Yaani MKUU kwa hawa jamaa latitudes walizopo ni balaa sana kufika hiyo temperature maana kunakuwa hakuna tofauti na DRC au Dar hata kama kipindi cha joto unafika hadi 32°C?
Mimi nimeitoa hapa
Screenshot_20190601-164651_All Football.jpeg
 
London ni Blue na white mwaka huu Liverpool wasikupe shida hukumbuki pindi wapo mbele 3 bila na sevila afu ilikuwaje
Naona kila utabiri unaipa Liverpool nafasi ya kutwaa ubingwa ila msibweteke mnatakiwa kujituma ipasavyo ndani ya kiwanja kuhakikisha mnafunga mabao mengi.

Niwatakie ubingwa mwema

Maana naamini hamtatoka patupu Leo labda mshindwe wenyewe tu kwa uzembe wenu. Lakini kila kitu kiko upande wa Liverpool Leo

Muhimu mjitume kila kizuri huja kwa jitihada na itatakuwa ni aibu kama mtatoka kapa Leo
 
Back
Top Bottom