Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 13,589
- 28,571
🤣🤣🤣Ebu mcheki babu bhana atupe yajaya ya Salah maana kama uchezaji wake ndio huu wa mechi kama 10 zilizopita basi hatufai kama stata wa muda wote na kwa mshahara wake yule sio squad player ujue...Salah haondoki
Hela za kununua hao watu wapya club inazo mbona..itoe tu
Nadhani sasa wamejifunza kama ubahili siyo jambo zuri.
YNWA
Aonyeshe tena makali sio kingine... Naelewa form is temporary na class is permanent hivyo bado anaweza kufanya jambo.
YNWA