Lowassa: Rais Kikwete ni jasiri, mwadilifu

Mwambieni Kaka Mkubwaa mi nataka achukue lile Ziwa Nyasa looote aalafu atugawie boat za kuvulia samaki ili yale maisha bora aliyoyasema mwaka ule wa Nzige wengi, Tuyaonee !
 
nngu007 Swadakta mheshimiwa Lowassa.Umesema kweli mweshimiwa.Maana watu wanavijiba vya roho na rais wetu mpendwa JK MRISHO
 
Last edited by a moderator:
Hawa ni wahuni, wababaishaji, wasanii hawana lolote! Hawa wamefanikiwa kufika hapo walipofika kwasababu ya mfumo aliowasisi Nyerere wa ku-promote weak elements na failures. Wote tunajua kuwa failures ndio wlikuwa makada na PEO na makamisa kule jeshini. Kwasababu walikuwa wanasifa moja tu kulamba miguu ya wakubwa zao. Ndio hao leo wanaotutawala hivyo kwa staili hiyo hiyo Lowasa anapiga jaramba. Hawana jipya ni utapeli na upuuzi. "Watanznia si mabwege tena"
 
Hapa shida ipo kwa wapambe ambao wanajikomba kwa huyu na kusema huyu ni mbaya. Hawa watu kama alivyosema Lowasa hawakukutana barabarani. Wanasiri zao nzito ambazo watanzania wengi hatuzijui. Kosa linakuwa kwetu tunapoanza kujikomba kwa Kikwete kwasababu ni rais na kuona Lowasa anamakosa yote kisa alijiuzulu. Hiki kitendo kitufumbue macho kuwa kina kitu hapa kinaendelea ambacho wengi wetu hatukijui isipokuwa wawili hawa. Juzijuzi walikutana uingereza juzi Monduli na hivyo ni vikao vya wazi. Vya siri je? Na wanaongea nini. Tusubiri tutaona
 
WAZIRI MUU MTAAFU MWANAUME NDANI YA CCM LOWASA AMEMPONGEZA KIKWETE KWA KUWAJALI WAFUGAJI NA KUWA NI MSIKIVU SAANA.JUZI TU KIKWETE ALIMSAFISHA CHENGE NA KUSEMA HAKUNA UFISADI ULIOFANYIKA KWENYE CHENJI YA RADA

SASA NAPE UTAHEMEA WAPI ULIOWAPA SIKU 90 WANKULA MEZA MOJA NA MWENYEKITI WAKO SASA ELEWA CCM SI CHAMA CHA SIASA NI GENGE LA WAHUNI UTAIPATA FRESH MBWIGA RUDI CCJ MAPEMA MAANA HUKU MSUKUMA HUKU MMASAI SHINGO LAZIMA WAITOE HIYO
A%20S-baby.gif
 
WAZIRI MUU MTAAFU MWANAUME NDANI YA CCM LOWASA AMEMPONGEZA KIKWETE KWA KUWAJALI WAFUGAJI NA KUWA NI MSIKIVU SAANA.JUZI TU KIKWETE ALIMSAFISHA CHENGE NA KUSEMA HAKUNA UFISADI ULIOFANYIKA KWENYE CHENJI YA RADA SASA NAPE UTAHEMEA WAPI ULIOWAPA SIKU 90 WANKULA MEZA MOJA NA MWENYEKITI WAKO SASA ELEWA CCM SI CHAMA CHA SIASA NI GENGE LA WAHUNI UTAIPATA FRESH MBWIGA RUDI CCJ MAPEMA MAANA HUKU MSUKUMA HUKU MMASAI SHINGO LAZIMA WAITOE HIYO
A%20S-baby.gif
 
Nape imekula kwake bora ajiuzulu watu aliowaita mafisadi ndani ya chama wanakula meza moja na bosi wao
 
Back
Top Bottom