Elimu ya Livingstone Lusinde; Darasa la 4!

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,303
Ndg wanajamii heshima mbele kwenu kwa kuamua kuendelea kutenga muda wenu na kujikita katika kuchambua mambo yalihusuyo taifa letu kwa weredi mkubwa mlio nao nawapongeza,

Nipo jimboni kwa huyu bw. Livingstone Lusinde kwa takribani wiki 2 hivi sasa, nikifuatilia mambo kadha wa kadha kati ya mambo ambayo nimeona si vibaya nikawashirikisha wanajamii wenzangu tukayajadili ni pamoja na elimu ya huyu bwana Lusinde.

Hili ni kwa mujibu wa ndg, marafiki, wananchi wa Mtera na jamaa zake wa karibu, Alianza shule ya msingi yaani darasa la kwanza katika jimbo la Kongwa, mwaka sikuweza kuambiwa na watu niliyowahoji kwa sababu wengi wao niwazee hivyo kumbukumbu zao wanadai zimeanza kupotea na aliishia darasa la nne kwa utukutu aliokuwa nao, hivyo aliamua kurudi kwao kijiji cha Mvumi wilaya ya Chamwino katika jimbo la Mtera, akiwa nyumbani kwao Ugogoni aliamua kujishugulish na shughuli mbalimbali ikiwemo ya ukulima wa karanga baada ya kuona hanufaiki shughuli hiyo, ndipo alipoamua kujiingiza katika siasa na kujiunga na chama cha Mapindizu kutokana na kutokuwepo muamko wa vyama vingine.

Kuwa Mbunge ni kutokana na vijana kuwa wamechoshwa na mbunge aliyekuwepo bw. Samwel Malecela kutowaletea maendeleo kwa kipindi chote cha ubunge wake walichomchagua,

Wanamtera wanasema hawajutii kumchagua bw. Lusinde kwani kazi na hitaji lao lilikuwa nikuwaondolea bw. Malecela.

Naomba kuwasilisha, karibu tulichambue hili.
 
sifa ya kuwa mbunge katika jamhuri ya muungano wa tanzania ni kujua kusoma na kuandika kama anawatumikia vyema wananchi suala la elimu wala halina tija,mheshimiwa livingstone lusinde chapa kazi wala usikatishwe tamaa na baadhi ya watu kwa ushabiki tu wa kuwalipua
 
Acha kusema kidhaifu hivo wewe, hata watoto wa darasa pili wanajua kusoma na kuandika
 
We nani kakutuma kuhusu elimu ya huyu mheshimiwa, kama unataka kugombea nafasi hiyo jipange kwa 2015 ndiyo upambane kwa kumchambua vigezo vya maendeleo, Hakuna cha kujadili hapa.
 
Siamini kama shule ndefu inasaidia ktk ubunge. Hekima na uelewa wa mtu ndo kila kitu.
Lusinde hata kama hajaenda shule ki hivyo kabisa, anaweza ku deliver (si kujifungua) bila ya wasi wowote.
kwa upande mwingine, ukiwa hovyo na maji taka huku ukiwa na degree yako (Nchumba) halafu unakunya kupitia mdomoni, si bora ya huyo ambaye hajawahi kuliona darasa la tano!
Sisiem (oil chafu) iko kazi.
 
Vp kuhusu ufahamu wa mambo kwa Lusinde?
 
Ndg wanajamii heshima mbele kwenu kwa kuamua kuendelea kutenga muda wenu na kujikita katika kuchambua mambo yalihusuyo taifa letu kwa weredi mkubwa mlio nao nawapongeza,

Nipo jimboni kwa huyu bw. Livingstone Lusinde kwa takribani wiki 2 hivi sasa, nikifuatilia mambo kadha wa kadha kati ya mambo ambayo nimeona si vibaya nikawashirikisha wanajamii wenzangu tukayajadili ni pamoja na elimu ya huyu bwana Lusinde.

Hili ni kwa mujibu wa ndg, marafiki, wananchi wa Mtera na jamaa zake wa karibu, Alianza shule ya msingi yaani darasa la kwanza katika jimbo la Kongwa, mwaka sikuweza kuambiwa na watu niliyowahoji kwa sababu wengi wao niwazee hivyo kumbukumbu zao wanadai zimeanza kupotea na aliishia darasa la nne kwa utukutu aliokuwa nao, hivyo aliamua kurudi kwao kijiji cha Mvumi wilaya ya Chamwino katika jimbo la Mtera, akiwa nyumbani kwao Ugogoni aliamua kujishugulish na shughuli mbalimbali ikiwemo ya ukulima wa karanga baada ya kuona hanufaiki shughuli hiyo, ndipo alipoamua kujiingiza katika siasa na kujiunga na chama cha Mapindizu kutokana na kutokuwepo muamko wa vyama vingine.

Kuwa Mbunge ni kutokana na vijana kuwa wamechoshwa na mbunge aliyekuwepo bw. Samwel Malecela kutowaletea maendeleo kwa kipindi chote cha ubunge wake walichomchagua,

Wanamtera wanasema hawajutii kumchagua bw. Lusinde kwani kazi na hitaji lao lilikuwa nikuwaondolea bw. Malecela.

Naomba kuwasilisha, karibu tulichambue hili.

Mhhhhhhh. Hayo mie sijui lakini nafahamu Lusinde wakati akiishi Kawe alikuwa MC kabla ya kuingia kwenye siasa. Nimeshahudhuria hafla kadha akiwa ndiyo "Msema Chochote". Na kwenye siasa kama sikosei alianzia CUF halafu akahamia CHADEMA. Mwaka 2005 alienda kugombea Mtera akiwa hana senti mfukoni, alikuwa anapitisha bakuli kila kona. Baada ya kuchangiwa na kupewa mkopo akaingiza pesa kibindoni na kukimbilia CCM. Ni mmoja wa wagombea wa CHADEMA 2005 waliosaliti na kuhama kambi wakati kampeni za Uchaguzi mkuu zikiendelea.
 
Kumbe ni darasa la 4 ndio maaaaaaaaaaaaaaa ana hoja dhaifuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Vp kuhusu ufahamu wa mambo kwa Lusinde?

Ufahamu wake kidogo kuna utata. Naona kama ngao yake ni kutukana zaidi. ila akipata chicken party (ooops! sorry Kitchen party) anawezarudi ktk mstari.
 
kati ya wajinga ccm lusinde naye ni mmoja wapo akianzia rafikiye machemba yaani ni kinyaa hata kuwasikiliza
 
Back
Top Bottom