BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,015
Sijaelewa kwa nini inakuwa hivi, tangu jana, baada ya milipuko ya Gongolamboto, hatujapata a good report from the scene, hususan katika televisheni zetu. Jan ITV walikuwa wanaendelea tu na kipindi maalum cha mkutano wa viongozi wa dini, TBC wakiendelea na kipindi maalum cha Maulidi, Star TV nayo mambo sijui ya tamthilia.
Sasa hivi pia, no one is there, ukiachailia mbali ripoti za asubuhi katika taarifa za habari na kidogo ile ya TBC walioweza kufika kule, na taarifa ya Pinda bungeni, nothing is going on...wanaweka katuni, picha za Ki-Nigeria, wengine habari za huko nje, basi.
So wanasubiri kuitwa na akina Shimbo na Mwinyi waambiwe so so so and so, kisha watuletee. PLZ TV guys do ur homework. Picture whether in print or televisheni, tell more, especially kwenye event kama hizi. PLz. Msisubiri press conferences na press releases.
Sitashangaa kama Mafisadi ndani ya Serikali wamewaonya kutangaza kuhusu maafa hayo maana hii Serikali ya kifisadi inaweza kufanya chochote kile ili kuendelea kubaki madarakani