Elli
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 55,502
- 86,050
Kilimo kwanza bila wataalamu? kilimo kwanza kwa ndege ya kunyunyuzia dawa ya kukodisha? kilimo kwanza kwa pembejeo feki na zinazopatikana kwa njia feki? kilimo kwanza huku wizara ipo dar? kilimo kwanza kwa machinga complex? which is which? kilimo kwanza kwa kutegemea mvua? upuuzi mtupu, sitaki kusikia ujingab