Liyumba afungwa miaka 2 jela

Biggest joke in my life!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!....baada ya ile ya Zombe!!!!!!!!!!!!!!!!! C'mmon DPP, c'mmon Judiciary...give us a break! Really... there is no decorum left in you? Why make yourselves a laughing stock? You are really changing the trajectory of this peaceful nation!
 
Kuna nafasi pia ya kukata rufaa kwahiyo hii ndio mwisho wa Episod ya 1 ya movie ya Liyumba tusubiri Eposod ya 2
 
Haya matumizi mabaya ya ofisi ni nini? Au alijinufaisha kwa kutumia ofisi!

Tunaona nini kutokana na hukumu hii, wangapi wamefanya na wanafanya kama alivyoonekana amefanya liyumba. Jengo lipo na linatumika , hasara hakuna na hawajathibitisha, ofisi imetumiwaje vibaya wakati katika kipindi chote cha ujenzi miaka mitatu yoooote BOT haikulalamika kuwa Liyumba anatumia vibaya ofisi, Bodi nayo haikulalamika . Ndio maana jamaa mmoja zamani kawa jina la Charles Dickens alisema" law is an ass"
 
Kaka Liyumba pole kwa mateso ya sero,hata hivyo utarudi uraiani na utumikie wananchi kwa mapesa uliyonayo kwani akina fulani wanakusubiri bado wanahitaji zile rav 4 nyekundu
 
Nchi hii hamuijui? Wezi wote wanajulikana kwenye vyombo vya dola. Kuanzia wahindi wanaohujumu uchumi wa nchi, wanasiasa wezi wa mali ya umma, wauza unga, matapeli wa kimataifa mpaka majambazi ya kutumia silaha! Wote wanajulikana, ila hawafikishwi kwenye vyombo vya sheria, na wakifikishwa pesa zao zinawatosha kushinda kesi.

Take my words, nchi hii ukiwa na pesa, hata kama ni za wizi hufungwi. Huyu Liyumba kafungwa kama kiini macho tu!

This is a big joke. Just a smoke-screen to fool Tanzanians.
But it was expected because it seems Liyumba 'stole' the money under instructions from his superiors, both within BoT and Politicians.
Be sure that while in Prison he will be staying in a fine place and eat good food, just like 'Baghdad'.
 
Watanzania hatujui tunataka nini...asingepatikana na hatia tungelalamiaka,amepatikana na hatia bado tunamuonea huruma...Miaka miwili nikichekesho!

I really don't understand the sympathy for this guy. if he is guilty then he deserves exactly what he gets (and more in this case).

How many lives could have been saved? how many peoples lives could have been improved with that money. I have sympathy for the hundreds of thousands of Tanzanian children who go to school hungry, who sit on mud floors, who don't have books, clean water, toilets... etc.

Throw him under the jail for all i care.
 
Angalia kifungu cha 31 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, 2007, Na. 11/2007:
"31. Any person who intentionally abuses his position in the
performance or failure to perform an act, in violation of law, in the
discharge of his functions or use of position for the purpose of
obtaining an undue advantage for himself or for another person or
entity, commits an offence and shall be liable on conviction to a fine
not exceeding five million shillings or to imprisonment for a term not
exceeding three years or to both.
"

Buchanan, naona mushkeli on the court kwa mbali Kama sheria inasema hivyo, kwa nini asipewe faini kwanza na kifungo kiwe akishindwa kulipa faini. Nadhani hiyo ni principle muhimu kwenye kutoa adhabu.
 
Akitoka tu Utasikia Kachukua fomu za UBUNGE kupitia CCM!

LOL! So true, and he will probably win to. With all the money he stole for himself and his CCM buddies, they'll just hand out a couple of Khanga's and T-Shirts and people will vote for him.
 
lazima kate rufaa tu.
mtu kaiba mijihela ya kufa mtu halafu anahukumiwa miaka miwili?! hata kama ni matumizi mabaya ya ofisi basi angefungwa walau hata 5.
kuna jamaa yangu alishikwa kaiba kuku hakimu siku ya hukumu hakimu akaomba kuku aliyeibiwa then akahesabu manyoya ya mkian na ndo ikawa hukumu. kulikuwa na manyoya 17 na ndo ikawa hukumy yake
tanzania hii bana

kiswahili mzee..!

Kesi haijaisha wajameni, jopo la mapilato limeenda kupumzika kwa mda wa nusu saa, wakirudi wanaangalia mbadala kama anaweza ambiwa alipe fidia badala ya kifungo. Tusubiri...
 
