LIVE UPADTES: M4C DAR - Lengo ni Kukusanya Bilioni 5 CHANGIA MABADILIKO

Waliosema CHADEMA ni mojawapo vyama vya uchaguzi; ndio kama hivi wenzenu tunkuja kuwashika kidemokrasia mpaka kieleweke!!!
 
Hitilafu za Picha zilizojitokeza kwa upande wa warusha matangazo zimetanzuliwa japo naona kama wnahofu kuwa inawezekana wasiruke katika kile kiwango cha Ubora wao.

Sasa sijajua kinachowapa mashaka ni nini maana mie nikitazama vile vimonitor screen vidogo naona kitu clear au sijui wakati wanarusha, hapo kidogo sijajua wapi wanapata hofu. Ila uhakika wa kwenda hewani asilimia za kutosha.

Nimekukubali GR uko juu maana umesogea hadi wanaporushia matangazo kuthibitisha, hebu tupe kinachoendelea tulio mbali na runinga
 
Mwakitwange anafungua rasmi shughuli nzima kwa kuuelezea mkakati wa harakati za ukusanyaji fedha kusaidia M4C

Mgeni rasmi ni Mh. Freeman Mbowe Kamanda
 
Mbowe:

Anashukuru kwa kupata wasaa muhimu kuzungumza na kuujadili mustakbali wa Taifa
 
Mbowe:

Msingi wa Mazungumzo ni kila mmoja kutafakari fursa na wajibu alionao kwake binafsi, watoto, watoto wa watoto wetu na Taifa

Tumejenga Taifa la watu dhaifu, waoga na hii haiwezi kutuwezesha kujenga future yetu

Waliojitokeza akiwemo GR wameonyesha kutokuwa na chembe ya Uoga

Anatoa Historia kidogo kuhusu kuwepo kwake katika mageuzi miaka 21 iliyopita akiwa muasisi mdogo kuliko wote katika jopo lile la akina mzee Mtei
 
bodyguard wa mheshimiwa anafaa kuwa wa kubwa jinga-kj,very serious very bouncer ,me like him
 
Muda wa kulalamika umekwisha na sasa ni wakati wa Action, hakuna tena kuwashauru zaidi ya kuongeza nguvu uwaondoa katika madaraka

Silaha yetu ni kutoogopa kuwa waoga

kama wao wangeogopa tumaini kwa watanzania lisingepatikana
 
wakuu star-tv wamekosea hapo kwenye maandishi yao wameandika marathon badala ya Movement naomba mwenye no ya viongozi awapatie taarifa ili star tv waondoe hiyo
 
Anashukuru wasomi wachache waangavu ambao wamekubali kushiriki katika mabadiliko. Kundi kubwa la wasomi analilaumu Kamanda kuwa limekuwa nyuma na waoga sana katika kutetea mabadiliko (wachumia tumbo)
 
Hatuna sababu ya kuendelea na CCM , tume washauri vya kutosha sasa ni wakati wakuatoa ccm madarakani- Mbowe.
 
Back
Top Bottom