kabla ya hapo alikuwa anaishi na Mama yako? Mtasema yote mwaka huuMradi wa lema kuishi mjini,
kabla ya hapo alikuwa anaishi na Mama yako? Mtasema yote mwaka huuMradi wa lema kuishi mjini,
kwa wasiokuwa na MPESA namba ipo hapo juu Mkuu
mkuu nakuomba usijibishana na hao mashoga watatuondoa kwnye lengo letu..tafadhali sana
Kamanda hiyo nam$ba mbona siipati
View attachment 61499
Kampeni ya Kuchangia harakati za Mabadiliko M4C Nchini zitaonyeshwa Live kupitia Kituo cha Luninga cha Star TV kuanzia saa 2 na Nusu Usiku na lengo ni kukusanya shilingi Bilioni Tano.
Mratibu wa Fund rising hiyo Mh. Kamanda Godbless Lema amesema fedha hizo zitatumika kununulia magari yatakayowezesha kufika kila maeneo nchini na kuhamasisha mabadiliko pamoja na kugharamia kampeni zote za ukombozi kamili wa Mtanzania.
Kila mpenda mabadiliko anatakiwa kuweka kiasi cha fedha katika simu yake kuanzia shilingi 1000 - 1000000 na kuendelea na zitatangazwa namba za MPESA ambazo zitatumika kufanikisha azma hiyo kwa malengo ya Muda Mrefu.
JINSI YA KUCHANGIA: Updated
Kwa watumiaji wa VODACOM: Watumiaji wa Mitandao mingine vuteni subira kidogo kama nilivyobainisha hapo chini:
Bonyeza *150# baada ya hapo bonyeza 4, kisha weka nambari ya kampuni ni 111333. Halafu unaweka namba ya kumbukumbu ya malipo ambayo ni namba yako mtuma fedha, halafu unaweka kiasi unachochangia , kisha nambari yako ya siri na unathibitisha mualamala kwa kubonyeza 1.
MITANDAO MINGINE
Tuma neno CHADEMA kwenda namba 15710 kila ujumbe ni shilingi 500 tuma ujumbe nyingi uwezavyo kwa kadiri ya kiasi cha fedha ulichokusidia kuchangia M4C
CHANGIA MOVEMENT FOR CHANGE
KUTOKA ENEO LA TUKIO:
Timu ya Star TV ishafika na vifaa vyao, wanafunga Dish la kurusha matangazo na kutandaza Nyaya hapa SERENA HOTEL
Keep hooked for more UPDATES
UPDATES:
Namba za Kuchangia zitatangazwa moja kwa moja wakati wa kurushwa Matangazo hayo. Watanzania wapenda mabadiliko mtaarifiwa namna ya kufanya ili kuhakikisha mnaeza kuchangia kwa kiasi chochote kuanzia shilingi mia tano hadi ukomo wa nafasi yako katika kuunga mkono kampeni hizi.
Namba za kutuma Pesa Kupitia Simu ya Kiganjani
Taratibu zinawekwa sawa kuhakikisha hakuna hujuma yoyote na zitatolewa kunako majira ya saa moja jioni ya leo. Vuteni subira na msikose kutazama Star TV na pia thread hii kwa UPDATES
Tahadhari:
VODACOM msifanye yale yaliyojitokeza Arusha kwa kuzifanya namba hizi kuwa busy na huduma ya MPESA kushindikana kwa wakati huo.
ADIOS