Lowassa aanza kueleweka, atoa agizo kwa wananchi...

mi inanigusa kwa point kwamba, tunahitaji rais ambaye amekaa kidicteta, Tanzania ya leo tumefikishwa ambapo hata heshima ya rais haipo, hata sauti haisikiki. huyu ndugu EL he can. for me naona awe fisadi, mwizi i dont care, ila najua atazalisha Kingi zaidi kwa watanzania wa leo kuliko kutupa rais sio mwizi fisadi wala asiye mla rushwa halafu haizalishii nchi. Akigombea kwa chama chochote kile mi n ampa kura yangu. ni muda wa kuchagua mtu so chama
 
Wanajamvi
Mheshimiwa na mtarajiwa Rais Edward Lowassa; Amekiri alipoanzisha mjadala wa tatizo la ajira kwa vijana ni bomu linalosubiri kulipuka HAKUELEWEKA.
Ni kweli serikali kwa kumtumia Mhe mama Kabaka walijibu mapigo na wengineo ndani na nje ya ccm na serikali.
Leo Mheshimiwa amesema wameanza kumuelewa akakazia kama wagombea Urais mataifa makubwa kama vile marekani wakina Obama na mwenzake wanazungumzia tatizo la ajira sie ni wakina nani tusione ni tatizo tukachukua hatua hata mmojammoja kulitatua.
Kuhusu vikoba amewambia Wanawake wawatume wabunge bungeni wakadai mabilioni ya JK Sasa yapelekwe kwenye VIKOBA na si mkoani tena. Akatoa wito kwa mbunge atakayekataa kutetea VIKOBA Anyimwe KURA!!!
Ni kweli kutoka eneo la tukio na taarifa za habari, vituo vya channel 10 na ITV kwa kina.
Wanajamvi wabunge, wapinzani wake, wapambe, wana vikoba, Serikali, Waliokosa ajira hasa vijana, Wanajamii forums tuchangie hoja hizo mbili Karibuni

Tatizo liko palepale.... hata kwenye vikoba, mifumo ya usimamizi mzuri wa pesa upo??? au ni another phantom investments ili kupata kura tu???


we are very cheap
 
bdio wale waakina kikwete tuu maana yeye na kikwete sawa tuu hamnna kitu hapo Rais anatoka CHADEMA mwaka 2015 lajkin so ccm hapo amna kitu ni ubaguzi tuu na hivi sasa wameanza kwenye dini
 
mzee aliona mbali sana....vijana wanapokosa ajira wanarandaranda tu huko mitaani matokeo yake vurugu zinaanzishwa..hali sasa hivi ni ngumu..nakumbuka hata uk ilikua unemployment ikiongezeka hasa kwa vijana basi na uhalifu unaongezeka kwa sababu kama vijana hawana ajira, hawasaidiwi kuanzisha biashara au jinsi ya kupata kipato kihalali mnataka wakale wapi polisi? matokeo yake ndio wanaingia mtaani wanaanza kutukaba...hali ya nchi sasa hivi in terms of usalama ni mbaya mno...si mburahati si mbezi si masaki kote uwizi umekithiri..ikifika saa moja jioni tu unaona nje hakukaliki...tunakua watumwa kwenye nchi yetu wenyewe
 
bdio wale waakina kikwete tuu maana yeye na kikwete sawa tuu hamnna kitu hapo Rais anatoka CHADEMA mwaka 2015 lajkin so ccm
Hili la posibility ya urais kutoka Chadema, pia ni possible na ndio maana sichezi mbali na ZZK!. Unafuga kuku na njiwa, na kwenye kuteka maji, unajaza ndoo na kidumu!. Njiwa akiruka, unabaki na kuku, maji ya kwenye ndoo yakimwagika, unabaki na kidumu!.
 
Hivi TBC na waandishi wake wanapomuita Lowassa "waziri mkuu mstaafu" ni wazimu au ni utumwa? Maana hata wewe mwandishi wa TBC unapomwita hivyo unajisikiaje? Mnakera kweli!
 
Wanajamvi
Mheshimiwa na mtarajiwa Rais Edward Lowassa; Amekiri alipoanzisha mjadala wa tatizo la ajira kwa vijana ni bomu linalosubiri kulipuka HAKUELEWEKA.
Ni kweli serikali kwa kumtumia Mhe mama Kabaka walijibu mapigo na wengineo ndani na nje ya ccm na serikali.
Leo Mheshimiwa amesema wameanza kumuelewa akakazia kama wagombea Urais mataifa makubwa kama vile marekani wakina Obama na mwenzake wanazungumzia tatizo la ajira sie ni wakina nani tusione ni tatizo tukachukua hatua hata mmojammoja kulitatua.
Kuhusu vikoba amewambia Wanawake wawatume wabunge bungeni wakadai mabilioni ya JK Sasa yapelekwe kwenye VIKOBA na si mkoani tena. Akatoa wito kwa mbunge atakayekataa kutetea VIKOBA Anyimwe KURA!!!
Ni kweli kutoka eneo la tukio na taarifa za habari, vituo vya channel 10 na ITV kwa kina.
Wanajamvi wabunge, wapinzani wake, wapambe, wana vikoba, Serikali, Waliokosa ajira hasa vijana, Wanajamii forums tuchangie hoja hizo mbili Karibuni

Rais matarajiwa?.....labda wa kijiji chenu!:msela:
 
Huyu jamaa njaa ndio inamfanya ijivue nguo kiasi hiki, wabonge kwa mteremko!
 
mi inanigusa kwa point kwamba, tunahitaji rais ambaye amekaa kidicteta, tanzania ya leo tumefikishwa ambapo hata heshima ya rais haipo, hata sauti haisikiki. Huyu ndugu el he can. For me naona awe fisadi, mwizi i dont care, ila najua atazalisha kingi zaidi kwa watanzania wa leo kuliko kutupa rais sio mwizi fisadi wala asiye mla rushwa halafu haizalishii nchi. Akigombea kwa chama chochote kile mi n ampa kura yangu. Ni muda wa kuchagua mtu so chama
nafikiri watua wenye akili timamu wataungana nawe kabisa tuache majungu el anauweza na anauwezo wa kuthubutu kabisa na kipindi chake cha upm ujama ulianza kabisa watu jurudi na juipenda nchi..nani leo anaweza kwend akujitolea beba tofali za ujenzi wa shule hakuna lakini el aliweza kabisa.... Na nchi ilinyoka kabisa na mtu mwenye maamuzi ya bila kuangalia usoni.. Haki yake mpeni hayo maneno ya ufisadi ni majungu tu ...lakini ukweli uko wazi ni mtu mwenye maamuzi kwa ajili ya maslahi ya taifa...mlisema fisadi leo ndo hiyo mmeinunua tena inaitwa simbion
 
Fisadi oyeeeee

Kamata mwizi men

Richmond

Mvua za Thailand
Muulize kwanza Ali Hassan Mwinyi na Amani Karume kwanini walijaza nchi na madawa ya kulivya (ukinizingua nakupa picha yote na majina ya mashirika wao hadi leo) hivi una habari Bakhresa alipataje utajiri ghafla? Alikuwa ndie mwizi mwenza wa Sheikh Amri Abeid Karume wa kumfichia mali ili Nyerere asijuwe, sasa toa hewa tena nikupe mistari zaidi
 
Mheshimiwa Pasco,

Rupert Mardoch wetu amekuwa ana msukumo gani kwenye siasa za Tanzania? maana huyu Mardoch wa kweli ana nguvu sana na anaweza kuyatumia magazeti kushawishi upepo wa mawazo ya wananchi.

Sasa huyu wa kwetu na Sky News ya TZ hakuna kitu, nani amemtuliza?
Media is power!, and he has that powers!, Alipotibuana na waziri kijana!, nini kilimkuta waziri kijana?. Alitibuana na Tido pale TBC kuhusu UK Premier league, nini kilichompata Tido!. Mwenye nguvu mpishe!.

Japo amejitanabaisha na chama fulani, naye ni kama Sabodo tuu ila yeye anafanya kwa siri sio wazi wazi kama Sabodo!. Watu hawajui mama yake mzani mwenyekiti wa chama fulani ni dada yake "Ruppert", na anamita mjomba!, hivyo vyovyote itakavyokuwa, "media empire yake" iko safe whoever atakayeingia 2015!.
 
Back
Top Bottom