Lowassa aanza kueleweka, atoa agizo kwa wananchi...

sidhani km nirahisi hivyo, pamoja na kwamba pesa inaongea still kit cha urais z not destined to EL
 
Be blessed! Lol

kuhusu AJIRA EL wacha kuongopea watu MAREKANI ..JAPAN..EUROPE..kote wao wanali Janga lajila sasa wewe ajila utaitoa wapi wakati VIWANDA VIMEZWA ARIDHI inaenderea kuuzwa wana miliki watu wachache..ajira hiyo ya vikoba ndio hajira??? wakati hata katiba haijui VIKOBA watanganyika tuche KUDANGANYIKA alafu ndio tunajiita WASOMI KWELI???TUNAONGOPEWA KITOTO IVI??? HATA NYERERE alimuona huyu Bwana kua hafai kua KIONGOZI WA INNCHI wewe PASCO una fagilia Unga
 
Let us be serious,tatizo kubwa la Tanzania kwa saasa hivi ni umaskini uliosababishwa na matumizi mabovu ya rasilimari zetu pamoja na ufisadi,bila kuondokana na ufisadi hata tuvumbue bahari ya mafuta na upepo wa kusi ubadilike kuwa gesi,bado taifa litaendelea kuwa maskini na rasilimari zetu zitaendelea kuchukuliwa na mabepari huku sis tukiendelea kuwa vibarua kwenye migodi.Rasilimari zitaendelea kunufaisha watu wachache sana mafisadi na watoto wao na wake zao,watoto wetu wataendelea kulipia elimu,na wazazi maskini watoto wao elimu ya juu wataisikia bombani.Imagine watoto wachache wa maskini wanaopata mikopo wanamaliza vyuo wakiwa na madeni ya mamilioni wakiwa hawajui watalipa vipi madeni hayo kwani ajira hakuna.Endapo tutaendeleza ushabiki wa kipuuzi wa kusifia mafisadi na kutaka waendelee kufisadi taifa,amini madini,gesi na rasilimari zote tunazoendelea kugundua hazitaleta manufaa yoyote kwa Mtanzania wa kawaida.Hebu watanzania wenye uzalendo tusimame imara tuwakatae mafisadi na chama chao,tujaribu chama kingine tuangalie tofauti,miaka 5 sio mingi kama nao wataboa basi wanaondolewa kuliko kung'ang'ania chama ambacho tunacho kwa miaka 50 na bado Tanzania ni kati ya mataifa maskini saana duniani lakini yenye utajiri wa kutisha,we fikiria mtu tangu wakati wa baba wa taifa anautafuta uraisi hadi leo,ana ajenda gani?je anaweza kuukemea ufisadi kwa moyo wa dhati kabisa na kukemea wizi wa rasilimari zetu,je tatizo la ajira halikusababishwa na sera mbovu za magamba ambazo naye alishiriki kuzisimamia?je atabadilika vipi kuwa taofauti na mtu ambaye tunamjua fika?Je CCM inaweza kutoa candidate ambaye sio fisadi?ni nani huyo?
 
Mkuu tafadhali jazia jazia nyama kwenye hili
Mhindi anaeitwa Noushad (au eti Mfalme wa Paje Zanzibar) yeye hutumia boti za kasi kwenda kupekua madawa bahari meli kubwa zikipita east of unguja, anazo faiba eti za kampuni yake ya diving, lakini wao wana ajenda zenye baraka za Amani Karume, japo yeye hata airport anapitisha pia haguswi mtu wa bwana mkubwa. Mwingine anaepeleka kwa Magunia noti za Cash kwa bwana Mkubwa nae ni Carlos, eti ana yadi ya magari nyuma ya airport lakini ni danganyatoto tu, kuna ditail zaidi naweza kuzileta kama mnazihitaji.
 
