Looking for male partner

Watu wanolewa hata wakiwa in their 40s inategemea ulivyopangiwa na Mungu.

nakubali kusoma hujui ila hata picha ya mgomea unashindwa kuitambua?
wewe 35 unataka finencial stable mkaka wa ova 35 utampata wapi??
mimi nakushauri ubadilishe tittle uweke:NAITAJI WA KUNIZALISHA
 
duh mimi naomba samahani kwa niaba ya comment ambazo nadhani zimemkatisha tamaa huyu mdada yaani tangia atoe hii post No.6 hajarudi tena..!!!

Pole sana Plummie hii sio kawaida endelea tu na kutafuta na sio wakati wote utakutana na comment kama hizi...!!

Pole sana na hongera kwa kuwa muwazi na kutafuta unachotaka
 
Mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 35,proffesional nimeajiariwa. Natafuta partner aliyenizidi umri, mrefu , prefably 170 cms and above, mature,financial stable.
yaani wewe ndo maana haujapata mpaka sasa,kama wewe unazo siutuzitumie na hakuna haja ya kuolewa,yaani umenikera sana hata km nilikuwa nahitaji kuoa nadhani wewe ni miongoni mwa wanawake ambao ningewaepuka kabisa na wengi wamekuepuka
unatafuta utajiri!!????lol
 
Hivi unataka ambaye hajaoa na ni above 35? Halafu finance zake unzitakia nini wakati wewe zako ziko stable.
 
natamani niktandike makofi ... huyo partner utampataje wakati hata kujieleza huwezi???? kwa nini umfikirie mwenzako kwa vigezo wakati wewe huwezi kuelezea vigezo kwa upande wako??? jembe la jirani kwa nini ulimie wakati lako hata kulishika huwezi??

ata me kaniboa boa kimtindo
 
Mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 35,proffesional nimeajiariwa. Natafuta partner aliyenizidi umri, mrefu , prefably 170 cms and above, mature,financial stable.

Me na sifa nyingi ulizozitaja,,,,emmanuelvitalis@tanzaniamail.com au 0713 64 44 85.
 
Mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 35,proffesional nimeajiariwa. Natafuta partner aliyenizidi umri, mrefu , prefably 170 cms and above, mature,financial stable.

Kwa umri huo bora ujikalie tu utafute kiserengeti boys na uanze kutengeneza pesheni
 
nakubali kusoma hujui ila hata picha ya mgomea unashindwa kuitambua?
wewe 35 unataka finencial stable mkaka wa ova 35 utampata wapi??
mimi nakushauri ubadilishe tittle uweke:NAITAJI WA KUNIZALISHA

Marytina, huyu mwenzetu kweli kachujuka mbaya!
Huyo mkaka above 35, financially stable anayemsubiri huyu mdada - labda kaumbiwa yeye lol
 
Usiwajali wanaokutupia maneno yakejeli kwani maneno yao ni kama maji ya moto hayachomi nyumba,afadhali wewe umesema unamtaka wako mwenyewe wengine wanasema sijui rafiki yangu mara jirani,utampata mwenye kheir na wewe mtangulize Mungu na atakujalia utampata mwenye kukujali anaekuheshimu na kukupenda kwa dhati.....

Unamdanganya. Hawezi kumpata wa kumpenda kwa dhati kama ametanguliza pesa. Financial stability yeye kaona ndo kipaumbele
 
nakubali kusoma hujui ila hata picha ya mgomea unashindwa kuitambua?
wewe 35 unataka finencial stable mkaka wa ova 35 utampata wapi??
mimi nakushauri ubadilishe tittle uweke:NAITAJI WA KUNIZALISHA
Watu mnauwa!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom