Na hii jamii ikielimika hivi ccm basi tena!
kha hiyo chagua ccm ilivyochoka,ccm mngekuwa mnapeleka
tsheti kila mwaka.
CCM wana dhambi sana hii Tshirt walimpa mwaka 2010 na hawajarudi tena japo kujua tuu kama jamaa anaweza hata kuifua? achilia mbali kuiweka vilaka
mmmmmmmmmmm sio dharauUkiona hawa njere wameamka ujue kumekucha
Asiwe na wasiwasi bado miaka miwili tu chama kianze roundi nyingine ya kugawa.
CCM wana dhambi sana hii Tshirt walimpa mwaka 2010 na hawajarudi tena japo kujua tuu kama jamaa anaweza hata kuifua? achilia mbali kuiweka vilaka