Liyumba afutiwa shitaka moja

Huh!
Unasikia toka kwa nani?
.........NA FEDHA NI JAWABU LA MAMBO YOTE.!.....
 
Ya kweli hayo wadau?
More details: Mahakama imemfutia shitaka la kuisababishia serikai hasara. Anatakiwa ajitetee kwa kosa la matumizi mabaya ya ofisi. kwa kuwa masharti ya kosa lililobaki ni nafuu, ni dhahiri kwua ataachiwa kwa dhamana
 
Na kosa mlenyewe lililobaki si la kimahakama ni la kikazi...
 
He has learned a lesson hata akipewa dhamana.
Dawa ya muovu siyo lazima afe ndio tuone kaadhibiwa.Kudhalilika kulikompata, mateso ya kukosa uhuru, soni atakayokuwa nayo pale akiwa nje ya mahabusu - vyote ni mateso.
 
Sasa ni kipi cha kweli Mkuu wangu MN?

Ukweli ni kuwa amefutiwa shitaka ambalo lilikuwa ni zito, ndilo shitaka ambalo lililosababisha ashindwe kutekeleza masharti ya dhamana. Kosa la matumizi mabaya ya ofisi si zitp sana na anaweza kupewa dhamana leo hii akarejea nyumbani kwake. kesi aliyobakiwa nayo ni ya kosa jepesi
 
More details: Mahakimu wa Kisutu wamekataa kumwachia kwa dhamana. Ingawa amefutiwa shitaka lililokuwa linakwamisha dhamana, wamesema hawawezi kubadilisha masharti hayo kwa sababu yaliwekwa na Mahakama Kuu. Hivyo, kwa leo Liyumba atarudi Keko kuendelea na mahabusu, labda Jumatatu kama mawakiliw ake wakienda High Court na ikikubali kubadilisha masharti
 
Kweli kuna mtu anamtafuta huyu bwana lkn inaelekea wanashindwa hahahah LIYUMBAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Cha msingi wasikilize kesi yake haraka ili haki itendeke kwa serikali au kwake mwenyewe. Hizo pesa za kujenga hayo majengo hakula peke yake. Kwa nini aendelee kuwa mbuzi wa kafara? Ule mradi ulikuwa na mikono mingi ya udokozi , it was A CHAIN!! So why him?, Liyumba!! Hapa tutenganishe makosa yale ya kwake kijamii, yale ya vijigari red, but tuangalie haki na ukweli!!!
 
He has learned a lesson hata akipewa dhamana.
Dawa ya muovu siyo lazima afe ndio tuone kaadhibiwa.Kudhalilika kulikompata, mateso ya kukosa uhuru, soni atakayokuwa nayo pale akiwa nje ya mahabusu - vyote ni mateso.

Hii inaweza kumletea umaarufu zaidi kama itaangaliwa kinyumbani nyumbani, Na akaendeleza kale ka libeneke kake ( kwenye mabano) kwani bado anaweza nunua tugari twingi tu.
 
He has learned a lesson hata akipewa dhamana.
Dawa ya muovu siyo lazima afe ndio tuone kaadhibiwa.Kudhalilika kulikompata, mateso ya kukosa uhuru, soni atakayokuwa nayo pale akiwa nje ya mahabusu - vyote ni mateso.

WOS, kwenye issue ya Liyumba hebu tuwe fair japo kidogo, tuweke emotions pembeni, hakutendewa haki tangu day one.
Kama bodi ya BOT ilipitisha kiasi fulani cha kujenga majengo pacha, na baadaye Liyumba akazidisha kile kiasi, angeshitakiwa kwa kosa la kiasi kilichozidi kile cha awali, kumshitaki kwa full value kama yote ni hasara il-hali majengo yenyewe yapo na yanaonekana kwa macho, pia ni uvunjaji wa haki za binaadamu.

Yako mambo nilocoment zamani kuhusu hii kesi, nayatafuta nirefresh.
 
Back
Top Bottom