Liyumba afungwa miaka 2 jela

Hivi yule Kweka aliachiwa? maana si-sikii kabisa kuhusu yeye!!! au ndio yeye amelamba miguu wenye dola?
 
this is the best joke-kumbukeni ya wale wafanyabiashara wa madini.
Jamani na nyie waandishi wengine mnatudanganya na hizo habari zenu.Ukisoma utadhani kitu kipo seriou,miaka miwili c wanahukumiwa vibaka au nimesahau!!
 
Nina imani wanasheria watakuwa walijidhihirishia kuwa jamaa ana-fall under purview of "Public Servant"

Oga, naomba usome definition ya public service, benki kuu haifall kabisa under the purview of public servant. Na Penal Code haina defination hiyo na sheria ya BOT haimdesignate staff wa BOT kama public servant.

That aside isije ikawa walifanya kama loliondo na longido, operesheni ya kichwa na mguu you cant rule that out watanzania hatupendi kusumbua vichwa vyetu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom