Lowassa kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa

fangfangjt

JF-Expert Member
Apr 25, 2008
571
139
Baada ya matokeo mabaya kwenye uchaguzi mkuu uliopita na CCM kugawanyika katika makundi mawili, moja ni wale wazalendo na jengine wenye maslahi binafsi.

Imebainika wakati

-kundi la wazalendo likijaribu kukiimarisha chama kwa kutaka mafisadi na wale viongozi na wanachama wachafu watengwe na chama,

-kundi la pili liliojaa wabinafsi limesema matokeo mabaya ya chama uchaguzi mkuu uliopita umetokana na rais ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM Taifa kuelemewa na majuku ya kiserikali (ikiwamo kuzidi safari za nje), hivyo kukosa muda kuimarisha chama (kuzunguka kufungua matawi ya chama etc).
Hivyo wamependekeza Rais hasiwe mwenyekiti wa chama Taifa na kutaka nafasi hiyo ichukuliwe na mtu mwengine. Habari zinasema kuna mkakati wa nafasi hiyo ya Uenyekiti wa CCM Taifa kuchukuliwa na Lowassa ili aweze kuongoza chama kwenye uchaguzi mkuu ujao pamoja na kurahisisha kazi yake ya kujisafi ndani ya chama na kupata "support" yakutosha kujisafisha mbele ya wananchi.
 
Whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaat?:A S 2152::A S 2152::A S 2152::A S 2152::A S 2152::A S 2152::A S 2152::A S 2152::A S 2152::A S 2152:
 
Briliant, go go go CCM mchumu 'mwaaaaaaaaaaa' hatuwezi kuendelea kumlea mwenyekiti asiyekua na uwezo kama JK, kachoka kachoka kashindwa kashindwa hawezi hawez mwacheni aende, mchumu mwaaaaaaaa halo halo walisema hayawi mbona yamekua walisema hayawezi mbona kayaweza
 
sio ajabu, binafsi naona poa tu coz ni kawaida kwa mafisadi kutawala na kushika nyazifa za juu!
 
Ilitakiwa iwe hivyo tangu zamani. Wapi na wapi Rais ang'ang'anie u-enyekiti wa Chama pia?.
 
UTINGO umeisikia kwenye basi nini wakati wa kupakia mizigo, siyo ngoso ni NGOSWE. Zao la shule kata

shika adabu yako mtoto. wangine humu jamvini wakati wakiwa shule ulikuwa hujatundikwa hata mimba. jitahidi kuchagua maneno ya kutumia hata kama mtu ametype vibaya. huo ndiyo ustaarabu!
 
hawa jamaa ni matajiri lakini bado wananjaa na madaraka kama hawajala vile.waTz safari hii tumepatikana!!!!
 
Back
Top Bottom