LOWASSA kilichomjenga ni kujiuzuru, pale alithubutu, nani kama yeye anaweza kuuacha uwaziri mkuu?

Sikuungi mkono hata kidogo...Tanzania imejaa strong institutions kibao tu na hazina sauti kwa sababu hakuna vichwa ngumu katika mapambano...always katika mpambano wowote ule lazima kuwepo na FRONT LINE MEN and RISK TAKERS na hawa mara zote wamekosekana tangu mwalimu alipofariki...
Kwani unafikiri CCM sio strong institution au unafikiri vyama vingine viko safi kuliko ccm ...hapa cha muhimu ni kumpata mtu strong anayeweza kusimamia katika kile anachokiamini basi hizi nyingine ni porojo tuu

sitarajii uniunge mkono.
-Maana ya kichwa ngumu ni nini?
-Taja strong institution zilizopo nchini na ndani ya CCM na zimemsaidiaje mwananchi wa kule Mrere,Mashati-Rombo au kule Katoro Geita
 
hatuchagui chama mkuu tunachagua watu........

Mkuu, katika CCM hicho kitu hakipo!Hata kiongozi mzuri namna gani, bado atafata ilani ya chama(ataonywa-ingawa ana malengo mazuri)...na kama ndivyo hivyo kwa miaka yote hiyo CCM imefanya nini?

Na hapo ndipo ugumu unaokuja katika kumpigia kura kiongozi yeyote wa CCM, Asigwa J.
 
Join Date : 25th October 2012
Posts : 4
Rep Power : 0
Likes Received: 2

Likes Given: 0

Umeamua kuingia na user name mpya kabisa ili kuongeza idadi ya majina ya wanaompigia debe FISADI??????
 
Haya ni mawazo mufilisi na ni hatari kwa mustakbali taifa. Sina hakika na umri wako lakini kama we ni kijana ni hasara zaidi. Mnajitahidi kumtafutia EL umaarufu kwa njia za giza lakini hamtaweza. Amezama kwenye tope na hasafishiki. Ni aibu kujadili mtu ambaye amethibitika kutumia pesa nyingi kujijengea mtandao binafsi kisiasa eti anaweza kuwa kiongozi wa nchi. Hiyo pesa katoa wapi na atairudishaje? Ni kujadili mtu ambaye tulishampa nafasi ya kuongoza kama PM akatuibia mchana kweupe (Rich-Mond) na tukamfukuza. Tofauti ya Lowasa na mafisadi wengine ni kwamba yeye ana uchu wa kupitiliza wa madaraka ndo maana hachoki kukusanya 'njaa kali wa kumuunga mkono' kila siku na wajinga ndiyo waliwao. Lowasa hafai kuwa kiongozi na yeye amethibisha hilo. Mwenyezi Mungu tuepushe na jinamizi hili.
 
  1. Katika histori ya tanzania, ameshatokea mwanasiasa mtoa rushwa kama lowasa
  2. Hajawahi kutokea mwanasiasa Aliyeonyesha tamaa kubwa ya urais kama lowasa.
  3. Alietengeneza mtandao mpana wa wapambe kama lowasa.
  4. Anatuhumiwa kugawa rushwa ndani ya chama chake lakini hata siku moja hajasimama kuikemea au kukana hizo shutuma.
  5. Ana kashfa ya ufisadi wa mabilioni na alijiuzulu lakini mwenyewe hajawai kuuthibitishia umma kwamba hakuhusika.

Lowasa Anatumia nguvu kubwa kujisafisha wakati angeweza kuanika ukweli hadharani kwa ushahidi kuwa hausiki then watanzania tukamuelewa.

