M4C: watinga Simanjiro..

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
M4C yatua kwa olesendeka kwa chopa, Wakazi wa mjini Arusha leo Asubuhi walijitokeza kwenye uwanja wa NMC kuwaaga makamanda watatu Lema, Ole Milya na Mawazo walipokuwa wanajianda kupanda chopa kuelekea Simanjiro watakoenda kufanya mikutano kwenye kata 14 yaani leo kata 7 na kesho kata 7 kisha wataelekea kwa jimboni kwa Lusinde kabla ya kutua jimboni kwa Wasira.

attachment.php

Waandishi wa habari wakiwa busy kuchukua matukio kwenye uwanja wa NMC leo Asubuhi .
attachment.php

Chopa iliyowabeba Lema, Ole Milya na Mawazo ikiruka kuelekea Simanjiro.
 

Attachments

  • Picture 014.jpg
    Picture 014.jpg
    444.8 KB · Views: 1,212
  • Picture 010.jpg
    Picture 010.jpg
    413.4 KB · Views: 1,560
Sikujua kama idadi kubwa ya Watanzania hawana ajira rasmi mpaka nilipoona picha ya waliokwenda kuangalia Helcopta ikiruka
 
Ole sendeka asipokun...y...a safari hii sijui...go go makamanda wetu!!!!
 
Mpaka sasa wameshfanya mikutano kwenye kata za Ndovu, Naberera na Orekesimeti.Mpaka sasa wameshfanya mikutano kwenye kata za Ndovu, Naberera na Orekesimeti.
 
Hii ndiyo kazi tunayotaka kuona inafanyika, wacha wale viwavi wa pale lumumba wakomalie hapa JF kuikashifu Chadema na viongozi wake wakati ni asilimaia ndogo sana ya watz wana ingia humu.

CCM inachekesha kweli baada ya tathmini ya yule mlevi wao kuwa JF ilichangia kupunguza kura zao mwaka 2010 basi wote wamehamia humu jamvini.

Msako huu uendelee hadi 2015 kitaeleweka tu, oh mara chama cha wachaga , mara cha wakatoliki, mara cha ukanda wa kaskazini, wacha magamba yaendelee kuweweseka makamnada chapeni mwendo tu.
 
OLe Sendeka nadhani ma... yanagonga pichu na kurudi! M4C ina balaa kubwa sana
 
Crashwise unawakilisha vema pande zile chalii yangu.......endelea kutupia hayo maphoto ya mikutano ya makamanda.Elimu hii lazima ingine down to the earth mpaka kieleweke.Wakati wao wana igiza CDM wanakata mbuga wakijashtuka kumekucha.
 
Wana Simanjiro ni watu wa amani mambo ya kwenda kwenye mikutano na sime sio mazuri angalizo kwa wana Chadema na wana CCM hatutaki damu imwagike.
 
Back
Top Bottom