List ya wanawake kumi ambao lazima nioe mmoja wao

saa unaandika hapa ulikuwa unafikiri kwa kutumia "meya wa jiji la dar", sivyo?
Ndio mzee ni sawa na wewe unayoyaandika hapa yanakufanya unakuwa kama waziri mkuu wa uingereza
 
utani pembeni.....
kama kuna vidume hapa jf viko serious na kuoa hao wadada
ni bora mkafanya mipango mkawafuata

msiwaone ni maarufu
wengi wao wanakufa kwa upweke
na wako tayari kuolewa na yeyote
trust me
 
utani pembeni.....
kama kuna vidume hapa jf viko serious na kuoa hao wadada
ni bora mkafanya mipango mkawafuata

msiwaone ni maarufu
wengi wao wanakufa kwa upweke
na wako tayari kuolewa na yeyote
trust me
Uko very serios kama avatar yako
Am damn serious nichagulie mmoja basi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom