Watawala kutumia mbinu ya kutaka kutoa elimu ya Katiba Kwa miaka 3, wanataka KUTULAZIMISHA tuendelee kutumia milele Katiba tuliyonayo sasa!

Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
15,484
30,162
Baada ya kauli ya aliyekuwa waziri wa Katiba, Dkt Ndumbalo kusema kuwa watatoa elimu ya Katiba Kwa miaka 3, nilidhani kuwa huo ulikuwa ni mtazamo wake na siyo wa chama chake.

Hata kuondolewa kwake kwenye wizara hiyo na kupelekwa kwenye wizara ya michezo, niliamini kuwa ilitokana na kauli yake ya kutaka kufanya "delaying tactics" katika suala nyeti kama Hilo.

Hata hivyo baada ya kumsikia Rais Samia Suluhu Hassan, naye akikilipigilia msumari kuwa ni LAZIMA, watanzania wapewe elimu ya Katiba kwanza, kabla hatujatunga Katiba mpya, ndipo nimetambua kuwa, kumbe huo ndiyo msimamo wa chama chao Cha CCM!

Najaribu tena kujiuliza, hivi kumbe Hawa watu wa CCM, ni watu wanaotumia ulaghai katika shughuli zao za kisiasa?

Nani atakuwa amesahau, wakati Halmashauri Kuu ya CCM, ilipotoka na kauli kuwa hata wao CCM, wanaitaka Katiba mpya haraka iwezekanavyo?

Ninajua vile vile kuwa, kutopatikana Kwa Katiba mpya, kunatokana na wenyewe watawala wa CCM, kutokubali kuwepo Kwa Katiba mpya, ili tuendelee kutumia hii Katiba ya mwaka 1977, wakati huo tukiwa bado kwenye mfumo wa chama kimoja.

Hivi watawala wetu wanadhani kuwa wananchi watakubaliana nao, kuendelea kutumia Katiba hii ya mwaka 1977 ya mfumo wa chama kimoja??

Kwani Tume ya Jaji Warioba ilifanya kazi Gani, kama siyo kutoa elimu na kukusanya maoni ya Katiba mpya??

Hivi Hawa watawala wetu, wanataka kutuambia kuwa hii Katiba tuliyonayo hivi sasa, ndiyo utashi wa wananchi walio wengi??

Hebu tujikumbushe, hata kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi, hao hao CCM, walitaka kutumia mbinu hii hii, wanayotaka kutumia hivi sasa, ya kwenda Kwa wananchi na kupokea maoni yao.

Mnakumbuka kilichotokea?

Pamoja na hayo maoni ya wananchi, ambao walikuwa asilimia 80, kudai kuwa bado wanapendelea kuendelea na mfumo wa chama kimoja, lakini Mwalimu Nyerere, ndiye aliyewalazimisha CCM, kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi.

Mwalimu alitoa sababu Kuu ya kukubaliana na asilimia Ile 20 iliyotaka mfumo wa vyama vingi, kuwa kutokana na dunia ilivyokuwa ikienda Kwa wakati huo, wanalazimika watawala wa CCM wa wakati huo, waingie kwenye mfumo wa vyama vingi, watake au wasitake!

Ninaamini pia kama Mwalimu Nyerere angekuwa hai hivi Leo, angelazimisha chama chake Cha CCM kikubaliane na kuleta Katiba mpya, Kwa kuwa inabidi nchi iende katika mfumo wa vyama vingi kiukweli, badala ya huu ulaghai unaoendelea.

Ukitafakari Kwa makini, utagundua kuwa hawa CCM, hawapendi nchi hii iwe na Katiba mpya, Kwa kuwa wanajua Katiba iliyopo sasa ndiyo inayoendelea kuwaweka madarakani!

Hivi unaweza kuwa na Katiba ya nchi yenye mfumo wa vyama vingi, Huku ukimrundikia madaraka makubwa mno, Rais aliyeko madarakani, ambaye pia ndiye Mwenyekiti wa chama chake Cha CCM??

Nieleze kifupi tu Rais aliyepo madarakani, ambaye na yeye ni mgombea wa uchaguzi wa vyama vingi, ndiye anayewachagua wakurugenzi wa wilaya zote, ambao hao ndiyo pia wasimamizi wa uchaguzi zote, zinazotokea kwenye maeneo yao.

Bila kusahau kuwa yeye Rais aliyeko madarakani ndiye pia anamchagua Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi na makamishna wake wote!

