LOWASSA: Wananchi wana haki ya kumuondoa Rais madarakani

Hujasema kwamapana amesemaje lowasa? Embu weka habari iliyokamilika kabla yakutoa mawazo yako ili nasis 2pate pakuanzia kutoa mawazo kumbuka sio wote 2na tv

Licha yakutokua na tv mgao wa umeme ni tatizo pia

Eti tunasema watu wa vijijini hawaijui katiba wakati hata wanao-browse internet hawajui neno 'impeachment' linatumikaje ndani ya katiba ktk kumuondoa reigning president.

Mbona ameshindwa kuchukua maamuzi magumu ya kujitoa kwenye chama cha magamba kama alivofanya RA?

wacha awavuruge kwanza. Pili maamuzi magumu ayafanye jk. Keshapewa go ahead akiweza afanye maamuzi magumu

Angekuwa waziri mkuu angesema hayo? watanzani watanzania tusiige kunya kwa tembo, nasi tukaingia mkenge, watatukaangia mbuyu watuachie wenye meno tutafune, yeye kisha paa nchi inawaka moto

kwani sasa ni salama? Sukari huku 3000 na unga 2700. Tz ingekuwa daladala ningeshashuka mda mrefu kutafuta nyingine

Mbona hata sasa inawaka moto?Kuna jema lipi katika Tanzania ya leo.Labda tuchapane kidogo ndio tutaheshimiana.
Angekuwa waziri mkuu angesema hayo? watanzani watanzania tusiige kunya kwa tembo, nasi tukaingia mkenge, watatukaangia mbuyu watuachie wenye meno tutafune, yeye kisha paa nchi inawaka moto

baadhi ni mtizamo wangu hapo juu. Ila kwa uelewa mzuri, anzieni hapo "alikuwa akihojiwa..." ishu ya uchaguzi na bunge kupiga kura ya kutokuwa na imani ni ya kwangu

We kweli boya yani muda wote huu unashindwa kutueleza habari iliyonyooka na huru bila mawazo yako? unatuchanganya tuu

Kampeni za Lowassa ambaye yeye ndiye mnafiki kama Marekani walvyoifanya Somalia - HATUDANGANYIKI.. Na atakaye danganyika bila shaka ni Mdanganyika toka mwanzo!

katika hili mi nakubali kudanganyika.!

Alichokisema EL ni sahihi. Kama wananchi ndio wanamchagua rais, watakuwa na mamlaka ya kumwondoa! Swala ambalo hajaliweka sawa ni methodology. Angekwenda mbali kwa kutueleza katiba inaeleza utaratibu gani wananchi wanaweza kutumia kumwondoa rais ili wajue wanafanyaje. Kusema tu kwamba wanaweza bila kuonyesha njia ni unafiki tu!

Sioni/hatuoni juhudi zozote toka miongoni mwetu kufanikisha hili hapa kwetu
je wewe ni pro Lowassa?

kama ndio basi lengo lako kwa nchi ni baya, na kama ndio mnaolazimisha fujo, basi na isiwe...

Ila kama wewe ni pro-Tanzania, then its OK

I am pro Tanzania, and I dont think Tanzania will realise its potential chini ya CCM, we need a new contingency isiyo na blabla, the best would be a mix-match btn CDM, CCM na KAFU, and all wasio na vyama

Kampeni za Lowassa ambaye yeye ndiye mnafiki kama Marekani walvyoifanya Somalia - HATUDANGANYIKI.. Na atakaye danganyika bila shaka ni Mdanganyika toka mwanzo!

Wemwenyewe ni mdanganyika mkubwa tu,hata sasa umedanganywa

Afadhali hata Lowassa ambaye amethubutu kuchukua maamuzi magumu.

Maamuzi gani magumu aliyoyafanya Lowasa? Yeye na chama chake hawajafanya na hawawezi kufanya maamuzi magumu! Ndio maana hadi leo yupo kwenye uongozi! Kama anaweza kufanya hayo maamuzi magumu, ajiondoe kama RA ndio tutamkubali.
Mtazamo wangu ni kwamba huyu jamaa ni janga kwenye hili taifa! Hatuna umeme kwasababu ya maamuzi hovyo aliyoyafanya. Waliigeuza Tanesco kama mpira wa kona na kuwapa nafasi mafisadi kuivamia kama mbwa mwitu. Sasa hakuna umeme, vitu vinapanda bei kila siku, na wizara inanuka rushwa!
Nataman akamatwe, ashtakiwe, hatimae akaozee jela!

je wewe ni pro Lowassa?

kama ndio basi lengo lako kwa nchi ni baya, na kama ndio mnaolazimisha fujo, basi na isiwe...

Ila kama wewe ni pro-Tanzania, then its OK

I am pro Tanzania, and I dont think Tanzania will realise its potential chini ya CCM, we need a new contingency isiyo na blabla, the best would be a mix-match btn CDM, CCM na KAFU, and all wasio na vyama

kuna tofauti gani kwa mtazamo wako kati ya pro lowasa na pro tz katika hili unalozungumzia? Hiyo potential si ndio nguvu ya wananchi? Nimependa tu alichosema lowasa, kuwa hiyo POTENTIAL watanzania waitumie

We kweli boya yani muda wote huu unashindwa kutueleza habari iliyonyooka na huru bila mawazo yako? unatuchanganya tuu

endelea kuchanganyikiwa ndugu. Ukitulia utaelewa tu. Ulitaka details zipi tena?

EL katoa wapi ujasiri wa kusema haya yote?
Huyu Jamaa ni Jasiri sana!
kitendo chake cha kuamua kujiuzulu bila kushurutishwa na mtu yoyote kilionyesha accoutability yake!
We need Strong leaderz like him!

Huyu Jamaa ni Jasiri sana!

kitendo chake cha kuamua kujiuzulu bila kushurutishwa na mtu yoyote kilionyesha accoutability yake!

We need Strong leaderz like him!

Rejao, I think you're wrong! EL isn't as brave guy as make him to be he's simply a trickster, a conman.
He set a stage where he starred to bring in Richmond / Dowans using any dirty means possible in his power. After asuring himself that the machinery he invented has started to do its work of churning into our coffers then he chickened out - alleging his colleagues to aspire for his premiership.
He knew (or rather he planned) for sure that things'd go wrong to pave way for the government to be sued.
Na sasa yuko pembeni anakula posho za ustaafu, ikitokea nchi ikawa na utawala bora huyu nyang'au ana kesi nyingi za kujibu.

Nao wabunge ipo sheria inayowapa wananchi nguvu ya kumwondoa mbunge madarakani kabla ya kumaliza kipindi chake?

Back
Top Bottom