Lipi hupendi mpenzi wako afanye ... ? Mimi ni hili .. we je?

mie sitaki anibwagie manguo yake nifue.....kila mtu afue zake.

Inategemea, Jestina, kama una muda zaidi nyumbani kuliko yeye labda anashinda kazini au katika biashara kwa nini usimfulie? Lakini kama nyote mna kazi/biashara hapo inahitaji balance. Anaweza kufua nguo zote, zake na yako wakati wewe unafanya kazi nyingine za nyumbani.
 
Sipendi tabia ya demu akitaka kunipiga mzinga ananiita majina ya kubiwa km vile Baby, Honey, Darling, Ma love na ushuzi mwingine ongeza mwenyewe
 
sipendi tena ananikera saaana kuwa facebook au jf wakat mi nataka kusema nae......
 
Sipendi kuona anapuuzia swala la kupiga mswaki na usafi mwingine teh teh teh kweli limeniuma hadi nimeandika hapa leo.
 
Sipendi tabia ya kusifia michakula tu, mara ooh msosi wa..... mtamu!Kitimoto ya...... tamu...!nachukia sana
 
Hi to u all! I greet to u in the name of jf!
Iam looking for the nice girl to whom i can make friendship with!
Iam 21 yrs old!
Thank u! Am 0762972021 FRM MWANZA
 
lala na mkasi usiku unazikata!ataona azinusuru kwa kutokuvaa na kero yako itaisha!

Mc kama ni mkeo sawa, ila kama ni mpenzi tu moto unaweza kuwaka hapo. Mwenyewe katupia g-string yake anakuta asubuhi vimebaki vikamba kamba tu hata havieleweki patakuwa hapatoshi.
 
Hi to u all! I greet to u in the name of jf!
Iam looking for the nice girl to whom i can make friendship with!
Iam 21 yrs old!
Thank u! Am 0762972021 FRM MWANZA

Kwenye starehe tingatinga limekujaje?
 
Kweli uzi huu umenifumbua kujua mengi, nilikuwa na mpenzi wangu lunch time, nikajaribu kufanya yale yanayowapendeza wengi, hadi akawa ananiangalia utafikiri nimekuwa dressing table! Nikihamisha uso anafuatilizia.

Mwisho nikamuuliza kulikoni ..... akanijibu hivi "leo nakuona uko tofauti na siku zilizopita" Alilofurahia ni kutoonyesha uharaka wa kurudi ofisini hadi pale nilipopigiwa simu.
 
Back
Top Bottom