LOWASSA kilichomjenga ni kujiuzuru, pale alithubutu, nani kama yeye anaweza kuuacha uwaziri mkuu?

hata jk akikaliwa kooni vizuri mbona ataachia? Haikuwa utashi wake kuachia ngazi hivyo hastahili sifa yoyote!
 
KATIBA MPYA ikiandikwa vizuri itatusaidia kuondokana na watu kama Lowasa. Katiba ya sasa haitatusaidia na CCM hawawezi kabisa. Nina imani na Jaji Warioba na tume yake. Nina hakika viongozi wa aina ya Lowasa hawatapewa nafasi kwenye katiba mpya. Lazima tuwe na miiko na miongozo thabiti ya kumpata Rais wetu ajae.
 
Whatever and however is said and going to be said against Lowassa but this man remains to be the best candidate from ccm if and only if this country seriously wants to at least move forward. Many of us have witnessed how the government lost its reputation before the public eye after his resignation. Despite all his weaknesses, as a human being, he tried at least to leave behind a very clear legacy. Is there any person in this country who doesn't know that Lowassa is a man of "decision and follow-up"? Definetely none! There are numerous and indisputable examples to justify this attribute. I know it is irritating to some jf members but frankly speaking, in my opinion, currently ccm does not have any member who can beat Lowassa. Thanks.
of say EL is a man of decision may be i can add tough decison. that is one point .let me ask myself what kind of decision . suppose his decision about looting the national wealth all for himself. i hope by year 2025 we will all be dead why?- he may decide to private every including citizenship. then we shall be noncitizen Lowasa can't and will never a ROLE MODEL LIKE NYERERE. LET HIM GO TO HELL HE IS MORE LESS THE SAME AS JK THEIR DIFFERENCE IS BASED ON THEIR ETHNIC ORIGINS BUT THEY RESEMBLE QUIET ALOT ON MALPRACTICAL EXPERIENCES. THE MEN OF SMALL BABES. WE ARE NO LONGER INTERESTED WITH MEN OF IMMORALITY. WE NEED A MAN OF VIRTUAL LEADERSHIP QUALITY
 
Hakuna jambo baya kama unafiki na njaa. Hizo njaa zenu zitawafanya mfanyiwe hata michezo mibaya. Huwezi kutuletea mada zile zile za jitu linalonuka uvundo wa wizi, utapeli na wizi. Kama mtu huwezi kusema mali ulizo nazo ulizipataje tafsiri yake ni nini? Amfufue Mwalimu Nyerere amjibu swali lake kwanza; " kabla hujaenda mbele zaidi kutaka urais, tueleze mali ulizo nazo umezipateje?". Akiweza tutampa kura, zaidi ya hapo abaki huko achunge mbuzi. Mtu alilazimishwa kujiuzuru kwa kashfa ya Richmond. Ziko wapi mvua zake za Thailand? Majizi makubwa. Pelekeni huko utapeli, tumechoka na upuuzi humu. Leteni mada za maana za kujenga na si miozo ya aina hii.
 
Yaani inaudhi sana Mkuu Jasusi yaani huyu Jambazi ndio apewe nchi kuanzia 2015!? watu hawaoni aibu wala kusikia vibaya kumfagilia fisadi huyu...labda hii ndio laana ya Mungu kwa nchi yetu....Vinginevyo haingii akilini kwa mtu mwenye mapenzi ya kweli na Tanzania kuja hapa kumfagilia huyu mwizi.

Kwani wanapenda hawa rafiki, ni njaa na tamaa vinawafanya wasione .
Nguvu ya pesa inafanya kazi , naona wamenunuliwa waanze kujenga hoja kwa mtu aliyekubali juu ya tuhuma za richmong hadi leo hajawahi kukanusha, tunahitaji ushahidi gani?
 
Pole sana mkuu kwa kushtushwa na msimamo wangu ila binafsi naamini hii nchi inshitsji viongozi vichwa ngumu na LOWASA anafaa sana hasa kwa nyakati kama hivi za kina PONDA

-Wa kupewa pole ni wewe mkuu.Ofcourse nimeshtushwa na uwezo wako wa kutumia computer halafu unashindwa kufikiria vizuri.
-Tanzania haihitaji vichwa ngumu hasa vichwa ngumu katika wizi na kugoma kutangaza vyanzo vya mapato
-Tanzania haihitaji strong men.Stop this old stone age madness.Huwezi kuwa na knowledge ya kubonyeza kompyuta au button za simu wakati huo huo unafikiria kwamba to creat a giant nation we need strong men,mzaha mbaya!
-Let me school you a bit,we neend strong institution with credible platform to produce credible leaders to govern us
-Suala la Sheikh Ponda ni emotionally charged,ni suala la imani na haliwezi kushughilikiwa kwa reflex action.Rejea paragraph yangu hapo juu,we need strong institution haki iwe inatendeka na ionekane ikitendeka.Mtu ambaye ameshindwa kutangaza hata source ya income zake hana ujaairi huu and he cannot fit anywhere.Anaogpa utajiri wake?
-kwa mentality yajo hii basi wataibuka elements kama za Sheikh Ponda kibao from religious institutions,civil societies,vyama vya siasa na taasisi za Elimu.Mimi mmojawapo!
-Kama unahitaji vichwa ngumu/strong men rudi kwenye ukoo wako mkuu uchague mtu wa aina hiyo kisha ulete matokeo hapa.Pole sana mkuu wangu,loh!
 
