwahoji viongozi hao wa Wizara ya Fedha na Mipango na kukosa majibu yanayoridhisha,ndipo akaamuru swali hilo likajibiwe tena kama ambavyo limeulizwa na Mbunge Luhaga Mpina.

Baada ya Mawaziri kushindwa kujibu swali,Mimi mbugila mbugila nimeamini kweli kuna kesi ya madai ya fedha za Watanzania takribani Trilioni 360 hazijalipwa,lakini mwenye PhD amepata kigugumizi kwenye kusema madai ya kodi ya trilioni 360 za Watanzania ni hewa,Je kigugumizi kilikujaje? kwenye mfumo wa tra waliweka condition kwamba ukichelewa kulipa kodi unapigwa faini kila mwezi kwa wanaochelewa na ikawekwa kwenye mfumo,ukienda kwenye vitabu vya uhasibu vya tra utaona kuna trilions hazijakusanywa ndio zinasemwa ziko kwenye madai,Sasa Naibu Waziri alishindwa kusema kwa mfano mtu hajapata kazi au hajafanya biashara kwa miaka mitano alikuwa anadaiwa milioni moja alipokuwa anaacha kufanya kazi leo unasema unamdai milioni ishirini na moja kwa kuwa kila mwezi umempiga fine ya asilimia 10% compounded,na Waziri mwenye dhamana nae akapata kigugumizi kwenye kujibu,Je tuelewe nini?

Waziri anasema Trilioni 360 hazipo kwenye (TRAB wala TRAT) TRAB ni Tax Revenue Appeals Board na TRAT ni Tax Revenue Appeals Tribunal. Kwa Mawaziri kukwepa kujibu swali la msingi au kujibu kwa ubabaishaji ni wazi kwamba hao watu kwenye wizara hiyo hawatoshi, wateuliwe wengine,kuchelewa kwa kesi huenda watuhumiwa wana mkono wao kwenye hukumu,unahitajika msukumo kutoka juu ili kesi hizo zifikie mwisho lakini pia Waziri wa fedha uwambie watanzania ukweli kwa nini Serikali ilikubali kupokea bilioni 700 za makinikia badala ya Trilioni 360 hapo ndio watanzania tunahitaji kufahamu,kunena kwa lugha ya ya.ya.ya. nini kuna jambo? Lakini hoja kubwa ya muhimu kwa taifa ni kwa nini mmepokea bilioni 700 badala ya madai halali ya Trilioni 360.

Haiwezekani, haikubaliki tuzalishe ugumu wa maisha huku tunaacha watu wanashindwa kukusanya kodi yetu, Haiwezekani,tutoze tozo wakati tunadai trilioni 360, ni dhahiri hili ni jambo lisilokubalika Wananchi wangependa kujua madai hayo yapo,ni ya kweli,ni ya uwongo au fedha zimepokelewa au zipo wapi?Unawezaje kuacha kudai trilioni 360 wakati bibi na babu kijijini wanasubiri shilingi elfu mbili na miatano (2500) za TASAF anazopaswa kuzitumia mwezi mzima, Waziri unashindwaje kusimamia mikataba ya matrilioni ya fedha kwa ajili ya nchi yako lakini unaweza tu kusign mikataba ya kukopa kuongezea mzigo wa madeni taifa lako!?

Nimalizie kwa kusema kuwa ni kawaida duniani hapa, watu aina ya Luhaga Mpina kudidimizwa sana !.Watanzania na binadamu waliowengi wana kasumba ya kuwadown watu wanaonekana bora,ndio sababu heshima akupayo Mtanzania haitokani na kile kilichobora ulichonacho, bali wewe ni nani!!.Mungu wa Israel aendelee kumlinda Mh Luhaga Mpina, ampe afya njema ili aendelee kusoma ,kudadavua na kuja na mambo yaliyo chanya,kushindwa kujibu swali na kupata kigugumizi kujibu swali kunaonyesha kuna walakini,je ni kweli mfanyabiashara wa Kariakoo aliyewahi kukadiriwa vibaya kodi anajua na anaweza kueleza vizuri kuliko Daktari wa Uchumi? au Je Wakili msomi anaweza kushindwa kueleza tofauti ya Mahakama ya Mwanzo na Mahakama ya Wilaya?

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publications;-
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Hata hivyo Dkt. Nchemba amesema, serikali ilikubali kupokea shilingi bilioni 700 kutoka Barrick baada ya makubaliano baina ya timu ya serikali iliyoundwa na Rais wa serikali ya awamu ya tano Hayati Dkt. John Magufuli kufikia makubaliano ya pande zote na Barrick kuhusiana na madai ya shilingi trilioni 360.
Kitu muhimu sana ni Watanzania have the right to information the basis ya kumsamehe mwizi wetu!.

Kama deni hilo ni bonafide genuine, serikali inapoamua kusamehe, it got to give reasons. Na baada ya hapo TRA watoe taarifa kuwa wamelifuta deni hilo.

Haya mambo akina sisi tuliyasema sana humu, kama mwanzo tulizuia makinikia kwasababu tulihisi tunaibiwa kwasababu hatujui kilichomo!.

Tukafanya uchunguzi tutathibitisha ni kweli tumeibiwa!. Tukapiga hesabu tulichoibiwa, baba mtu mbio kaja na ahadi wamekubali kila kitu na ili kuonyeshea nia njema wakahidi kishika uchumba cha Dila milioni 300!.

Mwisho wa mazungumzo tukasamehe deni lote, na kuruhusu makinikia yaondoke huku mpaka leo mpaka kesho, bado hatujui kilichomo!.

Kama tulizuia makinikia kwasababu tunaibiwa kwa kutojua kilichomo, tukathibitisha tunaibiwa!, Tumeruhusuje makinikia bila kujua kilichomo?, kwanini tulizuia?!

More explanation on this is needed.
P
 
Kama kuna kitu muhimu cha kuhoji ni basi ni hayo makenikia kwa sababu mabadiliko ya sheria ya madini ya mwaka 2017 iliweka katazo la kuuza madini ghafi nje ya nchi....sasa imekuwaje?????????/
 
Back
Top Bottom