Hata hili suala la kumfananisha na Mungu, Kwa Rais aliyeko madarakani, kutoshitakiwa katika mahakama yoyote nchini, Kwa makosa yoyote aliyoyafanya, alipokuwa madarakani na hata pale anapotoka madarakani!

Kwa hiyo kutokana na kunogewa na madaraka makubwa mno aliyopewa Rais, ndiko kunakomfanya Rais yeyote anayeingia madarakani, achukie nchi kuandika Katiba mpya!

KATIBA MPYA NI SASA
 
Baada ya kauli ya aliyekuwa waziri wa Katiba, Dkt Ndumbalo kusema kuwa watatoa elimu ya Katiba Kwa miaka 3, nikdhani kuwa huo ulikuwa ni mtazamo wake na siyo wa chama chake.

Nani atakuwa amesahau, wakati Halmashauri Kuu ya CCM, ilipitoka na kauli kuwa hata wao CCM, wanaitaka Katiba mpya haraka iwezekanavyo!

Hivi watawala wetu wanadhani kuwa wananchi watakubaliana nao, kuendelea kutumia Katiba hii ya mwaka 1977??

Ninaamini pia kama Mwalimu Nyerere angekuwa hai hivi Leo, angelazimisha chama chake Cha CCM kikubaliane na kuleta Katiba mpya, Kwa kuwa inabidi nchi iende katika mfumo wa vyama vingi kiukweli, badala ya huu ulaghai inayoendelea.

Hivi unaweza kuwa na Katiba ya nchi yenye mfumo wa vyama vingi, Huku ukimrundikia madaraka makubwa mno, Rais aliyeko madarakani??

Bila kusahau kuwa yeye Rais aliyeko madarakani ndiye pia anamchagua Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi na makamishina wake wote!

Hata hili suala la kumfananisha na Mungu, Kwa Rais aliyeko madarakani, kitoshitakiwa katika mahakama yoyote nchini, Kwa makosa yoyote aliyoyafanya, alipokuwa madarakani na hata pale anapotoka madarakani!

Hivi ni watawala au ni viongozi?

Kwahiyo kumbe tulichagua watawala na sio viongozi?
Nipe tofauti ya kiongozi na mtawala, tafadhali!
 
Kiongozi ni yule anayesikiliza maoni ya wananchi waliomweka madarakani

Mtawala yeye hataki kusikia maoni ya wananchi waliomsimika madarakani na huwa na kiburi sana akiamini kuwa majeshi yanayomlinda ndiyo kinga yake kuuu!🙆
 
Baada ya kauli ya aliyekuwa waziri wa Katiba, Dkt Ndumbalo kusema kuwa watatoa elimu ya Katiba Kwa miaka 3, nikdhani kuwa huo ulikuwa ni mtazamo wake na siyo wa chama chake.

Hata kuondolewa kwake kwenye wizara hiyo na kupelekwa kwenye wizara ya michezo, niliamini kuwa ilitokana na kauli yake ya kutaka kufanya "delaying tactics" katika suala nyeti kama Hilo.

Hata hivyo baada ya kumsikia Rais Samia Suluhu Hassan, naye akikilipigilia msumari kuwa ni LAZIMA, watanzania wapewe elimu ya Katiba kwanza, kabla hatujatunga Katiba mpya, ndipo nimetambua kuwa, kumbe huo ndiyo msimamo wa chama chao Cha CCM!

Najaribu tena kujiuliza, hivi kumbe Hawa watu wa CCM, ni watu wanaotumia ulaghai katika shughuli zao za kisiasa?

Nani atakuwa amesahau, wakati Halmashauri Kuu ya CCM, ilipitoka na kauli kuwa hata wao CCM, wanaitaka Katiba mpya haraka iwezekanavyo!

Ninajua vile vile kuwa, kutopatikana Kwa Katiba mpya, kunatokana na wenyewe watawala wa CCM, kutokubali kuwepo Kwa Katiba mpya, ili tuendelee kutumia hii Katiba ya mwaka 1977, wakati huo tukiwa bado kwenye mfumo wa chama kimoja.

Hivi watawala wetu wanadhani kuwa wananchi watakubaliana nao, kuendelea kutumia Katiba hii ya mwaka 1977??

Kwani Tume ya Jaji Warioba ilifanya kazi Gani, kama siyo kutoa elimu na kukusanya maoni ya Katiba mpya??

