Misafara ya viongozi ni mzigo kwa wananchi

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,882
35,899
Tumezowea kuyaona haya Nigeria:



Kumbe na kwetu napo hali ingali ni hiyo hiyo.

Umeme wa uhakika tuupate wapi
sisi kama haba na haba tungali hatujui hujaza vibaba?
 
Tumezowea kuyaona haya Nigeria:

View attachment 2759718

Kumbe na kwetu napo hali ingali ni hiyo hiyo...
Wow! CCM hakika ni janga la taifa! Ilianza hivi.

Nje ya CCM hakuna mwenye sifa wala uwezo wa kuliongoza taifa.

Nje ya familia hakuna mwenye sifa wala uwezo wa kuliongoza taifa.

Na sasa wa kutukwamua tulipokwama hayupo miongoni mwa Watanzania 60 milioni...
 
Umejuaje mkuu

Mkuu zingatia neno: "usishangae."

Pia zingatia hawa hawa na ka utaratibu ka kuiga na mpambe was kusimama nyuma. Mbona si pk, Macron wala Biden?

Haka ka kasumba ka CCM kanakuwa kametuingia ingia damuni hivi ..

Hivyo usishangae mkuu ..
 
Back
Top Bottom