Arusha: Masheikh wengine 5 wahukumiwa kifungo cha miaka thelathini jela

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,989
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA

MASHEIKH WENGINE WATANO WAMEHUKUMIWA MIAKA 30, JELA LEO

Mahakama Kuu Kanda ya Arusha leo tarehe 15.12.2023, imewahukumu Masheikh watano kifungo cha miaka thelathini jela.

Masheikh hao walikamatwa na watu wa Usalama mwaka 2014, na kuwahusisha na mlipuko uliotokea katika Hoteli ya VAMA iliyopo jirani ya Mahakama Kuu mjini Arusha.

Masheikh hao ambao wamepewa kesi nyingi zikiwamo za ulipuaji wa mabomu maeneo mbalimbali wamekaa gerezani kwa zaidi ya miaka 9, kwa sababu ya upande wa serikali kudai wanatafuta ushahidi.

Katika muktadha huo wa kupewa kesi nyingi ndio leo wawili katika waliokwisha hukumiwa kunyongwa (jumanne ya tarehe 12.12.2023), na wao wamehukumiwa kwenda jela miaka 30.

Akitoa hukumu hiyo Jaji S.M. Magwaiga alisema ameridhishwa na ushahidi wa upande wa serikali na mlinzi wa Hoteli kwamba Masheikh hao walifanya jinai ya kutupa bomu katika mgahawa huo.

Masheikh walio hukumiwa ni:

1. Iddi Salum Abdallah.
2. Rajabu Yakubu Abdallah.
3. Amani Mussa Pakasi.
4. Yusufu Ali Huta (aliyekwisha hukumiwa kunyongwa) na-
5. Abashar Hassan Omari (aliyekwisha hukumiwa kunyongwa).

Akisoma hukumu hiyo Jaji Magaigwa alisema anawapunguzia adhabu Iddi Salum Abdallah, kutoka miaka 18, aliyo mhukumu atatumika miaka 9, jela na waliosalia (wakiwemo wale waliokwisha hukumiwa kunyongwa) wataishi jela miaka 21, baada ya kuwapunguzia miaka 9, na wao.

Jaji Magwaiga alimaliza kwa kuwaambia:
“mnaweza kukata Rufaa mwende kwa wazee watatu maana mimi ni binadamu naweza kuwa nimekosea”.

Adhabu mpya kwa Masheikh hao wanaanza kutumikia leo.

Pia, soma:

Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo
 
Hukumu iliyosomwa na Justice S. M Magoiga wa Mahakama Kuu ya Tanzania iliyochapishwa itatupiwa hivi punde.

TOKA MAKTABA:
Hali ilikuwa mbaya sana Tanzania, tupinge ugaidi kwa nguvu zote pia kulaani na kuwakataa hawa magaidi bila kupepesa macho na kuwaripoti mara moja kwa vyombo vya ul8nzi na usalama.

TAZAMA PICHA ZA MAJERUHI- MLIPUKO UNAODAIWA KUWA WA BOMU ULIOTOKEA ARUSHA USIKU WA KUAMKIA LEO

Admin-Tuesday, July 08, 2014

Sehemu ya baadhi ya watu waliojeruhiwa kwenye mlipuko wa bomu uliotokea jana usiku katika mgahawa wa Traditional Indian Cusine wakiwa wamelazwa katika hospitali ya Selian,jijini Arusha kwa matibabu.
IMG_7826.JPG

Pichani ni Askari wa Jeshi la Wananchi JWTZ kitengo cha Mabomu wakiwa katika eneo la tukio ambapo bomu lilirushwa ndani ya Mgahawa ujulikanao kwa jina la Traditional Indian Cusine uliopo pembeni ya hotel ya Gymkana jijini Arusha,aidha taarifa za awali zinaeleza kuwa watu nane wamejeruhiwa vibaya na mlipuko huo .

Picha ni majeruhi wa mlipuko wa Bomu uliotokea katika mgahawa wa Traditional Indian Cusine aliyejulikana kwa jina la Deepak Gupta (25),akiwa amelazwa katika hospitali ya Selian,katika chumba cha watu mahututi (ICU),mara baada ya kukatwa mguu wake mmoja wa kushoto kutokana na mhuu huo kujeruhiwa vibaya na bomu.

Asubuhi ya leo askari Polisi na wa Jeshi wameizingira nyumba ya Serikali ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo iliyopo jirani na Mahakama Kuu Arusha wakijaribu kutegua kinachodhaniwa kuwa bomu kikiwa kimetegwa katika geti la kuingilia nyumba hiyo na watu wasiojilikana.
HatA kinjia kinachokatiza maeneo hayo kutokea Mt Meru Hotel nacho kimefungwa kwa muda.
Wakati huo huo kuna taarifa za usiku zikieleza watu kadhaa wamejeruhiwa katika Mgahawa mmoja maeneo ya Gymkhana Jijini hapa na wawili kati yao wako katika hali mbaya.
Hili litakuwa tukio la sita kutokea katika Jiji la Arusha ndani ya muda mfupi, kuanzia May 2013 mpaka sasa.
Tukio la kwanza lilikuwa Kanisani Olasiti watu watatu wakafa.
Baadee katika Mkutano Chadema Soweto watu watatu wakafa tena na mamia kulemaa
Ikafuata Usa River siku ya Mkesha wa mwaka mpya kwa wamama waliokuwa wanatoka kanisani
Halafu katoka Bar ya Arusha Night Park
Juzi hapa ikawa kwa nyumbani kwa Sheikh maeneo ya Majengo
Na sasa katika hiyo Vama Restaurant na chupuchupu kulipua nyumbani kwa RC
 
Tukisika mchungaji au padri tunajua ni kiongozi wa kanisa , hawa masheikh waliohukumiwa ni viongozi wa taasisi gani?
 
Arusha nafikiri kuna shida kuhusiana na hawa wenzetu.
Mvua za namna hii ziendelee ili kutoa fundisho kwa hawa wenzetu ambao hawajui maana ya Uhuru wa Kuabudu.
 
Hawa watu malengo yao yalikuwa ni nini?

Kama ni yale ya kutaka nchi iongozwe kwa sheria za kiislamu mbona naona ni mambo yasiyowezekana hasa nikitazama hizi mbinu walizokuwa wakizitumia?

Inawezekana vipi kulipua kanisani au mgahawani na kujeruhi au kuua watu kadhaa kisha useme malengo yako ni kutaka kubadili mfumo wa nchi?

Unaweza vipi kubadili mfumo wa nchi kwa kufanya mashambulizi ya kuvizia namna hiyo?

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Hukumu iliyosomwa na Justice S. M Magoiga wa Mahakama Kuu ya Tanzania iliyochapishwa itatupiwa hivi punde.

TOKA MAKTABA:
Hali ilikuwa mbaya sana Tanzania, tupinge ugaidi kwa nguvu zote pia kulaani na kuwakataa hawa magaidi bila kupepesa macho na kuwaripoti mara moja kwa vyombo vya ul8nzi na usalama.

TAZAMA PICHA ZA MAJERUHI- MLIPUKO UNAODAIWA KUWA WA BOMU ULIOTOKEA ARUSHA USIKU WA KUAMKIA LEO

Admin-Tuesday, July 08, 2014

Sehemu ya baadhi ya watu waliojeruhiwa kwenye mlipuko wa bomu uliotokea jana usiku katika mgahawa wa Traditional Indian Cusine wakiwa wamelazwa katika hospitali ya Selian,jijini Arusha kwa matibabu.
IMG_7826.JPG

Pichani ni Askari wa Jeshi la Wananchi JWTZ kitengo cha Mabomu wakiwa katika eneo la tukio ambapo bomu lilirushwa ndani ya Mgahawa ujulikanao kwa jina la Traditional Indian Cusine uliopo pembeni ya hotel ya Gymkana jijini Arusha,aidha taarifa za awali zinaeleza kuwa watu nane wamejeruhiwa vibaya na mlipuko huo .

Picha ni majeruhi wa mlipuko wa Bomu uliotokea katika mgahawa wa Traditional Indian Cusine aliyejulikana kwa jina la Deepak Gupta (25),akiwa amelazwa katika hospitali ya Selian,katika chumba cha watu mahututi (ICU),mara baada ya kukatwa mguu wake mmoja wa kushoto kutokana na mhuu huo kujeruhiwa vibaya na bomu.

Asubuhi ya leo askari Polisi na wa Jeshi wameizingira nyumba ya Serikali ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo iliyopo jirani na Mahakama Kuu Arusha wakijaribu kutegua kinachodhaniwa kuwa bomu kikiwa kimetegwa katika geti la kuingilia nyumba hiyo na watu wasiojilikana.
HatA kinjia kinachokatiza maeneo hayo kutokea Mt Meru Hotel nacho kimefungwa kwa muda.
Wakati huo huo kuna taarifa za usiku zikieleza watu kadhaa wamejeruhiwa katika Mgahawa mmoja maeneo ya Gymkhana Jijini hapa na wawili kati yao wako katika hali mbaya.
Hili litakuwa tukio la sita kutokea katika Jiji la Arusha ndani ya muda mfupi, kuanzia May 2013 mpaka sasa.
Tukio la kwanza lilikuwa Kanisani Olasiti watu watatu wakafa.
Baadee katika Mkutano Chadema Soweto watu watatu wakafa tena na mamia kulemaa
Ikafuata Usa River siku ya Mkesha wa mwaka mpya kwa wamama waliokuwa wanatoka kanisani
Halafu katoka Bar ya Arusha Night Park
Juzi hapa ikawa kwa nyumbani kwa Sheikh maeneo ya Majengo
Na sasa katika hiyo Vama Restaurant na chupuchupu kulipua nyumbani kwa RC
Duh..
Kumbe waliua na kusababisha ulemavu wa kudumu kwa watu wasio na hatia!!
Acha wahukumiwe tu
 
Hao masheikh wana umri gani

Kupunguziwa Miaka 9 kutoka kwenye 30

Ni sawa na kumpa mtoto wa miaka 10 abebe gunia la mchele ila kwa kumpunguzia mzigo ukaamua kuchota viganja 9
Sababu wamekaa miaka 9 gerezani
 
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA

MASHEIKH WENGINE WATANO WAMEHUKUMIWA MIAKA 30, JELA LEO

Mahakama Kuu Kanda ya Arusha leo tarehe 15.12.2023, imewahukumu Masheikh watano kifungo cha miaka thelathini jela.

Masheikh hao walikamatwa na watu wa Usalama mwaka 2014, na kuwahusisha na mlipuko uliotokea katika Hoteli ya VAMA iliyopo jirani ya Mahakama Kuu mjini Arusha.

Masheikh hao ambao wamepewa kesi nyingi zikiwamo za ulipuaji wa mabomu maeneo mbalimbali wamekaa gerezani kwa zaidi ya miaka 9, kwa sababu ya upande wa serikali kudai wanatafuta ushahidi.

Katika muktadha huo wa kupewa kesi nyingi ndio leo wawili katika waliokwisha hukumiwa kunyongwa (jumanne ya tarehe 12.12.2023), na wao wamehukumiwa kwenda jela miaka 30.

Akitoa hukumu hiyo Jaji S.M. Magwaiga alisema ameridhishwa na ushahidi wa upande wa serikali na mlinzi wa Hoteli kwamba Masheikh hao walifanya jinai ya kutupa bomu katika mgahawa huo.

Masheikh walio hukumiwa ni:

1. Iddi Salum Abdallah.
2. Rajabu Yakubu Abdallah.
3. Amani Mussa Pakasi.
4. Yusufu Ali Huta (aliyekwisha hukumiwa kunyongwa) na-
5. Abashar Hassan Omari (aliyekwisha hukumiwa kunyongwa).

Akisoma hukumu hiyo Jaji Magaigwa alisema anawapunguzia adhabu Iddi Salum Abdallah, kutoka miaka 18, aliyo mhukumu atatumika miaka 9, jela na waliosalia (wakiwemo wale waliokwisha hukumiwa kunyongwa) wataishi jela miaka 21, baada ya kuwapunguzia miaka 9, na wao.

Jaji Magwaiga alimaliza kwa kuwaambia:
“mnaweza kukata Rufaa mwende kwa wazee watatu maana mimi ni binadamu naweza kuwa nimekosea”.

Adhabu mpya kwa Masheikh hao wanaanza kutumikia leo.

Pia, soma:

Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo
Wasitoke humo ndani mpaka adhabu imalizike, wanatuletea upuuzi sisi!?
 
Back
Top Bottom