Hivi Hawa watawala wetu, wanataka kutuambia kuwa hii Katiba tuliyonayo hivi sasa, ndiyo utashi wa wananchi walio wengi??

Hebu tujikumbushe, hata kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi, hao hao CCM, walitaka kutumia mbinu hii hii, wanayotaka kutumia hivi sasa, ya kwenda Kwa wananchi na kupokea maoni yao.

Mnakumbuka kilichotokea?

Pamoja na hayo maoni ya wananchi, ambao walikuwa asilimia 80, kudai kuwa bado wanapendelea kuendelea na mfumo wa chama kimoja, lakini Mwalimu Nyerere, ndiye aliyewalazimisha CCM, kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi.

Mwalimu alitoa sababu Kuu ya kukubaliana na asilimia Ile 20 iliyotaka mfumo wa vyama vingi, kuwa kutokana na dunia ilivyokuwa ikienda Kwa wakati huo, wanalazimika watawala wa CCM wa wakati huo, waingie kwenye mfumo wa vyama vingi, watake au wasitake!

Ninaamini pia kama Mwalimu Nyerere angekuwa hai hivi Leo, angelazimisha chama chake Cha CCM kikubaliane na kuleta Katiba mpya, Kwa kuwa inabidi nchi iende katika mfumo wa vyama vingi kiukweli, badala ya huu ulaghai inayoendelea.

Ukitafakari Kwa makini, utagundua kuwa hawa CCM, hawapendi nchi hii iwe na Katiba mpya, Kwa kuwa wanajua Katiba iliyopo sasa ndiyo inayoendelea kuwaweka madarakani!

Hivi unaweza kuwa na Katiba ya nchi yenye mfumo wa vyama vingi, Huku ukimrundikia madaraka makubwa mno, Rais aliyeko madarakani??

Nieleze kifupi tu Rais aliyepo madarakani, ambaye na yeye ni mgombea wa uchaguzi wa vyama vingi, ndiye anayewachagua wakurugenzi wa wilaya zote, ambao hao ndiyo pia wasimamizi wa uchaguzi zote, zinazotokea kwenye maeneo yao.

Bila kusahau kuwa yeye Rais aliyeko madarakani ndiye pia anamchagua Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi na makamishina wake wote!

Hata hili suala la kumfananisha na Mungu, Kwa Rais aliyeko madarakani, kitoshitakiwa katika mahakama yoyote nchini, Kwa makosa yoyote aliyoyafanya, alipokuwa madarakani na hata pale anapotoka madarakani!

Kwa hiyo kutokana na kunogewa na madaraka makubwa mno aliyopewa Rais, ndiko kunakomfanya Rais yeyote anayeingia madarakani, achukie nchi kuandika Katiba mpya!

KATIBA MPYA NI SASA
Tatizo udhaifu wa katiba mnaona jinsi ya kupata madaraka tu kuchagua na kuchaguliwa? Lakini yale yanayomhusu moja kwa moja amuyaoni na ndio maana Wananchi nao wamewapuuza
 
Katiba Mpya ni sasa
Watawala yes watawala msitufanye hatunazo
Nchi sio yenu ndeze nyie
Achilieni nchi ya wananchi sio watawala
 
Vifungu vya Katiba vingebandikwa barabarani kama picha za viongozi wetu wa kisiasa tungeijua vizuri tu
 
Baada ya kauli ya aliyekuwa waziri wa Katiba, Dkt Ndumbalo kusema kuwa watatoa elimu ya Katiba Kwa miaka 3, nilidhani kuwa huo ulikuwa ni mtazamo wake na siyo wa chama chake.

Hata kuondolewa kwake kwenye wizara hiyo na kupelekwa kwenye wizara ya michezo, niliamini kuwa ilitokana na kauli yake ya kutaka kufanya "delaying tactics" katika suala nyeti kama Hilo.

Hata hivyo baada ya kumsikia Rais Samia Suluhu Hassan, naye akikilipigilia msumari kuwa ni LAZIMA, watanzania wapewe elimu ya Katiba kwanza, kabla hatujatunga Katiba mpya, ndipo nimetambua kuwa, kumbe huo ndiyo msimamo wa chama chao Cha CCM!

Najaribu tena kujiuliza, hivi kumbe Hawa watu wa CCM, ni watu wanaotumia ulaghai katika shughuli zao za kisiasa?

Nani atakuwa amesahau, wakati Halmashauri Kuu ya CCM, ilipotoka na kauli kuwa hata wao CCM, wanaitaka Katiba mpya haraka iwezekanavyo?

Ninajua vile vile kuwa, kutopatikana Kwa Katiba mpya, kunatokana na wenyewe watawala wa CCM, kutokubali kuwepo Kwa Katiba mpya, ili tuendelee kutumia hii Katiba ya mwaka 1977, wakati huo tukiwa bado kwenye mfumo wa chama kimoja.

Hivi watawala wetu wanadhani kuwa wananchi watakubaliana nao, kuendelea kutumia Katiba hii ya mwaka 1977 ya mfumo wa chama kimoja??

Kwani Tume ya Jaji Warioba ilifanya kazi Gani, kama siyo kutoa elimu na kukusanya maoni ya Katiba mpya??

Hivi Hawa watawala wetu, wanataka kutuambia kuwa hii Katiba tuliyonayo hivi sasa, ndiyo utashi wa wananchi walio wengi??

Hebu tujikumbushe, hata kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi, hao hao CCM, walitaka kutumia mbinu hii hii, wanayotaka kutumia hivi sasa, ya kwenda Kwa wananchi na kupokea maoni yao.

Mnakumbuka kilichotokea?

Pamoja na hayo maoni ya wananchi, ambao walikuwa asilimia 80, kudai kuwa bado wanapendelea kuendelea na mfumo wa chama kimoja, lakini Mwalimu Nyerere, ndiye aliyewalazimisha CCM, kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi.

Mwalimu alitoa sababu Kuu ya kukubaliana na asilimia Ile 20 iliyotaka mfumo wa vyama vingi, kuwa kutokana na dunia ilivyokuwa ikienda Kwa wakati huo, wanalazimika watawala wa CCM wa wakati huo, waingie kwenye mfumo wa vyama vingi, watake au wasitake!

Ninaamini pia kama Mwalimu Nyerere angekuwa hai hivi Leo, angelazimisha chama chake Cha CCM kikubaliane na kuleta Katiba mpya, Kwa kuwa inabidi nchi iende katika mfumo wa vyama vingi kiukweli, badala ya huu ulaghai inayoendelea.

Ukitafakari Kwa makini, utagundua kuwa hawa CCM, hawapendi nchi hii iwe na Katiba mpya, Kwa kuwa wanajua Katiba iliyopo sasa ndiyo inayoendelea kuwaweka madarakani!

Hivi unaweza kuwa na Katiba ya nchi yenye mfumo wa vyama vingi, Huku ukimrundikia madaraka makubwa mno, Rais aliyeko madarakani??

Nieleze kifupi tu Rais aliyepo madarakani, ambaye na yeye ni mgombea wa uchaguzi wa vyama vingi, ndiye anayewachagua wakurugenzi wa wilaya zote, ambao hao ndiyo pia wasimamizi wa uchaguzi zote, zinazotokea kwenye maeneo yao.

Bila kusahau kuwa yeye Rais aliyeko madarakani ndiye pia anamchagua Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi na makamishina wake wote!

Hata hili suala la kumfananisha na Mungu, Kwa Rais aliyeko madarakani, kitoshitakiwa katika mahakama yoyote nchini, Kwa makosa yoyote aliyoyafanya, alipokuwa madarakani na hata pale anapotoka madarakani!

Kwa hiyo kutokana na kunogewa na madaraka makubwa mno aliyopewa Rais, ndiko kunakomfanya Rais yeyote anayeingia madarakani, achukie nchi kuandika Katiba mpya!

KATIBA MPYA NI SASA
Hakuna Rais anaweza kuwa mpumbavu akakubali kubadili katiba hii iliyepo. Mara nyingi nawaeleza Erythrocyte Retired brazaj etc hili jambo, wanashipaza shingo! Yametimia sasa
 
Hizi ni mbinu ovu na kishetani kabisa za CCM ili waendelee na uovu wao wa kuuza vilivyobakia!
Kamwe wa Tz wenye akili tusikubali kamwe!
 
Makamu m/kiti bunge lile lililo pindua rasimu ya Warioba akishirikiana na Sita na JK ameamua kama mbwai iwe mbwai. JK alibanwa na lichama na huyu anaelekea hukohuko ngoja tuone.
 
Hii ni mbinu ashakum simatusi ya Kipumbavu wasitufikiri sisi ni Ndezi wa mwituni.
 
