Wasifu wangu mimi ni mwanaume wa KitanzaniaNaomba utoe wasifu wako hapa jamvini ili tutoe perfect match.Kwani hawa akina dada uliowalist hapa wana tabia zinazotofautiana mno,mfano Salama na Mwamvita Makamba ni watu wawili tofauti wanaoishi kwenye dunia tofauti
1. Wema sepetu
2. Linah
3. Dj fetty
4. Kiki
5.mwamvita makamba
6. Salama jabir
7.dina marios
8.c.e.o wa 8020 blog
9 c.e.o wa bang magazine
10.mboni masimba
Naruhusu kuchaguliwa mchumba na member wa jf iwapo member hawataridhishwa na list yangu vile vile kamaa kuna mtu umemridhia katika hii list waweza mtaja na kumpendekeza vile vile kama kuna member wa jf ungependa nimuoe waweza pendekeza ila asiwe FAIZA FOX TU LOL

g.r silitaki lile dudenakuongezea
mh halima
mh g. R (kama unapenda matembo) ni mjasiliamali mzuri sana....
madam rita! I think yuko single ni mjasiliamali mzuri,mtoto wa kinyambo huyo!
g.r silitaki lile dude
rita yeah yuko bomba
mdee mmmmh kuna mawaziri pale mmmmh