Lipi hupendi mpenzi wako afanye ... ? Mimi ni hili .. we je?

Demu mmoja amenitesa sana na hiyo kitu aiseeh ! Yaani ananifanisha na mabwana zake wa zamanii, iliniuma saaana ! Halafu ana kiburi ile mbaya. Siku ya kumwaaga nilimuonyesha nina furaha sanaa, nikamletea keki kuuubwa nimeiandika 'thanks for your love !!' then baada ya hapo nikasepa jumla, no sms no call. Hakuamini, ila inataka moyo ooh hoo!

duh!wewe ni noma!!unaweza kuua mtu
 
Sipendi kile kitabia cha "NIMECHOKA" akati ndo kwanza naanza kupiga mipira ya mbali kutafuta kona muhimu za ushindi na penati za mbindeeeee. M i mapenzi ya LAMUJA LEMEVIDA sijui joh, ikipanda hata upige mayowe natia ufa sound kubwaaaaaaaaaaaaaaa......

Cha kushangaza anakuja kwa sms eti "Jana umenido poa sana"... hahahahahahaaaaaaaa
 
Sipendi mpenzi wangu aniambie story za mpenzi wake wa zamani.
Sipendi mpenzi wangu anidanganye .. hata kwa kitu kidogo.
sijuhi hata nitumie lugha gani maana nitakacho andika hapa lazima watanibrock au wataibana msg yangu
so wacha lipite tuu
 
sipendi anipe ali mradi tu kuniridhisha............ raha kila upande tugonganishe mikojo chawa chawa....
 
Sipendi mpenzi mwenye uwezo mdogo wa kufikiri na kutafakari mambo ya kimaisha.
Sipendi mpenzi anaeambiwa jambo halafu baada ya muda mfupi analisahau.
 
Back
Top Bottom