Be blessed! Lol
lakini hauzi Kokeini kama Ali Hassan Mwinyi na Amani Karume mpaka hivi leo bado wanapokea kamisheni zao za kuuza Unga
Mhindi anaeitwa Noushad (au eti Mfalme wa Paje Zanzibar) yeye hutumia boti za kasi kwenda kupekua madawa bahari meli kubwa zikipita east of unguja, anazo faiba eti za kampuni yake ya diving, lakini wao wana ajenda zenye baraka za Amani Karume, japo yeye hata airport anapitisha pia haguswi mtu wa bwana mkubwa. Mwingine anaepeleka kwa Magunia noti za Cash kwa bwana Mkubwa nae ni Carlos, eti ana yadi ya magari nyuma ya airport lakini ni danganyatoto tu, kuna ditail zaidi naweza kuzileta kama mnazihitaji.Mkuu tafadhali jazia jazia nyama kwenye hili
MkMhindi anaeitwa Noushad (au eti Mfalme wa Paje Zanzibar) yeye hutumia boti za kasi kwenda kupekua madawa bahari meli kubwa zikipita east of unguja, anazo faiba eti za kampuni yake ya diving, lakini wao wana ajenda zenye baraka za Amani Karume, japo yeye hata airport anapitisha pia haguswi mtu wa bwana mkubwa. Mwingine anaepeleka kwa Magunia noti za Cash kwa bwana Mkubwa nae ni Carlos, eti ana yadi ya magari nyuma ya airport lakini ni danganyatoto tu, kuna ditail zaidi naweza kuzileta kama mnazihitaji.
Who is Rupert Murdoch?
Nionyeshe asiyekula rushwa mmoja katika jamii ya leo na mimi niambie unatokea ofisi ipi harafu nitakuonyesha ulivyo mchafu kwa kula rushwa kuliko unayemhukumu.Huyo anafahamika kwa Rushwa tena zile kubwa kubwa
EL jembe kama hutaki subiri uchguz ukifika utaona!
Let us be serious,tatizo kubwa la Tanzania kwa saasa hivi ni umaskini uliosababishwa na matumizi mabovu ya rasilimari zetu pamoja na ufisadi,bila kuondokana na ufisadi hata tuvumbue bahari ya mafuta na upepo wa kusi ubadilike kuwa gesi,bado taifa litaendelea kuwa maskini na rasilimari zetu zitaendelea kuchukuliwa na mabepari huku sis tukiendelea kuwa vibarua kwenye migodi.Rasilimari zitaendelea kunufaisha watu wachache sana mafisadi na watoto wao na wake zao,watoto wetu wataendelea kulipia elimu,na wazazi maskini watoto wao elimu ya juu wataisikia bombani.Imagine watoto wachache wa maskini wanaopata mikopo wanamaliza vyuo wakiwa na madeni ya mamilioni wakiwa hawajui watalipa vipi madeni hayo kwani ajira hakuna.Endapo tutaendeleza ushabiki wa kipuuzi wa kusifia mafisadi na kutaka waendelee kufisadi taifa,amini madini,gesi na rasilimari zote tunazoendelea kugundua hazitaleta manufaa yoyote kwa Mtanzania wa kawaida.Hebu watanzania wenye uzalendo tusimame imara tuwakatae mafisadi na chama chao,tujaribu chama kingine tuangalie tofauti,miaka 5 sio mingi kama nao wataboa basi wanaondolewa kuliko kung'ang'ania chama ambacho tunacho kwa miaka 50 na bado Tanzania ni kati ya mataifa maskini saana duniani lakini yenye utajiri wa kutisha,we fikiria mtu tangu wakati wa baba wa taifa anautafuta uraisi hadi leo,ana ajenda gani?je anaweza kuukemea ufisadi kwa moyo wa dhati kabisa na kukemea wizi wa rasilimari zetu,je tatizo la ajira halikusababishwa na sera mbovu za magamba ambazo naye alishiriki kuzisimamia?je atabadilika vipi kuwa taofauti na mtu ambaye tunamjua fika?Je CCM inaweza kutoa candidate ambaye sio fisadi?ni nani huyo?
Wanajamvi
Mheshimiwa Edward Lowassa; Amekiri alipoanzisha mjadala wa tatizo la ajira kwa vijana ni bomu linalosubiri kulipuka HAKUELEWEKA.
Ni kweli serikali kwa kumtumia Mhe mama Kabaka walijibu mapigo na wengineo ndani na nje ya ccm na serikali.
Leo Mheshimiwa amesema wameanza kumuelewa akakazia kama wagombea Urais mataifa makubwa kama vile marekani wakina Obama na mwenzake wanazungumzia tatizo la ajira sie ni wakina nani tusione ni tatizo tukachukua hatua hata mmojammoja kulitatua.
Kuhusu vikoba amewambia Wanawake wawatume wabunge bungeni wakadai mabilioni ya JK Sasa yapelekwe kwenye VIKOBA na si mkoani tena. Akatoa wito kwa mbunge atakayekataa kutetea VIKOBA Anyimwe KURA!!!
Ni kweli kutoka eneo la tukio na taarifa za habari, vituo vya channel 10 na ITV kwa kina.
Wanajamvi wabunge, wapinzani wake, wapambe, wana vikoba, Serikali, Waliokosa ajira hasa vijana, Wanajamii forums tuchangie hoja hizo mbili Karibuni