Yaani hata mtoto mdogo wa leo au mwenye miaka 14 atakatepiga kura 2015 hatampigia kura ni heri alipigie JIWE kwani leo haoni matatizo ya Umeme uliosababishwa na Richmond hadi Symbion? na kusababisha gharama kupanda.
Ataelezwa rushwa zilivyomwagwa Chooni Chuo cha Mipango kuutafuta Urais kupitia Makundi na yeye mpiga kura hapati kitu kwa miaka itakayofuata
Uzuri tumeshawaelewa WAJINGA wanaotaka tumuweke akagombee ili apigwe chini na kina Zitto au Dr Slaa tumeshtuka TUMESHTUKA na mbinu hatuwaelezi bora kukaa kimya
 
Pole sana mkuu kwa kushtushwa na msimamo wangu ila binafsi naamini hii nchi inshitsji viongozi vichwa ngumu na LOWASA anafaa sana hasa kwa nyakati kama hivi za kina PONDA

Kwa hiyo ninyi wana CCM pro LOWASA mnaona PONDA ni ajenda NYETI ya CCM ya kushughulikia?
 
Yaani hata mtoto mdogo wa leo au mwenye miaka 14 atakatepiga kura 2015 hatampigia kura ni heri alipigie JIWE kwani leo haoni matatizo ya Umeme uliosababishwa na Richmond hadi Symbion? na kusababisha gharama kupanda.
Ataelezwa rushwa zilivyomwagwa Chooni Chuo cha Mipango kuutafuta Urais kupitia Makundi na yeye mpiga kura hapati kitu kwa miaka itakayofuata
Uzuri tumeshawaelewa WAJINGA wanaotaka tumuweke akagombee ili apigwe chini na kina Zitto au Dr Slaa tumeshtuka TUMESHTUKA na mbinu hatuwaelezi bora kukaa kimya

Mtu yeyote makini hawezi kumuunga mkono lowas kugombea urais.

Mkuu soma hii upate kumjua zaidi
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/345259-mjue-lowasa.html
 
Kwa hiyo ninyi wana CCM pro LOWASA mnaona PONDA ni ajenda NYETI ya CCM ya kushughulikia?
Mimi siyo mwana CCM mkuu nitake radhi........tunachagua watu hatuchagui chama......kura yangu itaenda kwa vicent nyerere na urais ni NI KWA JEMBE.........
 
kweli mkuu...LOWASA ndiye rais wa hii nchi 2015....full stop

atafika lakini 2015 maana afya yake sasa hivi hata kutembea anatembea kama anachechemea...tusije tukawa na rais anatembezwa kwenye wheelchair maana 2015 mpaka 2020 si mchezo
 
Hivi huyu mtoa mada anautafsiri vipi urais, hatuchagui rais kwa sababu ya mapenzi binafsi. UNAONA NCHI ILIPOFIKA? Tafakari, chukua hatua.
 
yaani inaudhi sana mkuu jasusi yaani huyu jambazi ndio apewe nchi kuanzia 2015!? watu hawaoni aibu wala kusikia vibaya kumfagilia fisadi huyu...labda hii ndio laana ya mungu kwa nchi yetu....vinginevyo haingii akilini kwa mtu mwenye mapenzi ya kweli na tanzania kuja hapa kumfagilia huyu mwizi.

huyo mwenye mapenzi ni nani?
Rais ni lowassa full stop.
 
atafika lakini 2015 maana afya yake sasa hivi hata kutembea anatembea kama anachechemea...tusije tukawa na rais anatembezwa kwenye wheelchair maana 2015 mpaka 2020 si mchezo

Well said mkuu. Binafsi nimebahatika kumwona zaidi ya mara 3 kwa karibu sana (si zaidi ya mita 5), ki ukweli kwa afya yake nafikiri anahitaji kupumzika sio tu ktk urais bali ni siasa kiujumla wake.
 
mi nitafurahi kama siku moja yeye mwenyewe atakuja hapa jamvini na kutoa hayo yaliyopo moyoni mwake Lowassa kwamba anafikiria kugombea uraisi? na ni kwannn ameamua hivyo? sera zake ni zipi kwa maslahi ya Tz / na moja ninayoisubiri kwa hamu ni strategic gani atatumia kuzuia lile bomu la vijana ambao hawana ajira lisije likapasuka?????????????/
 
Ajenda! Huyo ni mmojawapo wa wanasiasa opportunists wanaotaka kutumia matatizo ya vijana yaliyoasisiwa na mfumo ambao hata yeye alishiriki kuulea.Hana ajenda ya kitaifa kwa vijana!
 
Back
Top Bottom