Tena aache unafiki waTZ sio watoto.. mbona amekua ktk serikali vipindi vyote hivyo alipendekeza nini kuhusu ajira, ni NEC amefanya nini,alikua WAZIRI na PM aliweza kutatua tatizo la ajira...Ni unafiki usio na kifani mtu anaeshiriki kupika then ndo huyo huyo anae igeuka serikali yake na ilani yao ya uchaguzi..By the way hivi LOWASSA kawafanyia nini WAMASAI miaka yote hiyo au anaridhika na ajira zao za ulinzi na nguo moja tu uku wakishinda machinjinjioni usiku kulinda angetuonesha mfano ktk jamii aliyoiongoza miaka yote hiyo..Pia tatizo la ajira LOWASSA lazima atambue kua ata US/UK/EUROPE zinahaha nadhani hafatilii kinachijiri ktk mataifa mengine...Kiufupi asiwatumie vijana kama daraja la kupatia urais kwani ataumbuka sio kitu rahisi kuwaajiri vijana labda aje na sera ya umri wa kustaafu uwe miaka 40 apo ataweza kwani maamuzi yake ya ukurupukaji anaweza akatatua hilo bomu analosema

Mhindi anaeitwa Noushad (au eti Mfalme wa Paje Zanzibar) yeye hutumia boti za kasi kwenda kupekua madawa bahari meli kubwa zikipita east of unguja, anazo faiba eti za kampuni yake ya diving, lakini wao wana ajenda zenye baraka za Amani Karume, japo yeye hata airport anapitisha pia haguswi mtu wa bwana mkubwa. Mwingine anaepeleka kwa Magunia noti za Cash kwa bwana Mkubwa nae ni Carlos, eti ana yadi ya magari nyuma ya airport lakini ni danganyatoto tu, kuna ditail zaidi naweza kuzileta kama mnazihitaji.
Mk
uu zilete tafadhali,,huyu mtu kwenye red nishamsikia na wakati flani ilidaiwa askari wa airport Dar aliwaweka mfukoni,walikuwa wanaenda kuchukua fungu kwake
 
Lowasa ndiye kiongozi anayefaa kuongoza jamii ya Kiafrika! Ni kiongozi kwa asili! Anaweza kukaa na jamii ya kiafrika na kutatua matatizo yake bila mikono na maelekezo ya nje. Mkapa alikua makini sana kumweka kwny wizara ya maji na mifugo na akatatua tatzo la maji kanda ya Ziwa. Amezungumzia sana suala kuuza ardhi kwa wageni wakati kuna watu wa ndani wenye uwezo. Baniani mbaya kiatu chake dawa.
 
Dah! Tatizo la watanzania ni ushabiki ! Ushabiki hua hauna faida kwa mshabiki ,mara nyingine ushabiki ni hasara km tunavyoona mtu anaweka rehani nyumba kwa ajili ya mechi ya timu mbili zinapocheza . Sasa ushabiki umekuja kwny siasa! Wasomi wa kitanzania wanaipotosha jamii kwa maksudi. Hivi ni kweli kwmb Lowasa alipokua amepewa madaraka kwny serika za awamu zote hakufanya kitu.? Hivi ni kweli kwmb Lowasa alipokua waziri mkuu hakufanya Chochote? Ni lazima tujiulize hakufanya chochote ukimlinganisha na nani? Na ni waziri mkuu yupi aliyesifiwa akiwa hai kama sio marehemu sokoine anayesifiwa na wakatoliki kwa lengo la kutaka kumtangaza mwenye heri baadae! Je,unafikiri angekua hai asingeitwa fisadi wakati alikua na wake wengi na mshahara wake ulikua mdogo angewamudu vipi bila kuwa na utajiri wa kimasai kama Lowasa? Watanzania wote wamepungukiwa na uadilifu kwa namna moja ama nyingine kama sio wa kiroho ni wa kimwili. Kuna walioko madarakani muda mrefu na wamegawana dili zote lakini wakaishia kwenye starehe za kuzaa watoto kila mkoa! Lowasa ameonyesha uwezo wa kusimamia hata fedha anazopata kwa kuziwekeza na hatimaye kuwa tajiri. Chuki dhidi ya Lowasa imepandikizwa kama chuki ya wanauamsho dhidi ya makanisa! Ni dhambi kubwa kumchukia mtu kwa sababu ya dhehebu lake au dini yake ,au kabila lake!
 
EL ni jembe na nitabaki kusema haya milele. hotba yake kenye sherehe za vcoba zimefunika hata za rais wetu kwenye dhifa za kitaifa. anyway watu watasema ni fisad ila ikumbukwe kwamba alizaliwa ukoo wa kitajiri sana. na baba yake alikuwa tajiri.
 
Hivi tunataka nini watanzania!?
Maendeleo au viongozi maskini na waliotoka ktk familia maskini? Nahofia watanzania wanadangwanywa na vijana wasomi kwamba wao wako makini kuliko vijana wa enzi za kina EL na wengineo! Vijana wa leo wamejawa na ubnafsi kuliko wale wa enzi hizo! Ndo mana wasomi na akili zao wanadanganywa na watu kama akina Faridi kwa waislam na Padri Slaa kwa wakatoliki ,mpaka wanapoteza fahamu na ufahamu wa kuutambua ukweli! Hivi kama tungekuwa na vijana wa kikatoliki na kiislam hasa suni achilia mbali madhehebu mengne ambayo yako nyutro ambao wanakaa na kutafakari kauli za kwamba hatuendelei kwa sababu ya wakristo unaotolewa na wakina Ponda na Faridi na Padri Slaa anayesema hatuendelei kwa sababu ya richmond na EPA ! Hivi kweli EPA na richmond ndo zimetufikisha hapa tulipo!? Jumla ya pesa za rchmnd na Epa hazifiki hata 1tr. Ni sawa tu na makusanyo ya siku 10 ya kodi! Kuna watu wenye signature kwny idara na wizara mbalimbali wanaiba matrilioni na hakuna mtu anayeweza kuwafuatilia kwsbb tu hawajaonyesha kwmb wanania ya kugombea uraisi. Kuna idara hata bungeni hazihojiwi na huko matrilioni yanapotea! Watanzania wa mijini na baadhi ya maeneo walioko kwny ofisi za Serikali wanamiliki raslimali zenye thamani ya zaidi ya tr.100(majumba,miradi mikubwa na midogo,magari ,mashamba , viwanja,mashule na vitalu vya madini na vya kuwindia.) . Asilimia kubwa ya hizi mali za wafanyakazi wa Tanzania zimepatikana kwa wizi na madili kwny ofisi za umma! Dili za kuandika posho za vikao vya kujadili maendeleo na utendaji wa kazi badala ya kufanya kazi,posho za safari za kwnd ulaya kuomba pesa za kujenga vyoo vya shule badala ya kurudisha Elimu ya kujitegemea,miradi ya tafiti zisizo na ugunduzi mwishoni ,kujilimbikizia mavyeti ya vyuo vya nje na vya ndani kwa lengo la kujipatia mishahara mikubwa huku muda wa kufanya kazi ukiwa hauzidi masaa 5,eti kumwona ni gharama tena kubwa .Maendeleo yatatoka wapi kwenye jamii kama hii yenye wafanyakazi wa secta ya umma wabinafsi wasiowajali wngne. Leo hii jiji la Dsm lina msongamano wa magari kwa sababu kila mtu anataka atoke na gari laki ,Magari binafsi 500 ni watu 500 tu walioko barbrn,ambao wangetosha kupanda mabasi 20 yenye abiri 25 au mabasi 10 yenye abria 50. Tuache kumlaumu Lowasa hata pale anaposema ukweli bado tunaukataa! Watu wameshalishwa sumu ya chuki na uwango akisema Padri Slaa au shekhe Ponda kwmb vijana hawana ajira basi anashangliwa kwa midadi na kuwarushia mawe wale wanaotofautiana na mitizamo yao. Tufikirie kisayansi zaidi sio kwa hisia .
 
Huyo anafahamika kwa Rushwa tena zile kubwa kubwa
Nionyeshe asiyekula rushwa mmoja katika jamii ya leo na mimi niambie unatokea ofisi ipi harafu nitakuonyesha ulivyo mchafu kwa kula rushwa kuliko unayemhukumu.