Pole sana mkuu kwa kushtushwa na msimamo wangu ila binafsi naamini hii nchi inshitsji viongozi vichwa ngumu na LOWASA anafaa sana hasa kwa nyakati kama hivi za kina PONDA

We utakuwa na matatizo sana..Yupi huyo unayemsema? Kama anaweza angeenda kula nao ubwabwa na kuji valisha mavazi ya watu kunajisi imani yao huku akijidai he is one among?

Evil heart can never attack the devil ni mtumwa wake. Je mtumwa aweza kwenda against bwana wake?

Ponda hana kosa lolote kwakua analolifanya linaendana na moral authority yake ila huyo mtu wenu hana morals ndiyo aweze kusaidia ya akina Ponda? Hana address kwa Mungu wala kwa shetani...Alidhani hata Mungu anaweza hongwa ndiyo maana kajipeleka nija eti akatabiriwe..Duuh Mungu amsaidie maana roho yake imejaa uasi hana amani hata chembe ya haradali..Aweze kwanza amani ya moyo wake ndiyo afikirie kuongoz wengine...
 
teh mkuu mbona watoka povu?? Nina matatizo kwa sababu nimemtaja PONDA?? au kwa sababu nimeona LOWASA anafaa kushika nchi??
kwa mtazamo wako hapa ni nini mabaya ya LOWASA??
 
  • Thanks
Reactions: Ame
-Wa kupewa pole ni wewe mkuu.Ofcourse nimeshtushwa na uwezo wako wa kutumia computer halafu unashindwa kufikiria vizuri.
-Tanzania haihitaji vichwa ngumu hasa vichwa ngumu katika wizi na kugoma kutangaza vyanzo vya mapato
-Tanzania haihitaji strong men.Stop this old stone age madness.Huwezi kuwa na knowledge ya kubonyeza kompyuta au button za simu wakati huo huo unafikiria kwamba to creat a giant nation we need strong men,mzaha mbaya!
-Let me school you a bit,we neend strong institution with credible platform to produce credible leaders to govern us
-Suala la Sheikh Ponda ni emotionally charged,ni suala la imani na haliwezi kushughilikiwa kwa reflex action.Rejea paragraph yangu hapo juu,we need strong institution haki iwe inatendeka na ionekane ikitendeka.Mtu ambaye ameshindwa kutangaza hata source ya income zake hana ujaairi huu and he cannot fit anywhere.Anaogpa utajiri wake?
-kwa mentality yajo hii basi wataibuka elements kama za Sheikh Ponda kibao from religious institutions,civil societies,vyama vya siasa na taasisi za Elimu.Mimi mmojawapo!
-Kama unahitaji vichwa ngumu/strong men rudi kwenye ukoo wako mkuu uchague mtu wa aina hiyo kisha ulete matokeo hapa.Pole sana mkuu wangu,loh!

Sikuungi mkono hata kidogo...Tanzania imejaa strong institutions kibao tu na hazina sauti kwa sababu hakuna vichwa ngumu katika mapambano...always katika mpambano wowote ule lazima kuwepo na FRONT LINE MEN and RISK TAKERS na hawa mara zote wamekosekana tangu mwalimu alipofariki...
Kwani unafikiri CCM sio strong institution au unafikiri vyama vingine viko safi kuliko ccm ...hapa cha muhimu ni kumpata mtu strong anayeweza kusimamia katika kile anachokiamini basi hizi nyingine ni porojo tuu
 
Katika histori ya tanzania,
ameshatokea mwanasiasa mtoa rushwa kama lowasa.

Hajawahi kutokea mwanasiasa Aliyeonyesha tamaa kubwa ya urais kama lowasa.

Alietengeneza mtandao mpana wa wapambe kama lowasa.

Anatuhumiwa kugawa rushwa ndani ya chama chake lakini hatasikumoja hajasimama kuikemea au kukana hizo shutuma.

Anakashfa ya ufisadi wa mabilioni na alijiuzulu lakini mwenyewe hajawai kuuthibitishia umma kwamba hakuhusika.

Lowasa Anatumia nguvu kubwa kujisafisha wakati angeweza kuanika ukweli hadharani kwa ushahidi kuwa hausiki then watanzania tukamuelewa.
 
Back
Top Bottom