Tatizo udhaifu wa katiba mnaona jinsi ya kupata madaraka tu kuchagua na kuchaguliwa? Lakini yale yanayomhusu moja kwa moja amuyaoni na ndio maana Wananchi nao wamewapuuza
Kwakuwa tangu tuingie kwenye mfumo wa vyama vingi CCM ndiyo bado kipo madarakani. Kwa Katiba ya CCM M/K wake Taifa ndiye Rais.

Hili linamfanya kuweza kuingilia hata Mihimili mingine kwa kuweza kuhakikisha Spika awe ni yule anaemtaka yeye kwakutumia cheo chake cha Uwenyekiti Taifa wa Chama chake cha CCM. Hapo Uhuru wa Bunge utatoka wapi??

Rais pia ndiye anaewateua Watendaji Wakuu wa Mahakama bila kumsahau Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Hapo Uhuru wa Mahakama utatoka wapi??

Tukiwa na Katiba Mpya na Bora lazima madaraka yale yapunguzwe. Hapo Bunge litafanya shughuli za wananchi kwa uwazi na Uhuru mpana bila memo toka juu. Kwa maana hiyo mwananchi wa kawaida atanufaika kwa uwakilisha Bora Bungeni.

Mahakama nazo zitatenda haki na haki hiyo kuonekana kwani watakuwa huru (bila maagizo kutoka juu). Ni faida tosha kwa mwananchi wa kawaida anaekimbilia Mahakamani kusaka haki yake.

Hata kwenye suala la wanasiasa bado wananchi wa kawaida wanahusika. Wananchi akitumia vema haki yao ya kumchagua kiongozi wanaempenda/anaefaa kuwaongoza na hatimae akashinda kwa haki basi wahusika watafurahi na kuonyesha ushirikiano kwake. Na hatimae wote kwa pamoja kushiriki ktk shughuli zao za maendeleo.
 
Makamu m/kiti bunge lile lililo pindua rasimu ya Warioba akishirikiana na Sita na JK ameamua kama mbwai iwe mbwai. JK alibanwa na lichama na huyu anaelekea hukohuko ngoja tuone.
Absolutely true

Tukifuatilia matamshi yake ya awali ya Rais Samia na yale aliyoyatoa enzi zile Rais Mstaafu Kikwete, inaelekea kuna wanachama tunaowaita "wahafidhina" ambao wanawatisha hawa ma-Rais walioko madarakani, ili wasikubali kamwe kutengeneza Katiba mpya, kwani kwa kufanya hivyo, itakuwa ndiyo kiama Chao!
 
Watanzania wanataka wapate Katiba kutoka kwa Mtawala willingly,maajabu ya Musa-hata huko kwenye Nchi za democracy watu wanapigania
 
Baada ya kauli ya aliyekuwa waziri wa Katiba, Dkt Ndumbalo kusema kuwa watatoa elimu ya Katiba Kwa miaka 3, nilidhani kuwa huo ulikuwa ni mtazamo wake na siyo wa chama chake.

Hata kuondolewa kwake kwenye wizara hiyo na kupelekwa kwenye wizara ya michezo, niliamini kuwa ilitokana na kauli yake ya kutaka kufanya "delaying tactics" katika suala nyeti kama Hilo.

Hata hivyo baada ya kumsikia Rais Samia Suluhu Hassan, naye akikilipigilia msumari kuwa ni LAZIMA, watanzania wapewe elimu ya Katiba kwanza, kabla hatujatunga Katiba mpya, ndipo nimetambua kuwa, kumbe huo ndiyo msimamo wa chama chao Cha CCM!

Najaribu tena kujiuliza, hivi kumbe Hawa watu wa CCM, ni watu wanaotumia ulaghai katika shughuli zao za kisiasa?

Nani atakuwa amesahau, wakati Halmashauri Kuu ya CCM, ilipotoka na kauli kuwa hata wao CCM, wanaitaka Katiba mpya haraka iwezekanavyo?

Ninajua vile vile kuwa, kutopatikana Kwa Katiba mpya, kunatokana na wenyewe watawala wa CCM, kutokubali kuwepo Kwa Katiba mpya, ili tuendelee kutumia hii Katiba ya mwaka 1977, wakati huo tukiwa bado kwenye mfumo wa chama kimoja.

Hivi watawala wetu wanadhani kuwa wananchi watakubaliana nao, kuendelea kutumia Katiba hii ya mwaka 1977 ya mfumo wa chama kimoja??

