List ya wanawake kumi ambao lazima nioe mmoja wao

namba 5, 8 na 9 wameolewa sasa unataka kua mume wa pili? hao wengine sifahamu. Nakushauri umchukue Wema ukamtulize.
 
1. Wema sepetu
2. Linah
3. Dj fetty
4. Kiki
5.mwamvita makamba
6. Salama jabir
7.dina marios
8.c.e.o wa 8020 blog
9 c.e.o wa bang magazine
10.mboni masimba
..ndg. hao watu uliopanga majina yao kwa namba(1-10)ni akina nani hao?mimi siwafaham nifahamishe vizuri.:redface:
 
namba 5, 8 na 9 wameolewa sasa unataka kua mume wa pili? hao wengine sifahamu. Nakushauri umchukue Wema ukamtulize.
Kama vipi nakuwa nyumba ndogo fresh tu
 
namba 5, 8 na 9 wameolewa sasa unataka kua mume wa pili? hao wengine sifahamu. Nakushauri umchukue Wema ukamtulize.
Wema watu wengi wananiambia nimchukue
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom