Nilimfumania mpenzi wangu wa zamani Live na Mwanaume mwengine nikashindwa Kumuacha na Kumsamehe

Ze_Papirii

JF-Expert Member
Oct 12, 2018
429
823
Je, ushawahi kuwa na mpenzi ambaye alitokea kupendwa sana na Mama, baba au ndugu zako kupita maelezo kana kwamba hata afanye kosa lolote ni ngumu kwa ndugu zako kuamini au watakua tayar kufanya lolote hilo kosa alilofanya lisije kuwatenganisha?

Msanii Nay wa Mitego ameshare kwny Insta story yake kwamba alishawahi kumfumania Live yy mwenyw mpenzi wa zamani akiwa na mwanaume mwngne wanapeanaa Lakini alishindwa kumuacha mwanamke huyo na kumsamehe kabisaa sababu kubwa ni kuwa huyo mwanamke alikua anapendwa sanaa na mama yake Nay kupita maelezo hvyo aliamua kumsamehe mwanamke huyo kwaajili ya Furaha na mapenzi kwa mama yake..

NINI MAONI YAKO HAPO MDAU,, TIRIRIKA..
 
IMG_4577.jpeg
 
Back
Top Bottom