Kwani Tume ya Jaji Warioba ilifanya kazi Gani, kama siyo kutoa elimu na kukusanya maoni ya Katiba mpya??

Hivi Hawa watawala wetu, wanataka kutuambia kuwa hii Katiba tuliyonayo hivi sasa, ndiyo utashi wa wananchi walio wengi??

Hebu tujikumbushe, hata kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi, hao hao CCM, walitaka kutumia mbinu hii hii, wanayotaka kutumia hivi sasa, ya kwenda Kwa wananchi na kupokea maoni yao.

Mnakumbuka kilichotokea?

Pamoja na hayo maoni ya wananchi, ambao walikuwa asilimia 80, kudai kuwa bado wanapendelea kuendelea na mfumo wa chama kimoja, lakini Mwalimu Nyerere, ndiye aliyewalazimisha CCM, kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi.

Mwalimu alitoa sababu Kuu ya kukubaliana na asilimia Ile 20 iliyotaka mfumo wa vyama vingi, kuwa kutokana na dunia ilivyokuwa ikienda Kwa wakati huo, wanalazimika watawala wa CCM wa wakati huo, waingie kwenye mfumo wa vyama vingi, watake au wasitake!

Ninaamini pia kama Mwalimu Nyerere angekuwa hai hivi Leo, angelazimisha chama chake Cha CCM kikubaliane na kuleta Katiba mpya, Kwa kuwa inabidi nchi iende katika mfumo wa vyama vingi kiukweli, badala ya huu ulaghai unaoendelea.

Ukitafakari Kwa makini, utagundua kuwa hawa CCM, hawapendi nchi hii iwe na Katiba mpya, Kwa kuwa wanajua Katiba iliyopo sasa ndiyo inayoendelea kuwaweka madarakani!

Hivi unaweza kuwa na Katiba ya nchi yenye mfumo wa vyama vingi, Huku ukimrundikia madaraka makubwa mno, Rais aliyeko madarakani, ambaye pia ndiye Mwenyekiti wa chama chake Cha CCM??

Nieleze kifupi tu Rais aliyepo madarakani, ambaye na yeye ni mgombea wa uchaguzi wa vyama vingi, ndiye anayewachagua wakurugenzi wa wilaya zote, ambao hao ndiyo pia wasimamizi wa uchaguzi zote, zinazotokea kwenye maeneo yao.

Bila kusahau kuwa yeye Rais aliyeko madarakani ndiye pia anamchagua Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi na makamishna wake wote!

Hata hili suala la kumfananisha na Mungu, Kwa Rais aliyeko madarakani, kutoshitakiwa katika mahakama yoyote nchini, Kwa makosa yoyote aliyoyafanya, alipokuwa madarakani na hata pale anapotoka madarakani!

Kwa hiyo kutokana na kunogewa na madaraka makubwa mno aliyopewa Rais, ndiko kunakomfanya Rais yeyote anayeingia madarakani, achukie nchi kuandika Katiba mpya!

KATBA MPYA NI SASA
Kete zimebaki mbili ili ipatikane katiba.1.Yafanyike maandamano none stop nchi nzima kushinikiza KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI. 2.Yafanyike mapinduzi ya kijeshi ndani ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.Na hicho ndicho wanachosubiri watawala wetu nje ya hapo hakuna katiba ndugu zangu.Nia ya CCM IKO WAZI NA HAIJIFICHI NAYO NI KWAMBA HAWATAKI KATIBA.Ila wanachosubiri ili watake reaction ni machafuko au mapinduzi hapo tutajadili kwa mashiko zaidi lkn kwa sasa habari ya katiba haipo na huo ndio ukweli.CCM SIKUZOTE NI WAHUNI TU NA WEZI BASI.
 
Absolutely true 👏👏
 
Baada ya kauli ya aliyekuwa waziri wa Katiba, Dkt Ndumbalo kusema kuwa watatoa elimu ya Katiba Kwa miaka 3, nilidhani kuwa huo ulikuwa ni mtazamo wake na siyo wa chama chake.

Hata kuondolewa kwake kwenye wizara hiyo na kupelekwa kwenye wizara ya michezo, niliamini kuwa ilitokana na kauli yake ya kutaka kufanya "delaying tactics" katika suala nyeti kama Hilo.

Hata hivyo baada ya kumsikia Rais Samia Suluhu Hassan, naye akikilipigilia msumari kuwa ni LAZIMA, watanzania wapewe elimu ya Katiba kwanza, kabla hatujatunga Katiba mpya, ndipo nimetambua kuwa, kumbe huo ndiyo msimamo wa chama chao Cha CCM!

Najaribu tena kujiuliza, hivi kumbe Hawa watu wa CCM, ni watu wanaotumia ulaghai katika shughuli zao za kisiasa?

Nani atakuwa amesahau, wakati Halmashauri Kuu ya CCM, ilipotoka na kauli kuwa hata wao CCM, wanaitaka Katiba mpya haraka iwezekanavyo?

Ninajua vile vile kuwa, kutopatikana Kwa Katiba mpya, kunatokana na wenyewe watawala wa CCM, kutokubali kuwepo Kwa Katiba mpya, ili tuendelee kutumia hii Katiba ya mwaka 1977, wakati huo tukiwa bado kwenye mfumo wa chama kimoja.

Hivi watawala wetu wanadhani kuwa wananchi watakubaliana nao, kuendelea kutumia Katiba hii ya mwaka 1977 ya mfumo wa chama kimoja??

Kwani Tume ya Jaji Warioba ilifanya kazi Gani, kama siyo kutoa elimu na kukusanya maoni ya Katiba mpya??

Hivi Hawa watawala wetu, wanataka kutuambia kuwa hii Katiba tuliyonayo hivi sasa, ndiyo utashi wa wananchi walio wengi??

Hebu tujikumbushe, hata kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi, hao hao CCM, walitaka kutumia mbinu hii hii, wanayotaka kutumia hivi sasa, ya kwenda Kwa wananchi na kupokea maoni yao.

Mnakumbuka kilichotokea?

Pamoja na hayo maoni ya wananchi, ambao walikuwa asilimia 80, kudai kuwa bado wanapendelea kuendelea na mfumo wa chama kimoja, lakini Mwalimu Nyerere, ndiye aliyewalazimisha CCM, kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi.

Mwalimu alitoa sababu Kuu ya kukubaliana na asilimia Ile 20 iliyotaka mfumo wa vyama vingi, kuwa kutokana na dunia ilivyokuwa ikienda Kwa wakati huo, wanalazimika watawala wa CCM wa wakati huo, waingie kwenye mfumo wa vyama vingi, watake au wasitake!

Ninaamini pia kama Mwalimu Nyerere angekuwa hai hivi Leo, angelazimisha chama chake Cha CCM kikubaliane na kuleta Katiba mpya, Kwa kuwa inabidi nchi iende katika mfumo wa vyama vingi kiukweli, badala ya huu ulaghai unaoendelea.

Ukitafakari Kwa makini, utagundua kuwa hawa CCM, hawapendi nchi hii iwe na Katiba mpya, Kwa kuwa wanajua Katiba iliyopo sasa ndiyo inayoendelea kuwaweka madarakani!

Hivi unaweza kuwa na Katiba ya nchi yenye mfumo wa vyama vingi, Huku ukimrundikia madaraka makubwa mno, Rais aliyeko madarakani, ambaye pia ndiye Mwenyekiti wa chama chake Cha CCM??

Nieleze kifupi tu Rais aliyepo madarakani, ambaye na yeye ni mgombea wa uchaguzi wa vyama vingi, ndiye anayewachagua wakurugenzi wa wilaya zote, ambao hao ndiyo pia wasimamizi wa uchaguzi zote, zinazotokea kwenye maeneo yao.

Bila kusahau kuwa yeye Rais aliyeko madarakani ndiye pia anamchagua Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi na makamishna wake wote!

Hata hili suala la kumfananisha na Mungu, Kwa Rais aliyeko madarakani, kutoshitakiwa katika mahakama yoyote nchini, Kwa makosa yoyote aliyoyafanya, alipokuwa madarakani na hata pale anapotoka madarakani!

Kwa hiyo kutokana na kunogewa na madaraka makubwa mno aliyopewa Rais, ndiko kunakomfanya Rais yeyote anayeingia madarakani, achukie nchi kuandika Katiba mpya!

KATIBA MPYA NI SASA
Watawala vipofu husubiri watu wauane au kuzuke machafuko ndio walete katiba mpya watawala wenye akili na maono husoma alama za nyakati na kuamua kuruhusu mchakato wa katiba mpya kwa maslahi mapana ya taifa zima,Time will tell
 
Back
Top Bottom