Lowassa aongoza kamati ya bunge ziarani-Morocco

KOMBAJR

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
5,827
1,271
Heshima kwenu Wanabodi, Jana Gizakuu alianzisha Thread hapa yenye kichwa cha habari Lowasa Hoi Tena na katika maelezo yake ameeleza kuwa alipitishwa airport akirudishwa kwenye matibabu kutokana na afya yake kuzorota.Thread yake ilipata wachangia wengi mi nikiwa mmoja wapo.Ila chakushangaza katika pitapita zangu katika vipasha habari nimekuta na hii picha ambayo inaonyesha kuwa lowasa yupo moroco na ni mzima wa Afya.saa hii inacontradict na thread ya gizakuu!

View attachment 53097

Mytake:Thead kama hizi ambazo habari zake hazina ukweli kwa kiasi flani inashusha hadhi ya JF.Plz mods ondoa hiyo Thread.
 
huyu giza kuu, si ndio amejiunga nadhani jana au juzi tu!

the good thing ni kwamba watu wa aina hii huwa tunawagundua mapema na kuwapuuza kwa sababu we are great thinkers.

kama habari hii ni kweli
 
Sasa tuta aminje kama habari yako niya kweli,tulikua tumeandaa sherehe fisadi anakufa ni ushindi kwetu Mungu anakuwa amejibu maombi yetu.
 
Komba na giza kuu hapa sasa hatujui nani uzi wake ni ukweli maana wote hamjatoa source ya kueleweka ambayo hata nikitaka kuverify naweza. Hebu komba anza kwa kutueleza hivyo vi pasha habari vyako ni vipi.
 
picha%2Bnamba%2B3%2B.jpg

Aliyeleta mada ya kwamza Lowasa ni mgonjwa hoi habari hizo alizotoa wapi wakati licha ya mada hii hapa, nimeona kwenye vyanzo mbalimbali Lowasa akiwa Ziarani Moroko akiongoza Kamati yake ya Bunge. Sipendezwi na ushabiki wa aina hiyo, tuwe kweli great thinker.
 
Mod fuatilie kama ni kweli mwanzisha thread ile nyingine mpige ban. JF tunaitumia kama kupashana habari sasa kama inatumika kueneza uzushi ni hatari.
 
Hebu tuwe serious.tuache kupost thread za uongo hapa.ukiwa huna uhakika tumia neno TETESI.Vinginevyo tutashusha hadhi ya jamvi letu.
 
Komba na giza kuu hapa sasa hatujui nani uzi wake ni ukweli maana wote hamjatoa source ya kueleweka ambayo hata nikitaka kuverify naweza. Hebu komba anza kwa kutueleza hivyo vi pasha habari vyako ni vipi.

Habari ya Loweza kwenda safarini nje kikazi akiongoza kamati ya bunge ni habari ya kweli na habari hii ipo kwenye mitandao na vyombo mbalimbali vya habari. Ila habari ya ugonjwa ndio yenye utata, maana haijatokea kwenye vyombo vya habari hakika na source yake haikuwa wazi.
 
Ni vizuri siku zote kupata ukweli halisi. Hata hivyo mkuu, picha uliyoweka hapa si lazima iwe uthibitisho kuwa EL yuko Morocco. Ni vizuri udisclose sorce ya information uliyotoa hapa, usije na wewe ukafananishwa na gizakuu.
 
Amini unachoamini. Hulazimishwi.
 
Komba na giza kuu hapa sasa hatujui nani uzi wake ni ukweli maana wote hamjatoa source ya kueleweka ambayo hata nikitaka kuverify naweza. Hebu komba anza kwa kutueleza hivyo vi pasha habari vyako ni vipi.

Mkuu hiyo habari source:Michuzi blog picha na habari!
 
nyote siwaamin labda aliye sema lowasa mgonjwa ntamuelewa. Humu jf wapo watu kibao wanampigia debe lowasa na kumsafisha na hawataki lowasa asemwe kwa mabaya yoyote. Huyu lowasa mgonjwa tu hadi atakapo kanusha. hizi picha zimepigwa lini? tuacheni kidogo bana.
 
Hivi kuna mtu anajua madhumuni ya ziara hii ni nini?

Suala sio madhumuni ya ziara. Suala ni watu walisema jana kuwa alipitishwa airport fasta akiwa hoi kwenda nje kwa matibabu wakati inaonekana alikuwa anaenda ziarani Morocco. Siku hizi VIP ya Dar airport wanapita wagonjwa tuu?

nyote siwaamin labda aliye sema lowasa mgonjwa ntamuelewa. Humu jf wapo watu kibao wanampigia debe lowasa na kumsafisha na hawataki lowasa asemwe kwa mabaya yoyote. Huyu lowasa mgonjwa tu hadi atakapo kanusha. hizi picha zimepigwa lini? tuacheni kidogo bana.

Najua ungependa sana kusikia Lowassa akiwa mgonjwa hoi ili kuutuliza moyo wako.
Sometimes ni vigumu kuuamini ukweli.
 
Kama ni kweli ile Thread ya jana ilikuwa changa la macho inapasa jamaa aliyeanzisha apigwe BAN nzito sana.Alimchanganya kamanda Invisible akaipaisha kwenye other social netiweki kumbe hakukuwa na uzibitisho.Na hata hii kama haina ukweli huyu naye ashughulikiwe.
 
Two things to be done;
1. Picha hizi ni za lini?
2. Ni lini pia alipitishwa airport kupelekwa kwa matibabu.

Tukiyajibu haya nadhani tutasonga, kuumwa ni suala la dharula, unaweza kuwa mzima sasa na baadae ukapatwa na ugonjwa.
 
Back
Top Bottom