LOWASSA: Wananchi wana haki ya kumuondoa Rais madarakani

EL tushamsoma ni mnafiki mpenda utukufu kamwe si kiongozi anaefaa kwa wtz,ni yeye na rafiki yake JK....!1995 mwalim alionya...anatapatapa mwenzie maji ya shingo nchi imemshinda
 
ikiwa uchaguzi ni leo kura yangu kwa chama tawala nitakipa iwapo tu atasimama lowasa. wengine ni wanafiki ila EL tulishuhudia hata alipokuwa waziri mkuu mambo hayakuyumba kama ilivyo sasa. hamna mwenye uwezo wa kuwa na kauli za kiutawala........! ukikamatwa na ngozi unaundiwa tume kodi za walalahoi zinatumika!
 
nachoshukuru ni kwamba watanzania si rahisi KUDANGANYIKA tena! 2czkubali movement za kujsafisha km hz anazo2mia huyu fsad. Mcmamo palepale, FREEDOM Z COMING 2MORROW!
 
Kwa mtazamo wangu lowasa c mwizi ila katika harakati ya kuiondoa nchi kwenye giza wakuda wakamuingiza mkekenge, na spika Sitta kwa kuwa alikuwa anautaka uwaziri mkuu aka2mia rungu la uspika kumuonea ila tutajua ni Sitta au Lowassa ndo ana2faa with tyme.Hii nchi Kikwete imemshidwa baada ya Lowasa kujiuzulu anaphamba tu sasa hatofanya ki2, jaman 2mwachien mchawi mtoto hatomua atamlea salama
<br />
<br />
lowasa akikusikia atachekea moyoni
 
ajabu ni kuwa, with time and what's going on, huyu jamaa anaweza kupenyea hapo hapo nasi tukabaki tumeduwaa kapitaje. Mara mgombea urais! Ila hata kama akiwa rais kwa katiba mpya sio mbaya. Shivji anasema, uadilifu si kigezo cha uongozi bali KANUNI za uongozi ndio kigezo
 
hapa kuna dizaini za kumsafisha huyu mzee mwenye kuwaza mshiko kuliko vitu vingine bwana EL haya ngoja tuone mwisho wake..
 
Back
Top Bottom