Local Media na tukio la Gongo la Mboto

Local Media zetu zimejaa lazybones! wanachosubiri ni kuitwa katika press conference, Semina, Makongamano, Mikutanoi etc etc walishwe, watafuniwe wao wameze wapewe brown envelope waondoke, au nje warecord ktk CNN,BBC,Al Jazeera wakaplay ktk taarifa zao za habari, KUTAFUTA HABARI HAWAJUI
 
Sijaelewa kwa nini inakuwa hivi, tangu jana, baada ya milipuko ya Gongolamboto, hatujapata a good report from the scene, hususan katika televisheni zetu. Jan ITV walikuwa wanaendelea tu na kipindi maalum cha mkutano wa viongozi wa dini, TBC wakiendelea na kipindi maalum cha Maulidi, Star TV nayo mambo sijui ya tamthilia.

Sasa hivi pia, no one is there, ukiachailia mbali ripoti za asubuhi katika taarifa za habari na kidogo ile ya TBC walioweza kufika kule, na taarifa ya Pinda bungeni, nothing is going on...wanaweka katuni, picha za Ki-Nigeria, wengine habari za huko nje, basi.

So wanasubiri kuitwa na akina Shimbo na Mwinyi waambiwe so so so and so, kisha watuletee. PLZ TV guys do ur homework. Picture whether in print or televisheni, tell more, especially kwenye event kama hizi. PLz. Msisubiri press conferences na press releases.

Hata aibu hawana, nilikuwa nasikia hata miziki ya starehe, Labda Tido aje kuwapa mafunzo maalumu kwamba TV zinawajibika vipi katika matukio makubwa kama haya. Hizi TV ni za kimaudhi tu, hata utamaduni wetu haupo hivyo. Kwenye msiba hatupigi disko. Hongera Clouds na radio imani na okoa.
 
Muziki,katuni,mpira au newz za nje inackitisha sana.Waonyeshe hali halisi mitaani kukoje kama ndani ya kambi ya jeshi bado ni tatizo basi japo hata kutangaza watoto waliopotea na mahali walipo 2weze kuwafuata
 
Back
Top Bottom