Live you LIFE to the FULLEST...

Huwa najiuliza kuna binadamu kweli hajawahi kuota maishani mwake au ndio hao wanaishi kama GOFU.

Ha ha haaa, mkuu... kuna mi-ndoto mibaya bora usiote, unaota unafukuzwa na watu na mapanga eti wanahitaji viungo vyako, sijui unakoswa koswa kugongwa na bodaboda, umeibiwa kwenye daladala, umelazwa wodi ya kina mama. :pound:
 
Mmmhhh
dahh via simu tu Leo
Kama nilivyokuambia..

Me always love you
Me always live for you
Me always hug you
Me always kiss you
Me always cherish you
Me always comfort you
Me always help you.
Me always here for you
coz your my family and is nothing
important than family..we share a lot
since Nyerere time.. I just want to say I
LOVE you so much..

Oyyy oyyy oyy!!
Mpaka Fyenst kaona wivu kweli sio mchezo!!Thanks dearest me love you saaaaana bila kipimo!!
 
JT/GT Nawatakia siku njema/na zijazo PLUS Maisha bora yenye upendo
mbona umenitisha? unatoa wosia?

Jamani itnojec... kwanini?? (au sielewi, naomba niambie meaning ya wosia) then maybe nitasema ndio au hapana.. kiswahili sometimes kigumu.
 
Oyyy oyyy oyy!!
Mpaka Fyenst kaona wivu kweli sio mchezo!!Thanks dearest me love you saaaaana bila kipimo!!

No probs..
Nway yule jamaa tulieongea
Naye umeona kitu alicho andika
dahhhh amenipa raha sana mhhhh
nadhani ni uchokozi tu sababu alijua
tutasoma..Nway kama hujaona ntakuonyeshea nikirudi home.. itabidi
Nimtafute w/end hii hahahshhah lol..
 
Asha umetoa changamoto nzuri!But hebu nijibu swali hili,kwanza wakati waliokuletaduniani wanaamua hayo haukuulizwa ili utoe maoni kama uje ama la,hivyo uliburuzwa kuja,na wakati unakuja hukujua unakuja wapi,hivyo inawezekana kabisa usijue wale waliokuleta walitaka ufanye nini coz haukushirikishwa kwenye mpango huo,also inawezekana hicho unachodhani ni ndoto yako ikawa ni kinyume na malengo ya uwepo wako hapa duniani,je kwa hayo machache how can u possibly now whats brings u and both of us in this crazy world?
 
Asante kwa maneno mazuri mamii,

Sometimes we struggle through the tasteless coffee until the last sip only to discover sugar crystals lying at the bottom.
Thats life...... sweetened but not stirred
 
Asante sana Asha D kwa kwa maneno mazuri has kutukumbusha liko tumaini
be blessed
 
Asha umetoa changamoto nzuri!But hebu nijibu swali hili,kwanza wakati waliokuletaduniani wanaamua hayo haukuulizwa ili utoe maoni kama uje ama la,hivyo uliburuzwa kuja,na wakati unakuja hukujua unakuja wapi,hivyo inawezekana kabisa usijue wale waliokuleta walitaka ufanye nini coz haukushirikishwa kwenye mpango huo,also inawezekana hicho unachodhani ni ndoto yako ikawa ni kinyume na malengo ya uwepo wako hapa duniani,je kwa hayo machache how can u possibly now whats brings u and both of us in this crazy world?

I belive unataka ni-concetrate hapo... Ndoto zina evolve mara nyingi kutokana na umri, wakati, mazingira na uhalisia... Lakini hata hivyo kuna zile ambazo ziko constant siku zipozidi kwenda determination inaongezeka... Ndoto za mtu mwenye umri below ten zinabadilika akiwa below 18 na pia zinabadilika akiwa mtu mzima... But the good thing ni kwamba anaota. NdotoMfano mzuri wa mtu ambae ndoto yake ilikua constant since young mpaka uzee ni Nelson Mandela and he has been able to reach a big part of his dream...

Kwa mtu ambae anaota huku malengo yake ni tofauti, matazamo wangu ni kua ndio huota tokana na mtazamo wake but once akijua his/her destiny katika hii dunia na akaikubali ndoto hua kucheza nafasi yake with perfection....
 
Asha wether u biliv or not,unapopata wazo kulingana na mazingira sometimes huwa tofauti na malengo yako ya kuwepo eneo lile,sote tunaamini tumetumwa hapa duniani tuje tufanye jambo fulani,je hilo jambo ni lipi?Wewe na mimi na wengine tunayoyafanya ndo yaliyotufanya tuwe hapa?Or we are here without any purpose?So that ni jukumu letu kuchagua cha kufanya??
 
Partner naifanyia kazi.....

Partner tokana na kwamba sehemu yenyewe ni casual kiaina mi nimechagua hio ya kushoto, hebu naomba comments zako.... (Lizzy najitetea kuhusu boobs - on a weekeng night in casual clothes something has to peak out kidogo...lol)

frontpagemay11.jpg
 
No probs..
Nway yule jamaa tulieongea
Naye umeona kitu alicho andika
dahhhh amenipa raha sana mhhhh
nadhani ni uchokozi tu sababu alijua
tutasoma..Nway kama hujaona ntakuonyeshea nikirudi home.. itabidi
Nimtafute w/end hii hahahshhah lol..
Nakusubiria mpenzi....
 
Partner tokana na kwamba sehemu yenyewe ni casual kiaina mi nimechagua hio ya kushoto, hebu naomba comments zako.... (Lizzy najitetea kuhusu boobs - on a weekeng night in casual clothes something has to peak out kidogo...lol)

View attachment 30398
Hehhehe Partner casual gani hii ya kuwatoa watoto wa watu macho kwenye socket???!Nitafutie nyingine bwana itakayofanya wakodoe ila sio saana mpaka nijimwagie kawine kangu!!
 
Hehhehe Partner casual gani hii ya kuwatoa watoto wa watu macho kwenye socket???!Nitafutie nyingine bwana itakayofanya wakodoe ila sio saana mpaka nijimwagie kawine kangu!!

lol...lol..lol.. Naomba msaada wako maana haya mambo mi nakuaminia....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom