Lowassa alivyoimbiwa na wajumbe wa CCM 2015

Ila JK ni mvumilivu sana sana na ana busara za hali ya juu. Kwa kweli anastahili hizo nafasi alizokwisha shika. Yaliyokuwa yanaendelea kipindi hiki, yalikuwa ni mambo ya ajabu na utovu wa nidhamu wa hali ya juu.
Hana uvumilivu wowote. Alimfanyia hiyana Salim Ahmed Salim asiwe Rais na baadae akamfanyia Lowassa hiyana asiwe Rais. Mwisho wake utakuwa mbaya sana
 
Ila kwa thread hii ya huyu jamaaa inathibitisha ngozi nyeusi akili zao.na wanyama hazijatofautiana sana..nilishasema ili tuendeleee tunahitaji wanzungu wakae kwenye nafasi kama urais,uwaziri, ubunge na majudge..ngozi nyeusi kwa akiii hizi bora wapelekwe shambani wakalime takataka kabisa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Zaidi ni wapi hao mkuu? Hao wanaoimba?
Hawa haters wa jk walioanzisha hii thread kufurahisha nafsi yao?
Au hao kina jk na enl?!!!
 
Hata hili jambo la kutokufungua jeneza limewapiga jiwe la usoni wanafiki.
Familia ya EL imenifundisha misimamo ya kweli na nafikiri ni maagizo ya EL mwenyewe.
Dah, mambo mengi muda mchache.......kuna wakati unataka kucheka hata kama hautaki.
 
Maslahi gani? Mpaka kupeleka jeshi Zanzibar kumzuia Maalim asiwe Rais? JK is an Idiot
Naona umekuja kwa nia ya ubishi na ushabiki, sitoenda hiyo njia kijana bado uwezo wako kuchambua mambo ni mdogo, endelea kuvuta shisha na kuandaa mikeka.
 
Hana uvumilivu wowote. Alimfanyia hiyana Salim Ahmed Salim asiwe Rais na baadae akamfanyia Lowassa hiyana asiwe Rais. Mwisho wake utakuwa mbaya sana
Wewe sio mungu mkuu , usidhani kwamba wewe kwakuwa humpendi basi na wengine hawampendi , mungu sio athumani anajua hata vilivyomo vifuani kwetu muacheni mzee wa watu aenjoy maisha , mungu amlinde na hasadi zenu wachawi kama wewe
 
Lowassa alikuwa ni chaguo la watu na ilikuwa ni makosa makubwa kumpa Nchi Magufuli.

Kikwete hapo aliwakosea Wananchi na hata alipokuja Upinzani alizulumiwa USHINDI.
Lowasa akiutaka Urais kwa hali na mali na wengi ulijawa na mihemko tu kama alivyosema Mwalimu 1995 kuwa "jina la Lowasa lilizungumzwa tena likizungumzwa kweli tena kwa ushabiki" 2015 ilikuwa hivyo pia ni ushabiki tu ila sio Jakaya wala Lowasa wote mfadhili wao alikuwa yule kila aendako Mama Kizimkazi naye yuko nyuma yake.
 
Back
Top Bottom