Lowassa na Kiingereza chake!

Pia wajapani, wakorea, (korea kaskazini ndyo kabisa hata cha kusalimia hawawezi lakini wana makombora ya nuclear)
Rais wa Mozambique alipotutembelea TZ aliongea kwa Kireno, ingawa anauwezo wa kuongea kiswahili na Kingereza cha kueleweka.

Mkuu, nmegundua kuna vilaza wengi sana humu jamvini na ndio maana badala ya kuwajenga wagombea wao wamebaki na kumjenga Lowassa wakifikiri wanambomoa!! kwanini nasema hivi, jamaa anawashangaa Wachina kuongozwa na Raisi asiyejua kiingereza, lkn unjiuliza hivi huyu hayajui MAENDELEO MAKUBWA YA KIUCHUMI NA KITEKNOLOJIA YA CHINA?? jibu ni kwamba watanzania wengi kwao kiingereza ndio Usomi na uwezo wa kutenda wa akili ya kiongozi! Tubadilike tujenge hoja za maana!
 
Mdau kwa sisi watanzania mm kiswahili kwanza sawa msingi na kiingereza pia mwambatano,
 
Anaweza vzr wewe una matatizo ,mwenyewe unajua kiingereza? Umezaliwa london?
 
Mkuu, nmegundua kuna vilaza wengi sana humu jamvini na ndio maana badala ya kuwajenga wagombea wao wamebaki na kumjenga Lowassa wakifikiri wanambomoa!! kwanini nasema hivi, jamaa anawashangaa Wachina kuongozwa na Raisi asiyejua kiingereza, lkn unjiuliza hivi huyu hayajui MAENDELEO MAKUBWA YA KIUCHUMI NA KITEKNOLOJIA YA CHINA?? jibu ni kwamba watanzania wengi kwao kiingereza ndio Usomi na uwezo wa kutenda wa akili ya kiongozi! Tubadilike tujenge hoja za maana!

You're missing a bigger picture of it.

Kiingereza ndiyo lugha ya kufundishia Tanzania. Kutoka Secondary hadi chuo kikuu.

Lowassa ni msomi wa kiwango cha shahada. Hivyo amesoma kwa kutumia kiingereza hadi kupata hiyo shahada.

The BIG question is, kama hajui Kiingereza aliwezaje kufaulu masomo yake hadi kupata shahada.

kama Kiswahili ndiyo kingekuwa lugha ya kufundishia tusingekuwa na matatizo na Lowassa kutojua Kiingereza, kama tusivyokuwa na matatizo na Wachina, Wajapan, Warussia, Wakorea etc kutojua Kiingereza because it is not their lingual fracas
 
JK kingereza kinampiga chenga lakini ameweza kuleta maendeleo Tanzania. Hoja ya lugha haina uzito, tafuteni hoja nyingine.
 
Hizi ndo zile chuki ambazo mzee yt hea amezikemea juzi, badala ya mtu kutafakari ujumbe unaotolewa wewe unakomaa kusifia lugha malkia? ??? Acheni fikra za kikoloni
 
We ndugu huna hata aibu unataka rais wa nch ajue kiingereza kwan lazima.shame upon you

Yaani wewe hujui umuhimu wa Rais wako kujua kiinereza!!? You must be kidding me ................ Kiingereza ni lugha ya Taifa kama kilivyo kiswahili. Hata unapoajiliwa serikalini unafanyiwa interview kwa kiingereza!! Hivi hizo kazi wengine mmezipataje. Kwa Tanzania tunatakiwa kizimaster lugha zote mbili meaning; Kiswahili na Kiingereza. Kushindwa kwetu ni aibu na ni ku-fail kwa mfumo wetu wa elimu!! Labda ndiyo maana Lowasa amedai kwake itakuwa ni ELIMU KWANZA!!

However, kwa Lowasa ambaye hakufundishwa na Walimu wa UPE ni aibu kuongea kiingereza cha kuunga unga sentence kiasi hicho na kurudia rudia points. Kama anashindwa kujieleza kwenye kitu ambacho amejiandaa kukizungumzia atawezaje kujieleza kama atakalishwa kiti moto kwenye HARD TALK au akikutana na Christine Amanpour, Hala Golani au Richard Quest!!?
 
JK kingereza kinampiga chenga lakini ameweza kuleta maendeleo Tanzania. Hoja ya lugha haina uzito, tafuteni hoja nyingine.

Maendeleo gani hayo unayoyazungumzia .................... Anyway, kwa jinsi nilivyomsikiliza Lowasa, JK anamzidi Lowasa kwa mbali sana!!
 
You're missing a bigger picture of it.

Kiingereza ndiyo lugha ya kufundishia Tanzania. Kutoka Secondary hadi chuo kikuu.

Lowassa ni msomi wa kiwango cha shahada. Hivyo amesoma kwa kutumia kiingereza hadi kupata hiyo shahada.

The BIG question is, kama hajui Kiingereza aliwezaje kufaulu masomo yake hadi kupata shahada.

kama Kiswahili ndiyo kingekuwa lugha ya kufundishia tusingekuwa na matatizo na Lowassa kutojua Kiingereza, kama tusivyokuwa na matatizo na Wachina, Wajapan, Warussia, Wakorea etc kutojua Kiingereza because it is not their lingual fracas

Angekuwa hajui kabisa kweli lingekuwa tatizo ila suala la kuongea kiingereza kwa jinsi mtakavyo nyinyi sioni kama kuna mahusiano ya mashaka na elimu yake. Ile itabaki kuwa ni lugha na suala la kuongea ni suala lengine.
 
Kuna jamaa aliandika watanzania nani katuloga???? Kuna shida gani hapo na kiingereza cha Rais ajae, umeshamsikia Putin, Raisi wa china, raisi wa korea kaskazini. Acha uzuzu wewe, kama vip na hutaki hama nchi kama unaweza.
 
ki ukweli mimi nijikite kwenye hotuba zake yaan utdhan c kiongz wa siku nying kiukweli ni vigum xn kumwelewa ktk hotuba zake iwe kiswahili au la! mimi nahdan huyu jamaa ana kipaji cha kua mfanya biashara au awe mtendaji na c kiongoz cio mtndaj wa kjj no yaan awe mtu wa kuagizwa kutenda.
 
Mdau umewahi kumsikia Lowassa akizungumza kiingereza????hebu mtazame hapa rais wetu huyu mpya halafu just imagine siku yuko cnn anahojiwa na Larry King na hivi vingereza vya kuandika kwanza then kukariri

Rais wa Uchina haongei Ki Ing ereza.
 
Last edited by a moderator:
Jamani ebu tutumie akili zetu za kuzaliwa tuachane na za shuleni.namhushimu sana Lowasa sifa anazojipa hazifai serikalini uwezi kusema ulikuwa na maamuzi zaidi ya rais huo ni uongo huwezi sasa EL anatafuta huruma ya Watanzania wakati akikatwa waone kaonewa.utajiri na umaarufu kapewa na chama Bila CCM Lowasa ni mwepesi hana lolote. Asubiri kihama chake anaosema hawana maamuzi nawao watasema.hawezi kubuni ajira mbona jamaa wa monduli kibao wapo mabarazani kea wahindi wanalinda hawana mahali pa kukaa wemekaa katika maeneo ya watalii hakuna maendeleo wanageuzwa matukio ya picha hachana na Chama kama kweli unamapenzi na serikali huwezi kufanya anayofanya
 
Back
Top Bottom