Mzalendo80
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 2,508
- 1,338
Mbona kimya sana? No updates so far au Ngeleja ameshawatembeleeni huko mlipo?
Leteni Updates wakuu au mnataka mlimwe BAN?
updates Plz
Kingunge: Wawekezaji wengi hawawaaimini watanzania! Wameenda Nigeria, Ghana, nk. Nchi hii wanaotulisha ni wakulima wadogowadogo na kama tungekuwa na mpango endelevu tangu tulivyoanza kwa ile mikoa 4 (Ruvuma, Iringa, Mbeya na Rukwa) tungekuwa mbali sana kwa sasa!
hivi kingunge licha ya kufanya kazi katika awamu zote nne ana lipi kubwa ambalo wa tz watamkumbuka kwalo?
Tutamkumbuka kwa kuasis siasa za mitandao na kujigawia Ubungo Bus terminal......
Maswali yanaendelea...............!
8. Rashidi Selemani toka Makongo High School, Kidato cha Tatu: Kuhusu viongozi kukosa kujituma ni ukosefu wa National Interests na sasa viongozi wana Self Interests ni kwa sababu ya kukosa National Patriotism hasa wakati wa Rais Mwinyi. Tujiulize kuwa hivi tunapigania nini? Je, ni manufaa binafsi au manufaa ya jamii nzima? (Huyu dogo amepigiwa magofi sana maana anaongea kwa kujiamini mno na inaonekana kuwa ana uelewa mkubwa sana).
Mbunge Ole sendeka ameichana CCM namna inavyotekeleza dhana ya kujivua gamba kwa kupeana siku za kuondoka chamani badala ya kuwachukulia hatua.Hii inatokana na dhana ya NEC na CC ya CCM kuwapa siku 90 watuhumiwa wa ufisadi kujiondoa chamani.Anaitaka CCM ichukue maamuzi badala ya kupeana maneno yanayoonekana kuwa ni kuogopana.Watu wamempigia makofi sana kwa hoja hii nzito ambayo imewakuna wanaharakati wengi na wapenda mageuzi.
Huyu dogo kwa kweli anaonekana yuko well informed! Nimependa alivoongelea uzalendo!
Tunajiandaa kuwekeZWA,