Lowassa kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa

Kwa sasa, ccm na falsafa yake Lowasa is very fit candidate. Endeleeni mtakiona cha moto. mmeshawasaliti wakulima na wafanyakazi. Haya jamani:redfaces:
 
shika adabu yako mtoto. wangine humu jamvini wakati wakiwa shule ulikuwa hujatundikwa hata mimba. jitahidi kuchagua maneno ya kutumia hata kama mtu ametype vibaya. huo ndiyo ustaarabu!

Hajatype vibaya huyu ni utingo/konda ambaye amesikia tu ikitamkwa na wala hajui stori yenyewe ya Ngoswe na madodoso.
 
Hii ni kweli na hakika, jamaa anachukua Chama chetu cha Mapinduzi
 
Siyo mwenyekiti ila ana final say!

Wakuu kuna siku itafika tutaacha mzaha na nchi. Hainingii akili kuanza kumfikiria Lowassa kwenye nafasi yoyote ya uongozi. Hata ubunge wenyewe hakutakiwa kugombea, sasa inapozungumziwa yeye kuwa mwenyekiti wa chama, sijui kitakuwa ni chama gani. whether he did it or he did not, jina lake halisafishiki. Alikosea kujiuzulu u-PM, angekuwa safi asingejiuzulu.

Unless aingie kwa sababu za kulinda maslahi binafsi ya watu fulani, unless kusiwe na watu wenye uwezo wa kuwa viongozi isipokuwa yeye tu, sioni sababu ya jina hili kuendelea kuwepo kwenye majina ya watu wanatarajiwa kuwa viongozi.
 
bora lowasa awe mwenyekiti wa ccm taifa, tena aje agombee urais na awe rais wetu. mchapakazi sana tena anafaa sana kuiongoza tanzania.
 
Lakini watanzania jamani ni kitu gani ambacho hatukijui kuhusu hili? mbona kama we great thinkers saw it coming!!!!!!!!!!!!
 
EL kuwa m/kiti wa ccm ni sawa na kesi ya nyani hakimu ngedere, so from jk to el imekula kwetu kama ifuatavyo.
 
naona hii imeshindikana, tusubiri part two, EL, Chenge na RA watengeneze mkakati mpya wa kurudi!
 
Tanzania watu wenye pesa ndio wanaamua wawafanyie nini Watanzania lakini sio Watz wanataka wafanyiwe nini.Kwa hili sishangai na 2015 Lowasa akiwa raisi msishangae pia sbb mfano mdogo ni huu mswaada wa Katiba ambao utakuwa Sheria unawakilishwa na DSM,Dodoma,na Zanzibar kwa watu zaidi ya milioni 40 !!!!!!?hii inaingia akilini kweli?,na Watanzania bado wamekaa kimya tu ni mizaha tu hata hili la Lowasa ni mzaha na bado Watanzania mtakaa kimya na mtakufa bila kelele kwa kufungwa na propaganda za mafisadi wa ccm.
 
Back
Top Bottom