Kaolewa yule
namba 5, 8 na 9 wameolewa sasa unataka kua mume wa pili? hao wengine sifahamu. Nakushauri umchukue Wema ukamtulize.
Ngoja nikupe mchongo wa ukweli kama upo serious!!Unaonaje kitu Mwanaasha?Dingi amekataa kumuendeleza kielimu baada ya kuzingua form 4.Kitu cha ukweli kile cha kikwere jipange uzame magogoni mkuu!!
Nichagulie basi
Ila kachoka ngozi
kama vp tumpe na nyongeza ya mama Ben
:horn:
Da ngugu yangu muulize babu seya yaliyomkutaNgoja nikupe mchongo wa ukweli kama upo serious!!Unaonaje kitu Mwanaasha?Dingi amekataa kumuendeleza kielimu baada ya kuzingua form 4.Kitu cha ukweli kile cha kikwere jipange uzame magogoni mkuu!!
Ngoja nianze na mimi kuchangia changia comments u-turn maybe mange ataniunganishaMwamvita aliolewa na Gray (Australian) former MD wa SGS baada ya Mwamvita kuisambaratisha ndo ya Gray. Hata hivyo wameshaachana. So yuko available kama dogo janja ana guts!
Wewe umemla??Hapo mambo yote Wema Sepetu tu . . .
Yaani huyu binti kwa mambo yake nilimchukia saaaana. Nikajikuta kila akipayuka na kufanya skendo ndo napata shauku ya kutaka kujua huyu ni binadamu wa namna gani . . . .
Atakupa Ujijo sana. Jina lake ni kubwa sana kuliko wengi wanavyodhani. Uliza mtoto yeyote wa mjini Wema Sepetu ni nani, wanamjua kuliko say Makongoro Mahanga.