Labda tuongee lingine kuwa hawa wanaopiga kampeni za wazi kama vile wanataka wagawane madaraka kabla ya wakati.
Je sheria inasemaje ?
 
Katika kitu ambacho naamini mh.EL anaweza kukifanyia maamuzi magumu kuhusu ajira kwa vijana ni "urban to rural migration" hasa kwa vijana walioko mijini na kuwafanya walioko vijijini kubaki huko huko,wote hawa kujumuika pamoja katika kilimo cha kufa na kupona,uchimbaji wa madini katika machimbo ya kienyeji kwa umoja,uvuvi wa kisasa na wa ushirika,na mengine mengi ambayo kwa sasa ni vigumu kutekelezeka kutokana na muda ama utashi wa kisiasa.Kama hatutakubaliana na hili kama sululu ya ajira kwa vijana wetu basi ajira kwa vijana itakuwa ni agenda ya siri na vitisho juu ya mustakabali wa jamii zetu na hapo ndipo tutaamini kuwa bado tungali mikononi mwa mabeberu na system yao ya ki-babylon chini ya miamvuli ya mikataba na misaada ambayo nayo yawezekana ikawa si sawa kwa wakati huu.
 
Let us be serious,tatizo kubwa la Tanzania kwa saasa hivi ni umaskini uliosababishwa na matumizi mabovu ya rasilimari zetu pamoja na ufisadi,bila kuondokana na ufisadi hata tuvumbue bahari ya mafuta na upepo wa kusi ubadilike kuwa gesi,bado taifa litaendelea kuwa maskini na rasilimari zetu zitaendelea kuchukuliwa na mabepari huku sis tukiendelea kuwa vibarua kwenye migodi.Rasilimari zitaendelea kunufaisha watu wachache sana mafisadi na watoto wao na wake zao,watoto wetu wataendelea kulipia elimu,na wazazi maskini watoto wao elimu ya juu wataisikia bombani.Imagine watoto wachache wa maskini wanaopata mikopo wanamaliza vyuo wakiwa na madeni ya mamilioni wakiwa hawajui watalipa vipi madeni hayo kwani ajira hakuna.Endapo tutaendeleza ushabiki wa kipuuzi wa kusifia mafisadi na kutaka waendelee kufisadi taifa,amini madini,gesi na rasilimari zote tunazoendelea kugundua hazitaleta manufaa yoyote kwa Mtanzania wa kawaida.Hebu watanzania wenye uzalendo tusimame imara tuwakatae mafisadi na chama chao,tujaribu chama kingine tuangalie tofauti,miaka 5 sio mingi kama nao wataboa basi wanaondolewa kuliko kung'ang'ania chama ambacho tunacho kwa miaka 50 na bado Tanzania ni kati ya mataifa maskini saana duniani lakini yenye utajiri wa kutisha,we fikiria mtu tangu wakati wa baba wa taifa anautafuta uraisi hadi leo,ana ajenda gani?je anaweza kuukemea ufisadi kwa moyo wa dhati kabisa na kukemea wizi wa rasilimari zetu,je tatizo la ajira halikusababishwa na sera mbovu za magamba ambazo naye alishiriki kuzisimamia?je atabadilika vipi kuwa taofauti na mtu ambaye tunamjua fika?Je CCM inaweza kutoa candidate ambaye sio fisadi?ni nani huyo?

...Asante Ndugu Yangu na Mtanzania Halisi Mwenzangu. Mwenye Macho na Asome. Tuwekeni Njaa zetu Za Binafsi Kando na Tutangulize Utanzania wetu Kwanza.
Hakuna Ujinga Unaozidi Ule wa Kutaka Kuifua Kaniki Iwe Nyeupe Wakati Rangi yake Ya Asili ni Nyeusi na Haitatoka Kamwe na Utaishia Kuchubuka Mikono Tu Katika Jitihada zako za Kutaka Kufanya Hivyo...!

Wanajamvi

Mheshimiwa Edward Lowassa; Amekiri alipoanzisha mjadala wa tatizo la ajira kwa vijana ni bomu linalosubiri kulipuka HAKUELEWEKA.

