Looking for male partner

Mimi niko tayari mtoto,lakini kwanini unaweka age limit?age nothin but a number,what is needed here is real luv, I hope am the right choise to you babe, ma age is 31yrz,my net pay is 1.25mio pm,if u're interested inbox me ur mobile number.
 
nawewe ulikuwa wapi mpaka ushagonga35! Matatizo ya kung'ang'ania maelimu mno. Vitu huenda sambamba maishani, but jitahidi mama usije kuzaa mjukuu wako ila jaribu kumtanguliza mungu katika yote. Ila umechelewa sana how many kids do u plan to have? Maana 40-35:p!
 
Mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 35,proffesional nimeajiariwa. Natafuta partner aliyenizidi umri, mrefu , prefably 170 cms and above, mature,financial stable.

Kumbe nyie wadada ndoo mnavyo waza.
 
mm sina shida na mme, sitaki mme wa kabila fulani, naconcetrate kufanya mambo yngu ili asije nibabaisha, nitaolewa mwaka wowote waume hawaishi, hii ndo misemo waisemayo wasiojua kucalculate tomoro itakuaje. haya tamati 35yrs nga! asikudanganye m2 umeisha luka line hata wakija hawatadumu, wakati ukuta.
 
Plummie vipi nyumba ndogo inawezekana maana umri wako umeshakimbia sana.

Mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 35,proffesional nimeajiariwa. Natafuta partner aliyenizidi umri, mrefu , prefably 170 cms and above, mature,financial stable.
 
kwani wakaka wa 35 hawapo? Mbona wapo wengi tu jamani? Na financial stable ulitaka atafute legelege ? Gdluck mdada waje na cash flow zao kabisa na benk statment loh?
Hapo kwenye red na audited financial reports,pia profit and loss accounts
 
Duh wakuu kwa kutisha hivi kuna mwisho au limit ya kutafuta partner..., kumbukeni "One Man's Meat is other Man's Poison"..,

Kwahiyo mnaosema vigezo havifai wengine ndio wanavipenda.., maisha kila mtu anaendesha kivyake na kwa mapenzi yake..!!

Narudia Plummie usife moyo wewe fanya kile roho inapenda
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Comments za watu humu zimenifanya nicheke hadi nilichokuwa nataka kusema nimesahau
 
Plummie wishing you all the best Mungu akutimizie hitaji lako
 
"ameajiriwa professional''..

labda ana maanisha ameshasajiliwa ENGINEERS' REGISTRATION BOARD....au ANA C.P.A
 
natamani niktandike makofi ... huyo partner utampataje wakati hata kujieleza huwezi???? kwa nini umfikirie mwenzako kwa vigezo wakati wewe huwezi kuelezea vigezo kwa upande wako??? jembe la jirani kwa nini ulimie wakati lako hata kulishika huwezi??
 
Duh haya majibu makali. Its understandable ,talk of financial stability wakati unga wenyewe robo .Lazima jukwaa lichukie.
 
na ambao hatuko financial stable jee jamani??? kah

Mtafute ambae haitaji hicho kigezo...!! mbona watu wapo wengi tu...?, ndio maana hii ni love connect yaani inaconnect watu wanaoendana vizuri nina uhakika wapo wanaotaka watu ambao hawapo financially stable wewe shusha bandiko lako la kuomba, na kuwajulisha kwamba haupo financially stable
 
Mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 35,proffesional nimeajiariwa. Natafuta partner aliyenizidi umri, mrefu , prefably 170 cms and above, mature,financial stable.

Kutana na Mzee Zomba, nna qualify matakwa yako yote na zaidi. Nna wake wawili wa ndoa na wewe utafaa kuwa wa tatu. Ni PM kwa maongezi zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom