jambo1
JF-Expert Member
- Jul 5, 2009
- 241
- 29
Wadau mimi ni mkazi wa Kijiji cha Mbigiri Kata ya Magole wilayani Kilosa..nimesoma shule ya Msingi Mbigiri ambayo Mbunge wa Mtera Bw Livingstone Lusinde naye alisoma huko..,Nimeongea na alitekuwa mwalimu wa Shule hiyo(amestaafu kwa sasa) kuhusu ndugu Lusinde.,lakini amenithibitishia kuwa Lusinde hakumaliza darasa la Saba aliishia Darasa la Sita..na wakati huo alikuwa anaishi kitongoji cha Misufiti maarufu kama Gheto..Nakaribisha maswali zaidi nitayajibu..
Polis - View MpGeneral
Polis - View MpGeneral