Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,411
- 7,310
Mamamammaam 32 °C !!!!!!!!!!!!!!
Hivi Ulaya si Ndiyo bara linalotakiwa kuwa na baridi? Then how comes to having such a high hot temp?
Mkuu kwa sasa ni kipindi cha joto. Si unaona na hao mabinti wamepiga vitops na singland!Mamamammaam 32 °C !!!!!!!!!!!!!!
Hivi Ulaya si Ndiyo bara linalotakiwa kuwa na baridi? Then how comes to having such a high hot temp?
Nyie vyenu huwa ni vikombe vya chai
Hahahhahaa
Au sio?
Ila nyinyi mkichukua hilo sio kikombe la chai?
Mkuu kwa sasa ni kipindi cha joto. Si unaona na hao mabinti wamepiga vitops na singland!
Liverpool family
Liverpool leo ni leo
Mungu ibariki Liverpool!!
Tuwepo hapa kwa wingi wkt mechi inapo chezwa tujadili
Liverpool family
Liverpool leo ni leo
Mungu ibariki Liverpool!!
Tuwepo hapa kwa wingi wkt mechi inapo chezwa tujadili
Mimi nimeitoa hapaYaani MKUU kwa hawa jamaa latitudes walizopo ni balaa sana kufika hiyo temperature maana kunakuwa hakuna tofauti na DRC au Dar hata kama kipindi cha joto unafika hadi 32°C?
Naona kila utabiri unaipa Liverpool nafasi ya kutwaa ubingwa ila msibweteke mnatakiwa kujituma ipasavyo ndani ya kiwanja kuhakikisha mnafunga mabao mengi.
Niwatakie ubingwa mwema
Maana naamini hamtatoka patupu Leo labda mshindwe wenyewe tu kwa uzembe wenu. Lakini kila kitu kiko upande wa Liverpool Leo
Muhimu mjitume kila kizuri huja kwa jitihada na itatakuwa ni aibu kama mtatoka kapa Leo
Yeaaaaah,WE ARE READY
.Liverpool family
Liverpool leo ni leo
Mungu ibariki Liverpool!!
Tuwepo hapa kwa wingi wkt mechi inapo chezwa tujadili
Tuelewe kipiulicho bold au hicho kingine?Tuko pamoja mkuu.
Come on Liverpool
kila la kheri Tottenham
Hata mimi Leo sikaangi sumu maana mwishoni nitaaibika.Ni vile tu sisi ni washabiki wa Liverpool, unakuwa unaogopa itakuwaje.
Ukimuuliza yeyote ambaye ni nje na Liverpool au Tottenham atakwambia hakuna sababu ya sisi kutoshinda hii game.
Dakika 90 zinatosha sana.
Wazee wa suti nawasalim.
Kama kuna mtu suti yake haijanyooshwa, natoa msaada wa kuzinyoosha.
Maana zilirudishwa kabatini kwa hasira sana
Yangu haijanyooshwa bado,ujeWazee wa suti nawasalim.
Kama kuna mtu suti yake haijanyooshwa, natoa msaada wa kuzinyoosha.
Maana zilirudishwa kabatini kwa hasira sana
TUNA KUOMBA SANA BAADAE UWEPO HAPAYeaaaaah,
YNWA