Biggest joke in my life!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!....baada ya ile ya Zombe!!!!!!!!!!!!!!!!! C'mmon DPP, c'mmon Judiciary...give us a break! Really... there is no decorum left in you? Why make yourselves a laughing stock? You are really changing the trajectory of this peaceful nation![/QUOTE]

You mean the so called peaceful nation?Do you perhaps mean the absence of war? The trajectory was changed very long time ago and the destination now is the abyss! How can it be otherwise -- while the country is being looted right, left and centre and culprits dont go to courts, and if the do, then it is is turned into slapstick humour!
 
kuna habari kuwa mawakili wa huyu jamaa wamesema anaweza kulipa pesa badala ya hiyo miaka miwili na mahakimu wameomba kupumzika kwa nusu saa then watarud ili kutoa hukumu kamili.

hii imekaaje

source tbc taarifa ya sa saba
 
ni kweli ameonewa, na atakata rufaa, na itasikilizwa baada ya miaka 3 mingine, maana amepewa siku 90 za kukata rufaa, mjibu rufaa naye anapewa siku 90 za kujibu rufaa. Msajili anazo ziku 90 kuipangia siku ya kuisikiliza, hakimu naye ana toa siku 90 za kujiridhisha. Halafu siku 90 za kufanya final submission na siku 90 za mwisho za kusoma hukumu!, jumla ni miaka 3!.

Pasco, Kama ulichoandika ndicho kilichosemwa mahakamani na kama mahakama kuu umesikia haya uliyoyaandika hilo jalada litaitwa haraka na kufanyiwa mapitio. Utaratibu ni, Notisi siku 10, rufaa mara baada ya kupata nakala ta hukumu na mwenendo , kupangiwa tarehe ni kutokana na nafasi ya jaji na rufaa High Court ni siku moja tu sio tisini kama unavyosema.

Na zaidi ya hapo sheria inamruhusu kuomba dhamana wakati anasubiri rufaa yake.
 
Wanaogopa nini kumkamata yule mdosi wa Kagoda, au wale wa Radar iwapo kamchezo ndiko haka?
 
Pole sana Amatus Liyumba. Kwa hiyo atatumikia one year? Kwa kuwa kukaa jela wanahesabu siku mchana na usiku? Anyway, vumilia tu Amatus, one year si mbali sana. Kumbuka kuna ambao wamefungwa maisha kama nguza vikings na mwanaye na wengine over 30 years na wengine death penalty so one year or say two zitapita haraka sana. Pole Jennifer kwa kumhangaikia baba yako for over one year and half! Jipe moyo, pangeni mkakati wa kuendelea na maisha baada ya hapo na baba atakuja, tena huenda sikukuu ya uhuru akapata msamaha wa rais.

Hapo kwenye red, Jela huwa hawahesabu mchana na usiku kama siku 2 tofauti, siku zinahesabiwa kama kawaida yaani mchana na usiku ni siku moja, isipokuwa kuna utaratibu kwamba mtu yeyote akihukumiwa kifungo ambacho si cha maisha huwa automatically anakuwa entitled to remission ya 1/3 (moja ya tatu) ya kipindi alichohukumiwa, kwa hiyo kwa kanuni hiyo bwana Liyumba anastahili kutumikia kifungo cha mwaka mmoja na miezi sita tu hii ni baada ya kutoa miezi 8 ambayo ndio 1/3 ya miezi 24, unless atolewe kwa msamaha wa rais ambao pia rais ana discretion ya kuamua ni wafungwa wa makosa yepi wanufaike na msamaha wake.
 
AKIRUDI SASA SIJUI ATAKUWA AMEOKOKA AU ATARUDI NA NGUVU MPYA,KASI MPYA NA ARI MPYA HUKU AKIVURUMISHA OOPERESHENI SANGARA YA GARI JEKUNDU KWA KILA AKATIZAYE......! Wanafunzi walishaanza sikitika......lakini sasa cheko mpaka gego la mwisho...........MABIBO HOSTEL.....USTAWI....IFM.........JANGWANI.....KISUTU.......e.t.c The champ will be out soon....!
 
I doubt kama hata kata hiyo rufaa. wataleta longolongo ya time aliyo spend rumande wakati kesi inasikilizwa ni karibu kipindi cha sentensi. Soon atakuwa mitaani na chicha alilonalo ataanza kuambukiza maradhi watoto wa watu, na hiyo ndio Tanzanian justice after all sio kama design ya kina 'Stanford' its tax payers money ndio aliokuwa anacheza nayo 'Liyumba', si ndio hela hiihi gavana kaamua ajijengee pepo duniani kwa namna alivoipicha yeye.
 
Kumbe hii mada tamu eh! maana member mmoja alishauri tuifunge lakini naona wadau wamekaza buti!
 
aliyekutwa na noti bandia sh 10000 kala miaka 5, Huyu kaliingizia taifa hasara ya bil 221 miaka 2! Tanzania, Tanzania nakupenda kwa moyo wote.....!!!
 
Danganya toto hiyo.

Jaji alishapigiwa simu na Rais/Mkulo ili wajipatie hela za wafadhili. Hawana lolote wala chochote wasitake kutudanganya kama watoto wadogo.

Je ni mali kiasi gani atanyang'anywa kwa wizi alioufanya? I hope watamfilisi mali zote alizozipata kwa ujanja ujanja wake.
 
Back
Top Bottom