Lowassa aongoza kamati ya bunge ziarani-Morocco

Mie nilijua ni uongo ndio maana nikaachana na hiyo thread watu kama hawa ndio wanaichafua JF inaonekana sehemu ya majungu.
 
Mie nilijua ni uongo ndio maana nikaachana na hiyo thread watu kama hawa ndio wanaichafua JF inaonekana sehemu ya majungu.

Ritz we have clean our kidonda wenyewe and not waiting for nurse(Ritz) point taken
 
In every other discussion forum i visit you must post your source or your thread is deleted this is common BBS etiquette.

If it is a rumor say it is a rumor and where you heard it. If it is an article then post a link to the article.

These should be the rules that mods enforce if they want this forum to remain credible.
 
picha+namba+3+.jpg


1. Aliondoka na maji ya Kilimanjaro?
2. Ndani ya bahasha aliyoshika mkuu kuna nini? Je kapewa yeye au anatoa kwa mwenyeji wake?
3. Huyu mbunge mwenye ndevu nyeupe wa Tanzania ana fanana sana na wenyeji wake mwenye ndevu nyeupe je wana mahusiano ya kindugu?
 
Hapa JF inazama waoizamisha ni;

  1. Waleta mada za uongo
  2. wachangiaji wa mada za uongo- kuwa great thinker ni lazima utafakari kwa makini kabla hujadonoa keyboard za PC
 
Back
Top Bottom