Lowassa aongoza kamati ya bunge ziarani-Morocco

Jinsi watu tunavyomtakia mabaya ndivyo shetani anavyomtetea kwa Mungu ili aendelee kudunda kimtindo!
 
Zamani JF ilikuwa inaheshimika hoja motomoto, habari za kweli na mambo ya mana siku hizi imeshakuwa kijiwe cha porojo na utumbo mwingi tu!! sijui itumike modality ipi kurudisha heshima ya JF labda mtu akipost kitu kikaja gundulika kilikuwa cha uongo mods wampige ban ya maisha itasaidia watu kuwa na discpline la sivo sioni tofauti sasa kati ya JF na Facebook!!
 
Dawa ni moja tu, thread ikitiliwa mashaka itupwe kwenye Jukwaa la Udaku. Mleta mada akiona habari yake imedhalilishwa alalamike kule jukwaa la Malalamiko na athibitishe kuwa alichoandika sio uwongo.

Hii dawa niliwahi kuitumia; nilipewa na dakta Invinsible na wenzake, ukweli ni kuwa ilinitibu kweli kweli mpaka dakta Invisible akafurahi.
 
Sasa tuta aminje kama habari yako niya kweli,tulikua tumeandaa sherehe fisadi anakufa ni ushindi kwetu Mungu anakuwa amejibu maombi yetu.

Yasemwa kuwa " mwombee adui yako aishi siku nyingi........" sasa wewe ndugu wamwombea kifo?!!!! Tz imefika pabaya.
 
Zamani JF ilikuwa inaheshimika hoja motomoto, habari za kweli na mambo ya mana siku hizi imeshakuwa kijiwe cha porojo na utumbo mwingi tu!! sijui itumike modality ipi kurudisha heshima ya JF labda mtu akipost kitu kikaja gundulika kilikuwa cha uongo mods wampige ban ya maisha itasaidia watu kuwa na discpline la sivo sioni tofauti sasa kati ya JF na Facebook!!
Naunga mkono hoja.
- Wazushi na wafitini wamekuwa wengi.
- Mtu ana suala la mipasho au dini, kwa kuwa anaona hapa ndio kuna wasomaji wengi, analileta hapa.
- Mtu katikati ya mada makini, akiona anazidiwa kwa hoja anaporomosha matusi ya nguoni. Lusindes@work.
- Mtu hata hapitii threads zilizopo tayari, anakimbilia kupost habari hiyo hiyo. Ni kutaka umaarufu au uvivu? Inaudhi!

Tushukuru kuwa JF mtu anapost habari inachapishwa hapo hapo. Kwengine inaweza kukaa hadi wiki inachujwa na kutafutwa usahihi na usafi wake. Hapa hilo haliwezekani kwani MODS wetu ni watu wa kujitolea na wanashughuli zao nyengine. Lakini nakubaliana wakibaini habari ni ya uongo, wapigwe LIFE BAN
 
Two things to be done;
1. Picha hizi ni za lini?
2. Ni lini pia alipitishwa airport kupelekwa kwa matibabu.

Tukiyajibu haya nadhani tutasonga, kuumwa ni suala la dharula, unaweza kuwa mzima sasa na baadae ukapatwa na ugonjwa.
Wakati mwingine habari za kichokozi hata kama si za kweli zinasaidia maana mada isingechokozwa tusingejua huyu mwizi yuko pande. Ipi ya dunia
 
Jana nilicomment kwenye ile thread ya kizushi kwamba Lowassa ni mzima na yuko ziarani Morocco kwa mujibu wa Serukamba ila watu wakapuuza, nashukuru aliyeanzisha hii thread, moderators tafadhali mchukulieni hatua giza kuu, anashusha hadhi ya hili jukwaa
 
Jamani ukweli ni kwamba Lowassa haumwi.
Hata kama angeugua msitegemea kuwa atakufa. Ile ni roho ya paka jamani!
 
Ni kweli EL yuko ziarani na Kamati ya Bunge lakini vilevile afya yake bado mgogoro kwani hata vikao vya Bunge liliopita hakuhudhuria vyote.
 
Bahati nzuri sikuchangia chochote kwenye uzi ule.....poleni mliochangia na kuonesha - attitude. Kutubu si vibaya. Lakini mwanzisha uzi, hana sababu ya kuendelea kuwepo jamvini
 
uzima wake ndo furaha yetu ili aweze kutoa ushahidi mbele ya mahakama watu alioshirikiana nao kuifisadi nchi yetu.
 
nyote siwaamin labda aliye sema lowasa mgonjwa ntamuelewa. Humu jf wapo watu kibao wanampigia debe lowasa na kumsafisha na hawataki lowasa asemwe kwa mabaya yoyote. Huyu lowasonjwa tu hadi atakapo kanusha. hizi picha zimepigwa lini? tuacheni kidogo bana.
AMA KWELI WEWE DUBU Jike au mbona unapewa hata chanzo halafu hutaki kuamini je ni vibaya watu kumtetea? au unataka watu wa mtetee sitta na baba mwanaasha? acha chuki binafsi ficha aibu yako.
o
 
Je, balozi wa tanzania nchini morocco au mwakilishi wake yumo kwenye ujumbe?
 
Jana kuna watu walifungiwa kisa kina Barubaru, tunataka yule aliyeanzisha uzi wa uongo kuhusu Lowassa naye anyongwe kama wengine

Mh Lowassa akizungumza na spika wa seneti ya Morocco, Mohamed Yatim
Wajumbe wa kamati ya bunge wakiwa na mwenyeji wao Mohamed Yatim Morocco ambako wako kwa ziara ya kikazi.
 
Kama ni kweli ile Thread ya jana ilikuwa changa la macho inapasa jamaa aliyeanzisha apigwe BAN nzito sana.Alimchanganya kamanda Invisible akaipaisha kwenye other social netiweki kumbe hakukuwa na uzibitisho.Na hata hii kama haina ukweli huyu naye ashughulikiwe.

Ur very right mkuu nazima tuwe na standards hapa siyo kila kitu ata ambacho hakina ukweli kwenda hewani!
 
Jana kuna watu walifungiwa kisa kina Barubaru, tunataka yule aliyeanzisha uzi wa uongo kuhusu Lowassa naye anyongwe kama wengine

Mh Lowassa akizungumza na spika wa seneti ya Morocco, Mohamed Yatim
Wajumbe wa kamati ya bunge wakiwa na mwenyeji wao Mohamed Yatim Morocco ambako wako kwa ziara ya kikazi.

Mods fuatilieni hii issue lazima JF iwe na standards ya information.
 
Ni kweli EL yuko ziarani na Kamati ya Bunge lakini vilevile afya yake bado mgogoro kwani hata vikao vya Bunge liliopita hakuhudhuria vyote.

Mkuu unachoongea kinaweza kuwa na ukweli lakini kwa hapa tunachozungumzia ni Uzi ulioanzishwa jana Gizakuu kuwa Lowassa amepitishwa Airport yupo hoi!kitu ambacho taarifa za leo zimeonyesha kuwa yupo morocco.

Mytake:Inapofika kwenye Afya itikadi tuweke pembeni..........Utu kwanza.
 
Wakati mwingine habari za kichokozi hata kama si za kweli zinasaidia maana mada isingechokozwa tusingejua huyu mwizi yuko pande. Ipi ya dunia

Uchokozi wenye uwe na Tija kwa Jamii Mkuu si kila kitu vitu vingine wacha vifanyike kule kwenye FB ila hapa Lets Be Seriuos!
 
Naunga mkono hoja.
- Wazushi na wafitini wamekuwa wengi.
- Mtu ana suala la mipasho au dini, kwa kuwa anaona hapa ndio kuna wasomaji wengi, analileta hapa.
- Mtu katikati ya mada makini, akiona anazidiwa kwa hoja anaporomosha matusi ya nguoni. Lusindes@work.
- Mtu hata hapitii threads zilizopo tayari, anakimbilia kupost habari hiyo hiyo. Ni kutaka umaarufu au uvivu? Inaudhi!

Tushukuru kuwa JF mtu anapost habari inachapishwa hapo hapo. Kwengine inaweza kukaa hadi wiki inachujwa na kutafutwa usahihi na usafi wake. Hapa hilo haliwezekani kwani MODS wetu ni watu wa kujitolea na wanashughuli zao nyengine. Lakini nakubaliana wakibaini habari ni ya uongo, wapigwe LIFE BAN

Thread kama hizi zinashusha hadhi ya JF mods na members kwa pamoja inabidi tuwe macho kufutilia na kuchuja issue ili tusije onekana kama kijiwe cha majungu.
 
Two things to be done;
1. Picha hizi ni za lini?
2. Ni lini pia alipitishwa airport kupelekwa kwa matibabu.

Tukiyajibu haya nadhani tutasonga, kuumwa ni suala la dharula, unaweza kuwa mzima sasa na baadae ukapatwa na ugonjwa.
JF naipongeza kwa kukosoana idumu. Pia naipongeza kwa kutupa habari kabla ya kusoma kwenye mitandao ya magazeti. Mola awabariki wote.
 
Back
Top Bottom