Live you LIFE to the FULLEST...

Ha ha haaa, mkuu... kuna mi-ndoto mibaya bora usiote, unaota unafukuzwa na watu na mapanga eti wanahitaji viungo vyako, sijui unakoswa koswa kugongwa na bodaboda, umeibiwa kwenye daladala, umelazwa wodi ya kina mama. :pound:
Hahahahaha!!!! Elia taratibu bana usiku nisijepatwa na ndoto hii mimi lol
 
Sibagui, sichagui atakeyenizika simjui. Only God anaramani ya maisha yetu kabisa, anajua tulikotoka, tulipo na mwisho wa hizi vurugu zetu tutakuwa wapi! Ubarikiwe Asha D.
 




An inspiration To JF/GT from Asha D with Love….


Mwanadamu yeyote huzaliwa, huishi, hutaabika/hunufaika na hatimae hufariki.
Kitutofautishacho kila mmoja na mwingine
ni ndoto zetu… Hizo ndoto ziwe
yalo ya dunia ama yalo vuka dunia; na ni jinsi gani kila mmoja husimamia na
kuhakikisha hio (zo) ndoto imefika mahala alipolenga…
Lakini hata hivyo kuna wale wasioota kabisa na kuishi kama gofu...


Hatuchagui kuzaliwa, hatuchagui wazazi wetu
Wala hatuchagui mazingira utayozaliwa na yenye hali ipi,
Wala jinsi utavyolelewa na watakao husika na kukulea..
Wengi kama si woote hatujagui kwamwe wala kupenda kufa-na
Wala hatuchagui mda na jinsi gani tutafariki….

LAKINI
pamoja na wimbi lote lituzungukalo wanadamu
Katika maisha yetu haya… La muhimu kuliko yooote
Haya mawimbi ni kua “With Determination” twaweza chagua
Jinsi ya gani ya kuishi… Hivyo basi kama huridhiki na the way
Unaishi sasa HABARI NJEMA ni kwamba waweza balika/badilisha
Hayo maisha; Maana katika options zetu maishani mwetu – hilo ndilo
Liko katika uwezo wetu… Na hio ni kwa kuzingatia Malengo yetu,
Nguvu zetu, Utulivu wetu, Umakini wetu na Most importantly
Kumhusisha Mwenyezi Mungu mana bila yeye waweza elemewa….

JT/GT Nawatakia siku njema/na zijazo PLUS Maisha bora yenye upendo



Asha D.
Pamoja Sana.

Comments be it positive/Negative are most welcome – Thank You.



OMG...Am Blessed to have you....what an inspirational message....:A S-rose::busu
 
lol...lol..lol.. Naomba msaada wako maana haya mambo mi nakuaminia....

behnaz_sarafpour_target.jpg
short-summer-cocktail-dress-2010.jpg

Hapo vipi partner???Kama kuna ulichopenda nichagulie .....
 
behnaz_sarafpour_target.jpg
short-summer-cocktail-dress-2010.jpg

Hapo vipi partner???Kama kuna ulichopenda nichagulie .....



Hizo bomba wewe sitakupendeza... ila mimi naomba nitafutue yenye suruali na top (iwe ndefu kiaina), kwa casual ndo napendeza, asmuchas hizo nguo ni nzuri ukweli ni kwamba hazitanipendeza... am waiting dear...
 
Asha D mbona kama vile unatoa wosia? hizi ongea za namna hii mtu anakuwaga anawaaga wenzie! au ndo pre 21st May? mie nimeguswa na timing ya hii message
 
My life is the only precious i have, no one wil dare to came and take it. Naishi maisha yangu, til wen i die!
 
You have a great weekend dearest....with more love and lots of determination in all aspects of life....cheers!!
 
Asha D mbona kama vile unatoa wosia? hizi ongea za namna hii mtu anakuwaga anawaaga wenzie! au ndo pre 21st May? mie nimeguswa na timing ya hii message



Sio hivyo bana..... Manumbu si umeona heading... an inspirational message....lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom