jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,990
- 22,522
Una maana gani?Ebu fafanua zaidi....Una maana gani kosa lililobaki ni la kikazi na si la kimahakama?Ni nini kilichobadilisha kosa kuwa la kikazi instead of mahakama?
Nadhani kama kazi aliyopewa ni ya wananchi,basi they still have the case,huyo bosi wake sisi wananchi ndio bosi wake,acha maluwe luwe mkuu!
Nadhani kama kazi aliyopewa ni ya wananchi,basi they still have the case,huyo bosi wake sisi wananchi ndio bosi wake,acha maluwe luwe mkuu!