Lowassa kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa

nani ampe wenyekiti lowasa hawa wataenda wapi na kufu,
1,makongoro
2mwakyembe
3,mangula
4,mkapa
5,mwandosya
6,membe
7,nape
8,olesendeka
9,mzee butiku
10,mzee walioba
hatuko tayari kuwapoteza hawa pamoja na wanaccm aliowatangazia kuondoka ndani ya ccm akiwa dodoma,bora aondoke yeye na kundi lake la wezi anaowatumia kuwachafua wengine,
 
hana sifa ya kuwa mwenyekiti wa ccm bora aende kwenye chama chake na zito cha wezi na wasaliti,
 
Edward Lowassa alikua threat na bado ni threat kwa Kikwete...kwasababu hiyo Kikwete atahakikisha Lowassa hapewi nafasi ya kugombea Uraisi kwa tiketi ya CCM because of uncertain future.

Mnazifukua tu za zamani ili kuhalalisha kumuweka huyumadarakani
 
Good job sisiem. Unafikiri watanzania ni wajinga na wana-brain mbaya kama zenu? Ni ukweli ukikaa na vipofu wenzako hakuna wa kuwaonyesha mwanga unatokea upande gani.

Tanzania's Prime Minister Edward Lowassa has tendered his resignation after being implicated in an energy deal corruption scandal.
He has denied that his office was involved in improperly awarding a contract to US-based electricity company Richmond Development in 2006.

_44410170_palowassa203.jpg


Tanzanian PM to resign over graft
The firm failed to provide emergency power during a power crisis in 2006. Following Mr Lowassa's announcement to parliament, two other ministers linked to the scandal resigned. The BBC's Africa analyst Mary Harper says the offer of resignation from such a senior member of government for alleged links with corruption is unprecedented in Tanzania, and unusual in Africa.
Huyu ndiye ENL, future president?
 
Back
Top Bottom