Ni kweli serikali kwa kumtumia Mhe mama Kabaka walijibu mapigo na wengineo ndani na nje ya ccm na serikali.

Leo Mheshimiwa amesema wameanza kumuelewa akakazia kama wagombea Urais mataifa makubwa kama vile marekani wakina Obama na mwenzake wanazungumzia tatizo la ajira sie ni wakina nani tusione ni tatizo tukachukua hatua hata mmojammoja kulitatua.

Kuhusu vikoba amewambia Wanawake wawatume wabunge bungeni wakadai mabilioni ya JK Sasa yapelekwe kwenye VIKOBA na si mkoani tena. Akatoa wito kwa mbunge atakayekataa kutetea VIKOBA Anyimwe KURA!!!

Ni kweli kutoka eneo la tukio na taarifa za habari, vituo vya channel 10 na ITV kwa kina.

Wanajamvi wabunge, wapinzani wake, wapambe, wana vikoba, Serikali, Waliokosa ajira hasa vijana, Wanajamii forums tuchangie hoja hizo mbili Karibuni

Lowasa piga kazi kelele za chura zisikutishe, hao wanaokupinga ni wivu tu, kazi zako zinakubalika.
 
Let us be serious,tatizo kubwa la Tanzania kwa saasa hivi ni umaskini uliosababishwa na matumizi mabovu ya rasilimari zetu pamoja na ufisadi,bila kuondokana na ufisadi hata tuvumbue bahari ya mafuta na upepo wa kusi ubadilike kuwa gesi,bado taifa litaendelea kuwa maskini na rasilimari zetu zitaendelea kuchukuliwa na mabepari huku sis tukiendelea kuwa vibarua kwenye migodi.Rasilimari zitaendelea kunufaisha watu wachache sana mafisadi na watoto wao na wake zao,watoto wetu wataendelea kulipia elimu,na wazazi maskini watoto wao elimu ya juu wataisikia bombani.Imagine watoto wachache wa maskini wanaopata mikopo wanamaliza vyuo wakiwa na madeni ya mamilioni wakiwa hawajui watalipa vipi madeni hayo kwani ajira hakuna.Endapo tutaendeleza ushabiki wa kipuuzi wa kusifia mafisadi na kutaka waendelee kufisadi taifa,amini madini,gesi na rasilimari zote tunazoendelea kugundua hazitaleta manufaa yoyote kwa Mtanzania wa kawaida.Hebu watanzania wenye uzalendo tusimame imara tuwakatae mafisadi na chama chao,tujaribu chama kingine tuangalie tofauti,miaka 5 sio mingi kama nao wataboa basi wanaondolewa kuliko kung'ang'ania chama ambacho tunacho kwa miaka 50 na bado Tanzania ni kati ya mataifa maskini saana duniani lakini yenye utajiri wa kutisha,we fikiria mtu tangu wakati wa baba wa taifa anautafuta uraisi hadi leo,ana ajenda gani?je anaweza kuukemea ufisadi kwa moyo wa dhati kabisa na kukemea wizi wa rasilimari zetu,je tatizo la ajira halikusababishwa na sera mbovu za magamba ambazo naye alishiriki kuzisimamia?je atabadilika vipi kuwa taofauti na mtu ambaye tunamjua fika?Je CCM inaweza kutoa candidate ambaye sio fisadi?ni nani huyo?

Fisadi wa kufikirika!! mafisadi tunategemea wawe mahakamani, kama hawajafikishwa mahakamani wewe ni nani usimame uanze kushuku watu kuwa ni mafisadi? nadhani bado tunatatizo kubwa la uelewa!!!! Lazima mtu usimame katika haki, hata mwizi aliyekamatwa na ushahidi ni lazima upelelezi ufanywe kabla ya kupelekwa mahakamani, ushahidi ukikosekana huachiwa huru. Kitu ninachofurahi sasa ni kuwa watanzania walio wengi wanaanza kuelewa ndiyo maana hao wote wenye tuhuma bado wanaungwa mkono na wananchi.
 
Back
Top Bottom