Looking for male partner

Usiwajali wanaokutupia maneno yakejeli kwani maneno yao ni kama maji ya moto hayachomi nyumba,afadhali wewe umesema unamtaka wako mwenyewe wengine wanasema sijui rafiki yangu mara jirani,utampata mwenye kheir na wewe mtangulize Mungu na atakujalia utampata mwenye kukujali anaekuheshimu na kukupenda kwa dhati.....

Sasa hapo umemsaidia au ndio unampotosha kabisa?ni bora aelezwe ukweli la sivyo kilometer zitazidi kusogea bila kumpata huyo anayemtaka,Dada punguza masharti kidogo hasa hapo kwenye ngawila,toa kabisa hilo neno.
 
sasa hapo umemsaidia au ndio unampotosha kabisa?ni bora aelezwe ukweli la sivyo kilometer zitazidi kusogea bila kumpata huyo anayemtaka,dada punguza masharti kidogo hasa hapo kwenye ngawila,toa kabisa hilo neno.
bila ngawila maisha yanawezekana kweli?
 
Mdada tangu alipotuma hapa hajarudi tena........!!!!

Eti professional nimeajiriwa ndo nini?

Mkuu kwani ametoa tangazo ili ajibishane na watu au wanaopenda waweze kutuma PM na ambao wataacha PM aweze kuwa PM au ulitaka aanze kujibu kila post ?
 
Mtafute ambae haitaji hicho kigezo...!! mbona watu wapo wengi tu...?, ndio maana hii ni love connect yaani inaconnect watu wanaoendana vizuri nina uhakika wapo wanaotaka watu ambao hawapo financially stable wewe shusha bandiko lako la kuomba, na kuwajulisha kwamba haupo financially stable
itabdi nijibandike,,.......!
 
Mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 35,proffesional nimeajiariwa. Natafuta partner aliyenizidi umri, mrefu , prefably 170 cms and above, mature,financial stable.
Hebu ni-beep kwenye hii namba tufanye biashara..1-800-SAY-YEGO
 
Mimi nipo finacial stable na ni zaidi ya hizo cm sema nina miaka 28..so bado nanguvu ya kucheza quarter zote 4 kwenye basketball
 
Mimi urefu wangu ni 2m,mtalimbo wangu ni urefu wa rula 30cm,account yangu balance ya leo inasoma 158million,ni mweusi tii. Nakuhitaja sana.
 
akiwa bint mdogo mnasema oooh kwan hujaona huko mtaani,kanisan etc,huyu mtu mzima mnamponda tena eti anaweka mashart wakat mashine ishachemsha,lipi jema jaman?
 
Job K

What a narrow minded outlook on life??? ...............................................Hovyo!

Plummie

Wala usiwasikilize,my dear. In this world there is someone for everyone, be it here or somewhere else eventually utampata wako. Usife moyo wala nini kwa karne hii 35 is not that old for real men!!! Umri ni issue Labda kwa hivi vitoto visivyo na mbele wa nyuma so just ignore them. !!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
kwani wakaka wa 35 hawapo? Mbona wapo wengi tu jamani? Na financial stable ulitaka atafute legelege ? Gdluck mdada waje na cash flow zao kabisa na benk statment loh?
35 years,financially stable?... Bora nichukue kigoli.
Ila 35yrs unstable... may be, kwa mbegu na errands mbalimbali.
 
Duh wakuu kwa kutisha hivi kuna mwisho au limit ya kutafuta partner..., kumbukeni "One Man's Meat is other Man's Poison"..,

Kwahiyo mnaosema vigezo havifai wengine ndio wanavipenda.., maisha kila mtu anaendesha kivyake na kwa mapenzi yake..!!

Narudia Plummie usife moyo wewe fanya kile roho inapenda

Ahsante sana Mkuu VoR, yaani wengine wameamua kumshambulia huyu dada bila hata sababu yoyote ile ya maana. Dah!...Kila la heri Plummie katika kutafuta utakacho.
 
Hadi umefikisha 35 na bado hujapata "..170cm & financial stable.." inaashiria kuwa una matatizo makubwa kuliko unayojijua!
 
Umenipata,nilikua na hitaji kama lako,ila mi nakaa mbali.piga+255712336687
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom