MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,563
- Thread starter
- #21
Abee......................mwanajamiione.......!
Abee......................mwanajamiione.......!
Mylove
you didnt miss any point I think you are right . Huwezionyesha kama unampenda ila kinachoonekana ni kuwa unampenda mhuh! Ila sometimes love kuna vitu huwa vinajitokeza ambavyo vinaashiria kuwa kwake umefika. Yaani unakuwa huna kauli juu ya vitu hivyo either kwa kuogopa muhuudhi mtu ambaye unahisi ndio roho yako au nakosea? Yaani inafika mahali ule msemo wa ... ah huyu kwangu hapindui kabisa....
swala la kupenda linatokea automatically na huwezi kulicontrol,na ndio maana huwezi kuamua kuonyesha au kutokuonyesha hisia hiyo,itakuja tu na utashangaa hata mama yako anakwambia, 'i know you are in love...'
MJ1, katika hili mimi naona kama mtu unampenda sana basi anastahili kujua kama unampenda sana. Kuna faida gani ya kumpenda mtu halafu unamficha kiasi unachompenda hata kwa mfano akiulizwa mkeo/gf/mumeo/bf anakupenda kiasi gani? Jibu lake najua ananipenda lakini sijui kiasi gani. Yanini tufanye usanii hadi kwenye mapenzi? Mtazamo wangu unaweza kabisa kuwa wa mwaka 47 lakini sikubaliani kabisa na usanii kwenye mapenzi wa kumpenda mtu sana lakini unamficha na kuwaambia watu wa pembeni au humpendi kihivyo lakini pia una mtapeli kwa kuwa anakutimizia kile unachokitaka toka kwake na siku yoyote ile unaweza kumbwaga.
...BAK, salama kaka...za masiku? ha ha ha...
nakubaliana nawe na 'daughter' hapo juu 100%...
Kitufe cha Thanks sikioni... lakini michango yenu inastahili "thanks"
kupenda nusu siwezi asilani, despite the fact that nimeshaumizwa sana yaani huu umoyo ulishavunjika mpaka there are no more pieces to break.
binafsi naona ni ngumu kwnza ntajitesa mwenyewe tu, I can only be happy when I show my love in full lakini matokeo yake sasa.........yantegemea mtu na mtu!!
TOFAUTI SANA mkuu!upendo ndo muhimili wa NDOA!Hivi UPENDO na MAPENZI ni vitu viwili tofauti?? Naomba kujua
...bht, ...LOL,....tupo wengi wa aina yako. Yaani moyo ulishavunjwa vipande vipande sasa vimeungwa ungwa tu kwa supa glu. Wanaosema wanapenda kwa kiasi nadhani wanamaanisha wanapenda kwa tahadhari. Ndio wale utaowasikia 'weshaumwa na nyoka' wakiona unyasi haooo... Lakini ya nini kupenda mguu ndani mguu nje kama unaibia bana?
All in all, sidhani kama ni sahihi makosa ya aliyekuwa Ex-wako ndio life sentence, yakufanye uishi maisha ya wahka na wasiwasi tele.
Utajinyima furaha bure ilhali maisha yenyewe mafupi haya. Kuna waliona uwezo wa kukusahaulisha majeraha yote yaliyopita, ila kuondoa makovu ya mapenzi rohoni ni jukumu lako wewe uliyejeruhiwa. Usipofanya hivyo ndio utaishia kila siku "...unanitonesha bana, usiniguse hapo..!"
thanks JS, unajua watu wengi tunachanganya mtu kujitolea kwa mwenza na unyonge... Na its even worse kama jamaa ana inferiority complex. BTW, hivi kumuonyesha mtu mapenzi sana ndio kumpa sanaa? Au kumlea sana?Dada yangu dont put that sad look on your face. Hukufanya vibaya kumuonyesha mtu unampenda. Its worth at the time. Ila yeye ndo wa ajabu kukulipizia kwa chuki badala ya mapendo
hapo utanidai bia tatu!...please!umeongea kitu fulani OUTSTANDINGthanks JS, unajua watu wengi tunachanganya mtu kujitolea kwa mwenza na unyonge... Na its even worse kama jamaa ana inferiority complex. BTW, hivi kumuonyesha mtu mapenzi sana ndio kumpa sanaa? Au kumlea sana?
Mbu we acha tu!!! mtu unajisemesha eti I will never love again........but its not out of ur own will that u fall in love!!!
healing process ya majeraha ya mapenzi ni ngumu sana kwa kweli ila ukijibidisha unapona na maisha yaendelee. one doesnt have to deprive him/herself of love life.
nadhani ukimpata mtu mkapendana maisha ni mazuri sana!!
so I wont hesitate expressing /showing love kwa yule ntakayempenda kwa woga wa kuumizwa
Kwa kweli mmenifungua sana macho yangu katika huu ulimwengu wa mapenzi. So huwa ni hadithi za kijiweni tu kuwa ... usimwonyeshe mwanamke kuwa umempenda sana ....atakutawala eh?
MJ1 mimi sikubaliani na dhana hiyo na wala sijawahi kutawaliwa katika idara hii. Sidhani kama ni hadithi za kijiweni tu kuna watu wanaamini hivyo. Ukimuonyesha kwamba unampenda sana basi ataanza "kukuzingua" au "ataleta za kuleta"
ni kweli the boss nakubaliana na wewe kabisa kuwa kama umeumizwa itakuchukua muda kuonyesha mapenzi ya kweli kwa mwenzi wako. But ni ngumu kwa mtu ambaye hajawahi kuumizwa lets say ndo mpenzi wa kwanza huyo. Mimi nadhani kuumizwa kwenye mapenzi ni bahati ya mtu- si kitu ambacho unawezapanga kuwa nitahakikisha mapenzini siumizwi na ni jambo la kumshukuru mungu au?
nimeshaumizwa sana yaani huu umoyo ulishavunjika mpaka there are no more pieces to break.
Aise hii imenigusa sana...this is how my hubby does, alafu cha ajabu all his friends says oooh, jamaa anakupenda sana, mara anawivu sana na wewe...nikiangalia naona kama vile wanayosema niuongo. Imenipelekea all my love which i had for him kupotea kabisaaaaaa. Siku hizi namuacha aendel zake popote anapotaka...cha ajabu sasa ndo ameanza kuonyosha kujali, wivu, kupenda etc. Yoooote ya nini haya, watu wengine watakujaga poteza bahati zao hivi kwa kitu eti kutokuumizwa kimapenzi.